simba

  1. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Wakati Yanga na Simba na timu nyingine za ligi kuu zinapishana kwa waganga, Polisi Tanzania wajisalimisha kwa nabii

    Timu ya Polisi Tanzania imechukua uelekeo tofauti baada ya kuamua kuachana na kuwategemea waganga na wachawi ili kupata matokeo mazuri na badala yake wameamuamu kumfuata nabii Clear Malisa. Hiyo ndiyo habari iliyopo, soon mtaona mabango ya picja za Clear Malisa kwenye basi la timu ya Polisi...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 2-0 Nyasa Big Bullets (Agg 4-0) | CAF Champions League | Mkapa Stadium

    FULL TIME: Simba imeshinda kwa magoli 2-0 90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza. 85' Dejan anampa pasi nzuri Sakho, shuti linatoka nje kidogo ya lango. 83' Phiri anatoka anaingi Dejan. 75' Shangwe za mashabiki zinaongezeka baad aya kumuona Dejan akipata misuli. 70' Simba wamepunguza kasi, 61'...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hivi Simba na Yanga wana official anthems?

    Eti wakuu. Hizi timu zina nyimbo rasmi?
  4. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Onyango alivosikia Kisinda amerudi Yanga akaomba kuondoka, alivyosikia TFF wamemfungia akarudi Simba, asiyempenda karudi, sasa itakuwaje?

    Hapa Onyango atajilaumu kwanini karudi maana alivyosikia anakuja aliomba kuondoka, namuonea huruma Babu wa watu. Naona muda wa kupimana Umri umefika Sasa, Shida iko PALEPALE Onyango alikubali kusalia ukoloni baada ya kusikia mwamba kapigwa pini, Ila sasa aliko huko hana raha.
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC nawaomba Okra awe anaanza Kikosi cha Kwanza na Sakho atokee Benchi au hata asipangwe kabisa

    Kama kuna Mchezaji wa Simba SC ambaye Kutwa anatupandisha Hasira wana Simba SC na hatujui ni kwanini Makocha huwa wanapenda Kumuanzisha First Eleven ni huyu Pape Ousmane Sakho. Na kama kuna Mchezaji ambaye Simba SC ni muhimu, tegemeo na Lulu Kwetu kutokana na Kipaji chake Tukuka ( tena kumzidi...
  6. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Juma Mgunda akiaminiwa anaweza kuiduwaza simba!

    Simba ya mwaka huu ni mbovu zaidi kuliko ya mwaka jana! Usajili wa mwaka huu haueleweki kabisa! Lakini tukimuamini Mgunda anaweza kutuvusha.
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania James Samwel: Mpira ulishatoka kabla ya Simba kufunga goli lao

    Mchambuzi wa Azam Sports 1, James Samwel amelichambua goli la Simba na kukiri wazi kuwa mpira ulishatoka kabla ya Kibu kuurudisha tena uwanjani na Mkude kuuweka ndani ya nyavu. Ameyasema hayo kwenye uchambuzi baada ya mchezo huo.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Simba hatuna kocha wa makipa kocha wa viungo kwa sasa

    SIMBA walivyo kaa kimya hatuna kocha wa Viungo, Kocha wa MAkipa je kwa hali hii tutatoboa mwezi oktba kweli tuna game hatari zinakuja mwezi wa KUMI. Me nawashauri VIONGOZI ZRANE kocha aliyeondokaga arudishwe hata kama yupo timu ya taifa ya maurtania si wavunje mktaba hukoooo
  9. B

    JamiiForums Tanzania Octoba 23 2022 ni Yanga VS Simba

    Wanasimba mwezi wa KUMI unakuja. Tufanye nini ili tuweze kuwafunga YANGA msimu huu. TUmechoka sasa kufungwa kila mara. Mikakati iwekwe mapema tuwaue hawa utopolo this is too much. Angekuwepo Hans Pope nisingekuwa na naiwazia mechi hiyoo ila kwa sasa Viongozi wa simba hawapambani sana kama...
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Benjamin Asukile: Hatuwaogopi Simba waje kwa tahadhari

    Captain wa Tanzania Prisons, Afande Benjamin Asukile ameweka wazi wao kama Prison hawana uoga wowote dhidi ya Simba katika mchezo utakaopigwa leo saa 10:00 katika dimba la Sokoine jijini Mbeya. "Simba ni timu nzuri, wametoka kushinda juzi huko Malawi, ila wajue kuwa ile ni ligi ya mabingwa na...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Timu zinazocheza na Yanga hawakazi kama wakicheza na Simba

    Hizi timu zinazocheza na Yanga za hapa nchini hazikazi kama ambavyo zikicheza na Simba. Jana Mtibwa walikuwa kama wagonjwa, beki hazikabi, kipa ovyo kabisa. Kwa hali hii Simba tujipange kuna dalili wenzetu wananunua mechi. TFF iwe makini sana na mechi fixing! Haiwezekani beki anajiangusha kipa...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club na ubunifu wa hali ya juu usio na tija

    Simba wamejaribu kufanya jambo tofauti lakini lisilo na tija. Nadhani ni wakati sahihi wa kufocus kwenye kubuni jezi kali ambazo zitashindana na za @yangasc1935
  13. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Mwaka jana Simba ilianza hivi hivi 2 -0 ikaja kutolewa Kwa mkapa 3-1

    Ndiyo balaa la Jwaneng Galaxy wanajisahaulisha
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha kuchakata uongo dhidi ya Simba na mawakala wake, wapandieni dau wako sokoni wanajiuza

    Mara mojamoja tu Simba warushieni vijisenti hawa ndalakyuya, wako sokoni wanajiuza hawana tofauti na wale viumbe wa corner bar mwenye dau kubwa ndiye watamuheshimu na kumnyenyekea, wengi wao hawajui hata taaluma ya uandishi ni kitu gani, hopeless creatures Kwa sasa PESA ZA MWARABU...
  15. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba vs Nyasa Big Bullet itakuwa ngumu sana, na huenda Simba ikafungwa lakini itavuka

    Hii ni taa ya tahadhari, Big Bullet walifungwa kwao goal mbili kwa bila, lakini haimaanishi ni wabovu. Matokeo yao hayo yalichagizwa pia na uwanja wao wenyewe, siyo mzuri Sana Kama ule wa Mkapa. Uwanja wa Taifa ni mzuri kiasi kwamba team yeyote inaweza kuutumia. Mechi ya marudiano kati ya...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mtoko mpya wa Simba: Unaweza kuvaa ofisini

  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni Simba SC ipi kati ya zifuatazo iliyoshinda Jana dhidi ya Nyasa Big Bullets FC kule Malawi?

    A. Simba SC ya Mgunda? B. Simba SC ya Matola? C. Simba SC ya Wachezaji wa Kufurahia Kuondoka kwa Kocha Maki? D. Simba SC ya Wachezaji Wenyewe kuamua Kuwajibika na Kujitoa kuipigania Jezi?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni yanga na simba kwa ushindi wa leo lakini michuano mtaianza hatua itayofuata

    Nawapongeza kwa kufanya vizuri kwenye mechi za mwanzo ni mwanzo mzuri kwa timu zote mbili itawajengea hali ya kujiamini na kujipanga vizuri kwa michezo ijayo,. Pamoja na kushinda timu zote 2 zimekutana na timu ambazo zina viwango vya chini, ukianzia Nyassa big bullet ya malawi ni timu...
  19. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania FT: Zalan 0-4 Yanga | CAF Champions League | Uwanja wa Mkapa | 10-09-2022

    FULL TIME: Yanga imefanikiwa kupata ushindi wa mabao 4-0, timu hizo zitarudiana wikiendi ijayo Mayelee anafunga bao la nne na la tatu kwake 88' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO Mayeleeeeeee GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO 82' Zalan wanajaribu kufanya shambulizi la kushtukiza inashindikana 80'...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Wacha mvua inyeshe tuone panapovuja

    Pira la leo litatoa majibu ya viwango vya wachezaji pamoja na makocha kati ya simba na yanga.
Back
Top Bottom