simba

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, na Rais Hayati Magufuli nae angestaafu angekuwa anaenda Bunju kwa 'Helicopter' kuiangalia Simba kama afanyavyo mwingine huko Kigamboni kwa Yanga?

    Ni matumaini yangu Makubwa kuwa hizo Helicopter huwa zinakuwa Salama na zinafanyiwa Matengenezo makubwa kwani kwa mwaka huu Watanzania hatuhitaji Kuomboleza tena. Halafu wala msihangaike kwenda huko Avic Town Kigamboni ilipo Yanga SC Kisirisiri kwani wengine tunawajua hata mlivyokuwa Uongozini...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC nawaombeni sana Mechi zetu Mbili za Berkane na Gendamarie zote tuchezee Uhuru na siyo kwa Mkapa tena Saa 9 Alasiri

    Kwanini......? 1. Kiufundi Uwanja wa Uhuru ni mdogo hivyo utawapa Changamoto akina Gendamarie na Berkane wanaopenda na waliozoea Viwanja vyao Vikubwa huko Kwao Niger na Morocco hivyo Kuwafunga kiurahisi. 2. Kiufundi Uwanja wa Uhuru ni mzuri kwakuwa Mashabiki 35,000 ambao wataruhusiwa wa Simba...
  3. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Licha ya kupigwa 2-0, Simba watamba "RS Berkane wakija Dar watavuta pumzi ya moto"

    “Tunarudi kwetu sasa.... Nyumbani kwetu na sisi... Kwenye ufalme wetu “Save the date MARCH 13 2022,🔥🔥 “Siku ambayo Rs Berkane watavuta pumzi ya moto, siku ambayo Berkane wataiona Simba halisi “Wana Simba wenzangu tujiandae kwa siku hii ya kihistoria, hizi ndio mechi zetu za kujidai “Hatuna...
  4. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania RS Berkane 2- 0 Simba Sc | CAF Confederation Cup | Stade Municipal de Berkane

    Leo majira ya saa 4:00 Usiku, RS Berkane watakuwa wanawakaribisha Simba Sc katika mchezo wa tatu wa CAF Confederation Cup katika dimba la Stade Municipal de Berkane, nchini Morocco. Katika mchezo huu, Simba itawakosa Jonas Mkude, Mugalu na Israel Mwenda kutokana na sababu mbalimbali...
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Nimeota, Simba anashinda huku Yanga akifungwa kwenye mechi za leo

    Ndio nimeshtuka hapa, Simba wanashangilia huku mashabiki wa Yanga wakiwa wamenuna baada ya Kagera Sugar kufanya yao. Nilitamani hii ndoto iendelee ila ndo nimeshtuka sasa hivi! Wataalam wa ndoto ndoto yangu inaweza kutimia?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Asanteni Ahmed Ally, Suleiman Matola na Barbara Gonzalez kwa kutuandaa mapema Kisaikolojia wana Simba SC juu ya Kipigo cha Keshokutwa Berkane

    Ikitokea Simba SC yangu ikashinda au hata tu kutoka Sare / Suluhu na RS Berkane Keshokutwa ( Jumamosi ) nitakuwa ni mwenye Furaha Kubwa kwani Lengo letu Kuu litakuwa limetimia hasa kwa Mechi za Ugenini ( Away ) Hata hivyo nisiwe Mnafiki au Muongo kwa wale Wabobezi wa Communication Psychology na...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Pablo aletewa kocha mpya Simba

    Picha: Arno Buitenweg akisalimiana na mwenzake KIKOSI cha Simba kilichokuwa uwanjani mjini Niamey, nchini Niger usiku wa Feb 20 ilipokuwa ikimalizana na US Gendermarie, kinajiandaa kuanza safari kuifuata RS Berkane ya Morocco, huku kocha mkuu wake, Pablo Franco akimleta fundi mpya. Mbali na...
  8. President of China

    JamiiForums Tanzania Rekodi ya Simba miaka minne ya makombe

    Simba SC 🏆🏆🏆🏆 NGOJA NIWAKUMBUSHE MISIMU MINNE MFULULIZO YA MABINGWA WA VPL SIMBA SC: 👉 2017/2018 Ponti: 62 Goli za kufunga: 62 Goli za kufungwa: 15 Mfungaji bora:Okwi ⚽ 20 Bingwa: SIMBA 👉 2018/2019 Point: 93 Goli za kufunga:77 Goli za kufungwa: 15 Mfungaji bora: Kagere ⚽ 23 Bingwa...
  9. Last emperor

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Simba na Yanga kwenye mechi za kimataifa

    Salamu wana Bodi.. Hii ni tofauti kati ya Simba na Yanga kwenye mechi za kimataifa... YANGA SIMBA
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ratiba robo fainali Azam Shirikisho yatoka: SIMBA na YANGA kukutana nusu fainali endapo watashinda robo fainali

    Ratiba ya Kombe la Azam hatua ya robo fainali imetoka: 1. SIMBA VS PAMBA 2. YANGA VS GEITA 3. AZAM VS POLISI 4.COASTAl VS KAGERA NUSU FAINALI: Mshindi: SIMBA VS PAMBA anacheza mshindi: YANGA VS GEITA Mshindi: AZAM VS POLISI anacheza mshindi: COASTAl VS KAGERA Uwezakano ni mkubwa wa SIMBA na...
  11. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga kukutana Robo Fainali? Zimesalia dakika chache majibu yapatikane

    Bado muda mfupi kujua wapinzani wa Simba na Yanga katika Hatua ya Robo Fainali na Nusu Fainali ya Azam Federation Cup. Kuna uwezekano pia hata wa wababe hao wa Kariakoo kukutana wao kwa wao. Droo inachezeshwa leo Februari 21, 2022 saa tano asubuhi.
  12. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania US Gendermerie 1 - 1 Simba Sc| CAF Confederation Cup | Stade General Seyni Kountche

    Muda mchache ujao, wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Caf Confederation Cup, Simba SC atashuka dimbani ugenini nchini Niger, kumenyana na wenyeji wao, US Gendermerie katika dimba la General Seyni Kountche ambaye alikuwa kiongozi wa kijeshi wa nchi hiyo na kiongozi wa mapinduzi ya 1974...
  13. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha Simba kilichoifunga Yanga mabao 4-1, Julai 2, mwaka1994

    Simba iliyoifunga Yanga mabao 4-1, Julai 2, mwaka1994 Kuna George Masatu, Mustapha Hoza, Hussein Marsha, Mohamed Mwameja, Godwin Aswile, Madaraka Suleiman, Azim Dewji (mfadhili). Edward Chumila, Idd Suleiman, Deo Mkuki, Duwa Said na Athuman China.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Rekodi nyingine tena ya Simba Afrika: Yanga haipo

    Nasema hivi facts hupingwa kwa facts utopwinyo ni watoto wadogo sana level za kimataifa, Simba 1974 kagonga nusu fainali , 1993 kagonga fainali sitaki hata kuzungumzia hizo robo fainali na group stages Haya sasa ifuatayo ni lists ya teams zlizocheza mechi nyingi zaidi kwenye hatua ya makundi...
  15. John Haramba

    JamiiForums Tanzania FULL TIME: Ruvu Shooting 0-7 Simba, Uwanja wa Mkapa, ASFC

    Mchezo umemalizika, Chama anakabidhiwa mpira kwa kufunga hat trick. Full Time Zinaongezwa dakika 3 za nyongeza Dk 90: Simba wanapiga pasi na kuumiliki mchezo. Dk 87: Mchezo umepungua kasi, Ruvu ni kama wamekata tamaa. Dk 82: Kocha wa Ruvu, Charles Mkwasa anaonekana kuwa katika masikitiko. Dk...
  16. President of China

    JamiiForums Tanzania Leo Simba tunacheza 4-1-4-1 Kumkabili Ruvu Shooting kwenye AFC

    Wandugu leo tunacheza Formation ya 4-1-4-1 kwaajili ya kumbaka Ruvu.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nasema Mechi ya leo ya Simba SC na Ruvu Shooting FC itakuwa Ngumu japo tukishinda nitashukuru na Kufurahi pia?

    1. Wachezaji wa Simba SC kwa sasa 95% ya Akili zao zipo katika Mchezo wa Shirikisho utakaochezwa Jumapili huko nchini Niger dhidi ya FC Gendamarie. 2. Wachezaji wa Ruvu Shooting FC ambao 85% yao ni Wanajeshi wanajua kuwa Wachezaji wa Simba SC huwa ni Waoga na hawapendi Kugongana hivyo watakuja...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kufurahia Ushindi dhidi ya Asec Mimosa FC na nilivyowaona Gendamarie FC na Berkane FC sasa tuambiane tu Ukweli tuisaidie Simba SC yetu

    1. Bado Simba SC yetu haichezi Mpira wa Kuvutia na pia watuambie kwanini Kipa mzuri, mzoefu na makini namba Mbili Beno Kakolanya haonekani na badala yake mbadala wake anakuwa Kipa Kinda ambaye Mightier simkubali na simuamini pia Ally Salim? 2. Simba SC yetu upande wa Stamina hatuko 100% Fit...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Bernard Morrison aomba radhi Simba SC, asamehewa

    Katika mtandao wake wa Simba App, Simba imetoa taarifa ya BM3 kuomba msamaha kwa makosa ya kunidhamu. Menejiment ya Simba imemsamehe kiungo huyo na ametakiwa kurudi kambini Mo Simba Arena.
  20. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Simba yatoa angalizo mashabiki wake kutowafanyia fujo mashabiki wa timu nyingine uwanjani

    Simba yawaambia mashabiki wake kutowafanyia fujo mashabiki wa timu nyingine uwanjani
Back
Top Bottom