Kabla ya yote mnaonaje mechi inayofata Simba aende Sudan kucheza na Al Hilal alafu hawa jamaa wabaki hapa kucheza na Agosto?
Ngoja nikujuze, kimataifa mbinu zinatawala siyo manguvu na kukamia, wanacheza mpira wa nafasi, kuachiana nafasi ufundi unatawala.
Simba ni zaidi ya hatari endapo...
Amani iwe nanyi
Katika siku za hivi karibuni mara baada ya Simba kumteua Master Guardiola Mgunda, nimeweza kugundua masuala kadhaa! Ungana nami uweze kuyajua mambo hayo.
1. Mzamiru amezaliwa upya, nikiri kuwa nilikuwa miongoni mwa watu waliokuwa wakikosoa sana uchezaji wa Mzamiru Yasin...
Ohoo walifungwa na Namungo hawa? Kwaiyo nini? unawachukulia Namungo poapoa? kwa mujibu wa shirikisho la soka barani africa,
Simba ni ya 14 ikiwa na pointi 28,
De Agosto ni ya 28 ikiwa na pointi 10, Namungo ni ya 56 ikiwa na pointi 2, Utopolo ni ya 75 ikiwa na 0.5.
Kuweni na heshima, wapuuzi...
Kila mtu anajua kwamba kwa afrika nzima hakuna nchi yenye wachambuzi wanaojua kuchambua issues mbalmbali kwa ufasaha kama wanaopatikana Tanzania
Ni ma pundits haswa yametulia kwelikweli, yamesoma na yana make sense kwenye hoja zao, ikumbukwe wakati simba inaenda pre season bado llikuwa na jezi...
Kapten wa Simba John Bocco anakaimu majukumu ya Kocha wa Viungo tangu aondoke mwalim wa viungo. Hilo limekuja baada ya John Bocco kuhitu mafunzo ya ukocha wa awali ya viungo. Wachezaji wenzake wanafurahia mafunzo yake.
Hii ni kwa wale waliokuwa wanauliza kwanini Bocco asiondoke Simba?
Ninawaza kwa sauti kubwa saana hapa, nimeona clip nyingi watu wakipiga kelele kisa ku droo na al hilal 😂😂,
Hivi wana feli wapi? Wana yanga wana imani kubwa sana na kikosi chao lakini wanashangaa walivyotaabika jana almanusura wapasuke wamshukuru diara.
Wana yanga wana amini sana kwamba simba...
Nina jamaa yangu Angola yupo na Simba. Yeye ni mwandishi na mchagoat wa habari za Michezo. Anasema kwa aliyoyaona. Simba wanapitwa si chini ya Bao 3 Angola.
Hili kanihakikishia hasa baada ya matokeo ya jana ya Mabingwa wa kihistoria kunyimwa bao kizandiki. Simba anapigwa...tena anapigwa vibaya...
FULL TIME
90' Zinaongezwa dakika 3 za nyongeza
78' Agosto wanapata goli la kwanza
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
76' Agosto wanapata penati baada ya beki wa Simba kuushika mpira
Phiri anafunga goli zuri akimalizia pasi ya Chama
75' GOOOOOOOOOOOOOOOO
72' Agosto wanaweka mpira wavuni, lakini mwamuzi...
Umofia kwenu.
Ndugu zangu ni vigumu mno kuwatoa Wasudan kwao, ninasema hivI kutokana uzoefu nilikuwanao. Nilishwahi kuishi miaka miwili pale Sudan, kiufupi jamaa ni makatili ile mbaya.
Simba alishawahi kushinda tatu kwa mtungi kwa Mkapa akiwafungu Ahli Shandy, ila alienda kufa nne bin sifuri...
Haki ya Mungu walahi Mungu amlinde tu Barbara Gonzalez, ana maadui wa wazi wazi wa Simba wako ndani ndani kabisa wakishirikiana na makanjanja mazoefu.
Lile jitu linalokesha kusambaza habari za uongo za Simba kushoto na kulia liko Angola tayari na inavyoonekana hadi mipango ya ndani ya Simba...
Leo Yanga inakwenda kuonesha kwa vitendo maana ya uwekezaji kwenye soka ni nini?
Baada ya Al hilal kupigwa kama ngoma mashabiki wa Simba watasikika wakisema hii Al hilal ni Zalan iliyochangamka tu. Sasa na wewe waulize wale waliopigwa mbili mbele na nyuma na Fiston Mayele kwenye ngao ya jamii...
Kila Mtanzani anatamani kuiona Simba S.C. ikiendelea kufanya vizuri kimataifa, kufanya vizuri kwa Simba kimataifa kumeinufaisha pakubwa sana taifa hili.
Simba imekuwa mfano mzuri wa kuigwa hapa nchini na vilabu vyote vimekuwa na shauku ya kufanya vizuri kimataifa ikiwemo klabu kongwe nchi Yanga...
Simba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Africa kulinganisha na Kasikazini.
Kama ambavyo yanga hana rekodi nzuri na timu za Warabu.
Naongea kiufundi sio kiushabiki
Simba alitolewa na timu kutoka Msumbiji, akatolewa na timu kutoka Botswana, akatolewa na Pirate na Kaizer Chief...
Na kama ni takwa la kiufundi mwambieni huyo aliyeamua hivi kuwa hii ni hatari na itatugharimu kimatokeo.
Ningewaelewa Simba S.C. (hasa kiufundi) kama wangeenda Angola siku tatu kabla ila hii ya kwenda siku moja kabla ya mechi (yaani Jumamosi na kucheza Jumapili) ni hatari kimchezo...
Enyi Makolo, nataka niwaambie mapema kabisaa kwamba kwa hawa wababe wa Angola, 1 August mnaenda kuchezea kichapo cha mbwa mwizi cha 6:0 na mkirudi kwa Mkapa ni 0:4!
Nafikiri nimeeleweka.
Tanzania ushabiki wa mpira uko juu sana kuliko nchi nyingine zinazotuzunguuka kutokana na aina yetu ya kutaniana kwa kucharurana bila kupigana kati ya Simba na Yanga.
Timu hizi ziko hivyo tangu kuanzishwa kwake na kuingia katika sura mpya wakati wa Jerry Muro na Manara. Leo hii Tanzania...
kama kweli Nelson Okwa anaondoka dirisha dogo (sitajali kwa kweli, Dilunga anakiwasha zaidi yake), hakikisheni nyie viongozi pia mnatoa huyo Akpan kwa mkopo, arudi huko Coastal Union.
Hizo nafasi tatu za wazi(Mzungu, Okwa, Akpan) lete Manzoki, lete namba 6 la uhakika kama Semanga Soze, lete...
Tukishinda itakuwa ni furaha kubwa kwangu, ila kwa mazingira ya huu mchezo na mikakati fulani fulani naiona ni mechi ngumu kwa Simba SC, hadi kuhisi kuwa tunaweza kutoka sare, suluhu au hata kufungwa pia na Dodoma Jiji FC kama tusipojipanga vyema ndani na nje ya uwanja.
Kwanini GENTAMYCINE nina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.