Ratiba iliyokuwepo ilikuwa Weekend hii Simba SC icheze na Mbeya City FC na Yanga SC wacheze na Ihefu FC.
Mmeibadilisha juu kwa juu hii Ratiba na sasa Simba SC itacheza na Dodoma Jiji FC na Yanga SC nao watacheza nadhani na Ruvu Shooting FC.
Hivi TFF ni kwanini mnapenda mno Kuvibeba, Kuvilinda...
Nimedokezwa na Mtu wa Ndani ambaye pia ni 'Credible Source' wangu kuwa hili la Dejan Mzungu ni cha Mtoto, ila kuna Fukuto Kubwa ndani kwa ndani ila linazimwa kwa Nguvu ya Soda tu.
Nawaona taratibu sana Yanga SC wanaanza Kutoka katika Upuuzi uliopo na unaoendelea Kukomaa ndani ya Klabu yangu...
Kwa namna Yanga wanafanya mambo yao naiona kesho ya Yanga ni kubwa kuliko SIMBA
Wameandika katiba ambayo wanaishi nayo sasa. Eng. Hersi ataipeleka Yanga mbali
Wanasajili wanachama online which is a good thing....upande wa SImba mambo mengi yako kimya kimya hakuna uwazi.
Camp ya Yanga iko...
Wale mashabiki wa makolo walio mshambulia sana tena sana Shaffii Dauda Jana kwa andiko lake kuhusu hali ndani ya Simba kutokua sawa, na ata akadhibitisha kwa kuambatanisha na video ya Dejan akitaka kuzichapa na Okrah lakini bado wakawa wanabisha na kukataa katakata.
Na akatoa angalizo la kwamba...
Nipo natafakari hapa ni hasira, masimango au kuna kitu kingine hadi mchezaji pendwa Dejan kusitisha mkataba wake?
====
Mshambuliaji Dejan Georgijevic ametangaza kuvunjika kwa mkataba na Klabu ya Simba kutokana baadhi ya vipengele kukiukwa.
Dejan ameandika kwenye ukurasa wake “Nathibitisha...
Wote wana Corporate Personalities za Asili hasa na siyo ile ya Kulazimisha, Wasomi wazuri wa Mass Communication na wana Mvuto wa Kiushawishi hasa kwa Biashara na Mashabiki wa Vilabu vyao husika.
Siyo unakuwa na Msemaji muda wote ukiwa nae Jirani unasikia tu harufu ya Sigara, Bangi, Pombe na...
Tukio lililotokea majuzi kwa mchezaji Okrah kumfanyia fujo striker mzungu, Dejan Georgindowski, linaonesha kuwa kuna mgawanyiko wa wachezaji katika dressing room na kocha Juma Mgunda hana uwezo wa kuwa manage maastaa hawa wenye majina makubwa. Kuna kundi la wachezaji linahakikisha kuwa huyu...
Anaandika Shaffi Dauda
Simba kuna vitu havipo sawa, lakini ni zile zile stori za kuvalishana suti kwenye vumbi au kuifunga Bugati injini ya bajaj ila haibadili kuwa kuna mengi hayapo sawa.
Tazama vyema hii clip, tazama namna Dejan na Okrah walivyotoshana nguvu, haya tunayaona sisi uwanjani...
Huyu manzi wa Kenya ni hatari kwa wanaofatilia soka la Wanawake Afrika Mashariki watakubaliana nami, mwaka jana kwenye CECAFA Tournament pale Nairobi akiwa na Vihiga Queens alikuwa hatari kama uliwahi kushuhudia uchezaji wa Edibily Lunyamila au Dua Said basi ndiye huyu binti.
Hata Harambee...
Aibu kwa mtu anaitwa platinum member eti sasa rasmi Simba haitaanzia preliminary
Na Jamaa lingine akapost
Matokeo yake tukaanzia preliminary
Ma mods wa jf tusaidieni hizi post zisizoluwa na source
By ELIUS KAMBILI
NILIKUWA pale Luanda, Angola na Namungo iliyokwenda kucheza na Clube Desportivo 1 de Agosto mwaka jana. Lakini wageni hawakugusa mpira hata wa mazoezi kutokana na vihoja kutawala nje ya Uwanja.
Simba msimu huu imepangwa kucheza na klabu hiyo katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa...
Kamati ya masaa 72 imekaa leo baada ya Masaa zaidi ya 300 kushughulikia swala la Morrison.
Kamati ilishindwa kukaa kwenye swala la Inonga pamoja na yule jamaa wa coast aliyetaka kumvunja mguu Bangala.
Lakini kwa sababu ni Morrison kamati imekaa wakati tukio lake lilikuwa kwenye round ya 3...
Ni mojawapo ya watu wenye roho mbaya sana nchi hii
Ni aina ya mtu ambaye kadiri watu wanavyolalamika maisha magumu,bando bei ghali yeye anataka waumizwe zaidi
Huyu mzee ni saddists,tafadhali acheni shobo za kulialika hili lizeee kama ligeni rasmi litatuletea mikosi isiyo na sababu
CAF wameongeza zawadi katika mashindano CAF Champions League
▪︎ Mshindi atapewa $3.5 Million (Kabla zawadi ilikuwa $2.5 Million)
▪︎ Mshindi wa pili: $1.750 Million
▪︎ Timu zitakazofika nusu fainali: $1 Million
▪︎ Timu zitakazofika robo: $800,000
Ikumbukwe kwamba Simba Sc wana malengo ya kufika...
Kama kuna sehemu ambayo GENTAMYCINE nilikuwa nakutamani ujilete Mwenyewe na nikuparure Kihasira kama Simba Mnyama afanyavyo Msituni ni hii uliyoingia ( uliyojiingiza ) Mwenyewe.
Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC Murtaza Mangungu hivi karibuni umekuja na Shutuma kuwa kuna Watu ndani ya Simba SC...
Kila siku huwa najiuliza hivi ni kweli hivi vilabu vyetu vina vitengo kabisa vya habari na mawasiliano? Au ukishakuwa na smartphone na kujuwa kubwabwaja na kupost mipasho ndio imeisha hiyo?
Mimi Leo naomba niwaongeze ili msijizime data mjiupdate, wachezaji masuper star majina yao yanatumika...
Ni wazi kwamba mashabiki na wanachama wa simba wameweka matumaini makubwa kwa Kuisifia Al hilal jinsi itakavyomtoa yanga na wanakwenda mbali zaidi kuapa ya kwamba ndo mwisho wa yanga awatoboi, lakini nafikiri wasichokijua hii ni yanga ambayo aijaingia kwenye hii michuano kwa kubahatisha, yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.