simba

  1. JamiiForums Tanzania Na Wewe pia unaondoka lini Simba SC Kwetu kwani licha kwamba una Nuksi Isiyotibika kwa Mizimu yote lakini binafsi nakujua Wewe ni mwana Yanga SC 100%

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema kocha wa kikosi hicho Fadlu Davids anahusika moja kwa moja na kutoongezwa au kuvunjwa kwa mikataba kwa baadhi ya wachezaji wa klabu hiyo wakati huu ambao wanajiimarisha kuelekea msimu ujao Akizungumza leo jijini Dar es Salaam, Ahmed...
  2. JamiiForums Tanzania Huyu huyu anayetoa Siri za Wachezaji wazuri wanaotakiwa na Simba SC kwa Yanga SC ndiyo huyu huyu anayetumiiza kwa Yanga SC kila tukikutana nao

    Kirusi Simba SC siyo Mwenyekiti Mangungu pekee ambaye wana Simba SC wengi wanamdhania ila kuna Kirusi Mkuu wa Kuiumiza Simba SC kwa mengi tu na ambaye kwa bahati mbaya sana hata Tajiri wetu Mo Dewji anamuamini 100% japo ameshaonywa mno tu juu yake ambaye ni Salim Abdallah Mhene 'Try Agai' Wewe...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Simba wapata hasara baada ya kuukosa ubingwa Nbc

    Waliandaa mpka tishert za ubingwa lakini ikawa tofauti... hivyo kontena nzima ya hizo tishert hazivaliki
  4. JamiiForums Tanzania Mo ni boss kichechefu anakamua tu Simba; Simba brand kubwa kama hutaki kuweka pesa tuachie timu yetu

    Salute kwenu Wana Lunyasi! Niende kwenye Mada, Mashabiki na wanachama wa Simba tunamkosea Sana Mangungu. Huyu ni kiongozi yupo kama kipofu hata ukimvutia shimoni anaenda maana haoni. Kipindi Simba ipo kwenye peak tulipitisha katiba kwa bashasha na Bodi ya Wakurugenzi ikapewa Meno kuliko...
  5. JamiiForums Tanzania Pamoja na Clatous Chama juzi tu 'Kuinanga' na 'Kuikoga' Simba SC baada ya Yanga SC kubeba Vikombe lukuki, ila Ndoa yake na Yanga SC imeisha rasmi

    Ila ninavyokujua unavyopapenda Dar es Salaam hasa lile Chimbo lako la Mbezi Beach (BK) ninajua tu utabakia Tanzania.
  6. JamiiForums Tanzania Simba SC mlituambia kuwa Elie Mpanzu ana Miaka 22 sasa ila leo katupia Picha yake akiwa na Mwanae mkubwa wa Kiume na Wajukuu Wawili

    Kama kuna Kitu kinachoniuma kwa Simba SC yangu hadi sometimes huwa naamua hata Kuisusa na Kuinanga vibaya sana Mitandaoni ni Viongozi wa Simba SC na hasa Msemaji wa Simba SC kuwekeza zaidi katika Propaganda (Kudanganya) Mashabiki. Mlisema kuwa Mchezaji Elie Mpanzu ndiyo Kwanza sijui ana Umri wa...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Karia kubadili ngao ya jamii ziwe timu 4 alidhani anaisaidia Simba lakini anaenda kutuumiza, Tunaenda kupokea kipigo cha sita mfululizo

    Ngao ya jamii ilikuwa ni timu 2 kwa miaka mingi lakini Simba ilipoanza kukosa nafasi ya kushiriki, Karia akaongeza ziwe timu 4. Nasikitika kusema kwamba kwa maksudi mechi za nusu fainali wanaweza kupanga Simba vs Yanga Kwa jinsi Yanga wanavyojiandaa huku Simba tukiwa bize kutafuta mchawi, hiki...
  8. JamiiForums Tanzania Emil Mpanzu kwa Upuuzi ulioko Simba SC nakushauri kwa hizi Timu tatu kubwa ambazo zimeleta Ofa Kwako nenda na usibaki Simba SC kwani unapoteza muda tu

    Hizi ndizo Timu tatu ambazo tayari zimeshaonyesha Nia ya Kumsajili Mchezaji Emil Mpanzu tena kwa Fedha nono sana.... 1. KRC Genk 2. Brest FC 3. RS Berkane Ila Mimi kama GENTAMYCINE mwenye Jicho la USHAURI na kuona mbali kama Ndege Tai nakushauri uende KRC Genk ok?
  9. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC nasikia mnataka kuwaacha Nahodha Zimbwe Jr na Kapombe. Kwa Kapombe nawaunga mkono ila kwa Nahodha Zimbwe nakataa 100%

    Na nimesikitika sana kusikia kuwa baadhi yenu Viongozi wa Simba SC ambao nawaheshimu Personally mkisema kuwa moja ya sababu Kuu ya kutaka kumuacha Nahodha Mohammed Hussein Zimbwe Jr Tshabalala ni kuwapiga Miba (Kuwaroga) Mabeki wazuri wa Nafasi yake ambao wanamzidi Uwezo. Ngojeni leo...
  10. JamiiForums Tanzania Simba Yanga zitumie fursa ya Mashabiki kuongeza mapato. Nahisi bado kuna room

    Ni kama bado naona timu hizi za Simba na Yanga zenye utajiri wa Mashabiki zikazane kubuni mbinu mbalimbali kujiongezea mapato. Kwa mfano vipi kama wataingia makubaliano na Kampuni za Bia na Soda kukawa na sehemu ya vinywaji vikawa na nembo au picha ya Mchezaji aliyefurahisha Mashabiki kwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mangungu na Ahmed Ally watupishe Simba

    M/kiti wa Simba na meneja wa habari na mawasiliano Ahmed Ally wanapaswa kuachia ngazi kwani hao wanaihujumu simba kwa kufanya propaganda za kuisifu simba kwamba ni Bora ili ionekana ni timu Moja imara yenye wachezaji wazuri kumbe wanaifanyia propaganda ya kutufunga macho. Bila ya Hawa kuondoka...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Israeli ni simba dume katika kundi la Nyumbu

    Kapiga au kapigwa? Hiyo ni siri ya jeshi Lakini kitendo cha israeli kuivamia Iran na kupiga vinu vyake vya nyuklia ilikuwa ni ushindi mkubwa kwao pasipo kujali kama mashambulizi ya Iran kwa israeli yalileta madhara kiasi gani. Kauli za kejeli na za kutatanisha kutoka kwa kiongozi mkuu wa...
  13. JamiiForums Tanzania Simba wasiwasahau Kayombo, Smart, Tatu Malogo na Elly Sasii wakati wa kufanya usajiri wao dirisha kubwa

    Wakati wanaposajili wasisahau ile nafasi ya pili kwenye ligi ya NBC waliipataje. Wasije wakasahau kuwa walikuwa na timu mbovu iliyosaidiwa kumaliza katika nafasi ya pili kwa msaada wa waamuzi. Wasithubutu kusahau mchango wa cepha Kayombo, Smart, Tatu Malogo na Elly Sasii. Pia wawashukuru Kidao...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga na Simba (Sunderland) HAZIKUPIGANIA Uhuru

    https://youtu.be/msgve8ZwfHE?si=U_4RF703Qpe3nSpU Ally Sykes ndiye aliyechora kadi ya TANU na kuchagua rangi na nembo yake. Rangi alizochagua zilikuwa, nyeusi kuwakilisha taifa la Kiafrika na kijani ardhi ya Tanganyika. Mfano wa kadi ya TANU ulitokana na kadi yake ya Tanganyika Legion. Baada...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Simba yangu inaongozwa na wahuni sana maana tetesi za kusajili wachezaji na nyingi tofauti na itakavyokuwa kiuhalisia

    Hizi tetesi ukweli zinachosha na kukera sana kwani jatujasahau sajili za hovyo kama akina Ateba na bado wakasifiwa na wao kutamba kuifunga yanga lakini kila mtu anajua kilichotokea. Busara ilikuwa ni kusajili tu kimya kimya na kuacha propaganda za kizamani maana huo ndio uhuni wenyewe
  16. JamiiForums Tanzania Ijue zaidi nyota ya Simba

    Ifahamu Nyota ya Simba: Jasiri na Wenye Nguvu ya Uongozi Watu waliozaliwa kati ya Julai 23 hadi Agosti 22 ni Nyota ya Simba. Watu wa nyota hii wanajulikana kwa kuwa na haiba ya uongozi, ujasiri wa hali ya juu, na mvuto wa asili. Simba ni watu wanaojiamini na mara nyingi hujitokeza kuwa viongozi...
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wachezaji wanaotajwa kutemwa Simba SC dirisha hili la usajili, Ahoua, Manula, Ngoma, Mukwala na wengine

    Kuelekea msimu ujao, tetesi zasema Simba SC kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake. Kwenye dirisha hili la usajili, taarifa zinaeleza kuwa wachezaji kadhaa huenda wakaachwa au kuuzwa na klabu ya Simba SC. Orodha ya wachezaji wanaotajwa kuondoka ni kama ifuatavyo: MAKIPA: Aishi Manula...
  18. JamiiForums Tanzania Kinachofanyika Simba hakina tofauti nazis~ holocust

    Umofia Wana Lunyasi ! Niende kwenye mada, Simba kufungwa mara tano consecutively is not accidentally but planned watu wasione Jambo kubwa mfano mzuri kutoka 2000s - 2010 Yanga alikunjwa kifo cha mende. Kama ni issue ya championship Yanga amefurahia moment kama hii 2012- 2014/2015, Azam...
  19. D

    JamiiForums Tanzania kipa wa simba PIN PIN CAMARA ni free agent, simba wameachana nae

    I will be short kipa bora wa ligi kuu, nyani 🐒 pin pin camara ni free agent.
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kujua pamoja na Yanga SC kuchukua Vikombe vitatu kwa Msimu huu je, mpaka sasa katika Viwango vya CAF ipo ya ngapi kulinganisha na Simba SC?

    Na kwanini Simba SC pamoja na kutofanya vyema Msimu huu huku ikichekwa mno bado ipo katika 10 bora Barani Afrika?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…