simba

  1. JamiiForums Tanzania Tunashukuru mechi ya Simba na Yanga imeisha muda huu, Yanga tumeshinda tena Allahamdulilah

    Ustaadhi wetu kashamaliza mchezo. Mchezo ulikuwa ngumu kutokana na Simba kuwa wana timu nzuri lakini kwa mipango hii tumewashika pabaya. Mzee Mpili alitimiza malengo akapata changamoto kidogo lakini Ustadhi wetu amekuja kumaliza mchezo. Wana Yanga tambeni, huu mchezo tumeshashinda. Tunashukuru...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Muuza Kangala nimesafiri mpaka Dar kushuhudia mtananange kati ya Simba na Yanga. Nazuiwa kuingia na bastola wakati Dar sio mahala salama kabisa

    Dar es salaam sio mahala salama. Unaweza kukabwa na vibaka hata ukiwa Lupaso aka Kwa Mkap (RIP) . Unasafairi na silaha ya kujihami maana hata ndani ya uwanja wa mkapa sio salama kabisa. Tujihami bana sisi wa mikoani.
  3. JamiiForums Tanzania Danger Alert: Simba Queens 2 - 0 Yanga Princess

    Hizo ni salamu za utangulizi. Mechi imechezwa mchana huu hapa Uwanja wa Uhuru. Kesho mtu anapigwa kimya kimya. Sherehe ya kimya kimya kama unatoka na mke wa mtu!
  4. JamiiForums Tanzania Simba wameamua kupuuzia mechi na Yanga? Hili jambo nalo pia linatutesa sisi Yanga

    Sijaelewa, kwanini Ali Kamwe ahangaishwe na ukimya wa Simba? Nimekuja gundua wakati sisi Yanga tunahangaika sana na hii mechi wenzetu wanaichukulia ni mechi ya kawaida tu. Hawajaamua kuwekeza nguvu nyingi sana, jambo ambalo pia ni kama limeanza kututesa. Ali Kamwe limemgusa, anaona kama jamaa...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kweli kesho kuna mchezo wa ligi kuu kati ya simba na yanga?

    Habari wakuuu. Nimeomba niulize hili swali kwenu wadau. Nilikuwa na ndugu watatu TFF akiwemo katibu mkuu mstaafu. Wawili wametoka amesalia Kuwepo ofisini. Niende Moja kwa Moja kwenye swali, JE ni kweli kesho kutakuwa na mchezo kati ya Simba na Yanga??? Hizi timu TFF. Bodi ya ligi. Hata...
  6. JamiiForums Tanzania Simba SC tunashinda ila Makocha wa JamiiForums tumsaidie Kocha Mgunda kukipanga Kikosi chake

    Binafsi ningependa zaidi vifuatavyo: Kikosi A 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohamed Hussein 4. Kennedy Juma 5. Joash Onyango 6. Henock Inonga 7. Saido Kanoute 8. Muzamir Yasin 9. Moses Phiri 10. Clatous Chama 11. Augustine Okra Kikosi B 1. Aishi Manula 2. Israel Mwenda 3. Mohamed...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kama kweli mnajipima na Simba kama njia ya kumtoa Club Africaine njia ni moja tu

    Kuna huyu jamaa mnayekuwa naye vyumba vya kubadilishia nguo, ustadh mchawi, kwa ufupi acheni janja janja. Kama mnataka kujipima kweli na Simba kuelekea Kombe la Shirikisho huyo mtu msimtumie, toeni uwezo wenu kamili uwanjani. Hiyo ndiyo namna pekee ya kujiandaa, punguzeni janja janja.
  8. JamiiForums Tanzania Simba kufika makundi haimaanishi ubora kuliko Yanga

    Je, De Agosto ya Simba ni bora kuliko Al-Hilal ya Yanga? Au zina ubora sawa? Kama ukishindwa kutoa jibu sahihi kwenye maswali haya, basi Simba inaweza kuchapwa na Yanga tarehe 23 October bila kulazimika kumlaumu Mgunda. Na wala Nabi asilaumiwe kwa kutolewa na Al Hilal kwa kumlinganisha na...
  9. JamiiForums Tanzania Aziz Ki angefanya vizuri ikwa angesajiiwa Simba SC, Yanga wanacheza mpira wa hovyo

    Huu ndiyo ukweli, mpira wa Asec Memosa ni mpira wa kasi, siyo wa taratibu. Na wachezaji wengi wa Afrika Magharibi wanacheza mpira wa kasi. Timu pekee kwa Tanzania kwa sasa inayocheza mpira wa kitaalamu na wenye ubunifu ni Simba SC. Hivyo usahili wa Ki hapo Yanga haujaleta matokeo kulingana na...
  10. JamiiForums Tanzania Tarehe 23.10.2022 Siku ya Jumapili Simba akifanikiwa kumfunga Yanga niko pale!

    Kwa ufupi sana, hiyo siku simba hawezi shinda, labda ashinde njaa. Hana ubavu wa kumfunga Yanga, akijitahidi sana basi atoe sare, na ni baada ya kupunguza magoli mawili ya Yanga ili iwe 1:1. Lakini uhalisia ni Yanga 3 : Simba 1. Simba akifanikiwa kumfunga Yanga niko paleeee!
  11. JamiiForums Tanzania Kuelekea Kariakoo Derby: Simba SC ndiyo timu yenye kiwango bora hadi hivi sasa

    Takwimu hazidanganyi, kwa sasa Simba wapo vizuri sana. Mechi 5 walizocheza hadi hivi sasa; ~ Wamefunga magoli 11 ~ Wameruhusu magoli 2 Kimataifa wamecheza za jumla ya mechi 4; ~ Wanefunga magoli 8 ~ Wameruhusu goli 1 Wametinga hatua ya makundi CAF Champions League, vinara Ligi Kuu Tanzania bara.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Zahera katumwa kuwatoa Simba mchezoni? Anaendelea na Media Tour!

    Naona yuko Kipenga Xtra, hivi huyu mzee si bado ni kama Technical Director na Kocha wa vijana hapo Utopoloni? Ni mengi aliyoongea jana ni ukweli, lakini pia yanaweza kuwa na uharibifu kwa wachezaji wa Utopolo. Sasa mbona leo ni kama anaendelea na Media Tour yake? Mabosi wake hapo Utopoloni...
  13. JamiiForums Tanzania UTABIRI: Oktoba 23, Simba 3 - 0 Yanga

    Declaration of interest. Mimi ni Yanga kindakindaki na sina mkia wowote maungoni mwangu na moyoni mwangu. Utabiri huu umeegemea upande wa kiroho zaidi kuliko upande wa kimwili ambao unajumuisha ubora wa timu, ubora wa wachezaji mmoja mmoja, mbinu za uwanjani na za nje ya uwanja. Jambo lolote...
  14. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally bado ana Utoto, Usemaji wa Kipuuzi ambao si Level ya Simba

    Binafsi naona msemaji aliyekuwa smart alikuwa Ezekiel Kamwaga. Huyu alikuwa professional hasa. Anajielewa na anaelewa Taaluma yake na hadhi ya Club aliyokuwa anaisemea.. Ahmed Ally nlitegemea angekuwa na cha kujifunza katika hilo. Kuwa msemaji wa kisasa mwenye weledi. Ameeenda kuangukia kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Ndani ya miaka mitatu Al Hilal imeingia hatua ya makundi mara tatu, Simba mara moja tu!

    Mwaka 2019/20 Al Hilal waliingia hatua ya makundi wakati Simba iliondoshwa mapema na Ud Songo. Mwaka 2020/21 wote Simba na Al Hilal waliingia hatua ya makundi. Mwaka 2021/22 Al Hilal walitinga hatua ya makundi na Simba iliondoshwa mapema na Jwaneng Galaxy. Kumbe ndiyo maana Al Hilal...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Simba tujipange, Uto wamekamia kumalizia hasira yao tarehe 23/10/2022. Tawi la mwisho liteleze!

    Iko wazi kabisa kuwa Yanga wameshikwa pabaya! Tumaini lao lililobaki kwa mbali ni kutaka kufurahisha na kuwasahaulisha machungu ya kufurumushwa CAF Champions League kama kibaka fulan hivi, kwa kujaribu kuwafunga Simba. Kwa mtazamo wa Yanga, kumfunga Simba ni kama kuchukua Kombe la Duinia, huwa...
  17. JamiiForums Tanzania Simba iliachana na Dejan, Yanga wasione aibu kuachana na Aziz Ki

    Simba walipoona wamepigwa walitumia mbinu za kivita kumpa 'frustrations' yule Dejan mpaka yeye mwenyewe akasepa bila kuiingiza timu gharama. Sasa Yanga kwa kule kupigwa 500m za usajili wasikubali kuendelea kupigwa 20m za mshahara. Jamaa anarukaruka tu uwanjani. Anzeni kazi hapo angalau muokoe...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kama mshabiki wa Simba ni timu gani ungependa Simba ikutane nazo katika makundi ya klabu bingwa Afrika?

    Binafsi napenda tupangiwe kundi moja na Wydad Ac Al hilal Coton sport de Garoua Je wewe ungependa tukutane na timu gani?
  19. JamiiForums Tanzania Simba haina timu ya kuifunga Yanga. Ikitokea Simba imemfunga Yanga nakalia moto bila kuwa na nguo

    Admins nimeweka hii ahadi kuwa ikitokea bahati mbaya. Maana si rahisi. Simba akamfunga yanga natuma picha humu nimekalia moto nikiwa uchi. Na naomba members wawili au watatu wawepo kama mashaidi. Nikishindwa nipigwe ban mwezi mzima. Simba ni team mbovu kwa Yanga. Simba haiwezi mfunga Yanga...
  20. JamiiForums Tanzania Simba na mihela ya CAF na uhalisia wa wachezaji

    Hivi ndivyo CAF walivyoitajirisha Simba, wajazwa bilioni 6.7 kwa siku 1,460 Kuanzia 2018 hadi sasa, Simba imepitia katika kipindi cha neema kutokana na mafanikio makubwa iliyoyapata katika mashindano ya kimataifa na yale ya ndani, ikitwaa mataji matatu ya Ligi Kuu, mawili ya Kombe la Shirikisho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…