simba

  1. JamiiForums Tanzania Wito kwa Askari Polisi Barabarani tunaomba yule Dereva wa gari ya Simba SC anyang'anywe leseni yake

    Habari yako kamanda mkuu wa Barabarani, Kuna video inasambaa ikionesha basi ambalo moja kwa moja linaonekana ni la timu ya Simba SC likiendeshwa kinyumenyume katika barabara kuu hapo Dar es salaam. Mara tu baada ya kuona video hiyo nikiwa kama msamaria mwema katika nchi hii nimeamua nitoe...
  2. JamiiForums Tanzania Robertinho asema “Tangu nimefika sipajata nafasi nzuri ya kuiandaa Simba, kila wakati ni mechi mechi tu, nipeni muda

    Baada ya Simba kupoteza kwa magolo 3-0 dhidi ya Raja Casablanca, hivi ndivyo Kocha wa Simba, Roberto Oliveira Robertinho alivyosema: “Nafikiri timu yangu imecheza vizuri lakini ilitakiw akucheza kwa umakini zaidi ya ilivyokuwa, ndivyo mchezo wa soka ulivyo, Raja wamekuwa wazuri kuliko sisi...
  3. JamiiForums Tanzania Muda wa Wanasiasa kutafutia sifa Simba na Yanga umeisha. Kila wakitia neno tunapigwa

    Siasa za CCM zianze kuangalia vitu vya Msingi tu kila wakija kwenye soka always ni nuksi tu. Kwanza watu wanawekeza mabilion Alafu mwanasiasa anataka apate sifa kwa m 5 isiyotosha ata mshahara wa mwezi wa mchezaji. Kawaida Simba hununua away game kwa m 200. Sasa Hawa wanaomshauri mama...
  4. JamiiForums Tanzania Ahadi ya Milioni 5 aliyotoa Rais itaziponza Simba na Yanga. Hazina bahati na wanasiasa

    Siasa za CCM zianze kuangalia vitu vya Msingi tu kila wakija kwenye soka always ni nuksi tu. Kwanza watu wanawekeza mabilion Alafu mwanasiasa anataka apate sifa kwa m 5 isiyotosha ata mshahara wa mwezi wa mchezaji. Kawaida Simba hununua away game kwa m 200. Sasa Hawa wanaomshauri mama...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kugundua Mashabiki wa Simba SC wanapenda Kudanganywa nami Nikawadanganya vilivyo

    Baada ya MINOCYCLINE niliyebarikiwa Jicho la Kiufundi kuja na Uzi hapa hapa JamiiForums Wiki Moja imepita kuwa Raja Casablanca FC ni Maji Marefu kwa Simba SC yangu ( yetu ) nilipokea Matusi, Kashfa na Dhihaka nyingi na hatimaye kile nilichokisema leo kimetokea. Na baada ya Kugundua na Kuwasoma...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Viongozi Simba matokeo haya yanawahusu

    Viongozi wa Simba kiburi chenu cha kutosikiliza ushauri, hii aibu inawahusu. Watu wengi walishauri kuwa haikuwa wakati sahihi wa kumleta kocha mpya katika dirisha dogo wakati aliyekuwapo alikuwa anafanya vizuri. Au kwa vile Mgunda amekuwa mzawa ndiyo mukamdharau. Mechi zote za kimataifa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia acha kushughulika na Simba na Yanga kisiasa. Wekeza kwenye maendeleo ya Watanzania

    Unaumiza kichwa kutoa ahadi zisizo na tija. Toa ahadi ya Mil 5 kwa Mwl atayetoa matokeo mazuri. Toa ahadi kwa afande atakaye dhibhiti ujambazi. Toa ahadi kwa manesi . Ona sasa
  8. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga hazitofuzu kwenye makundi yao

    Wote wataishia kutolewa katika hatua ya makundi. Sioni timu yoyote ya Tanzania iliyovizuri katika michuano ya kimataifa. Kwahyo nawaomba mpunguze matarajio makubwa vichwani vyenu
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ijue kesho leo: Sayansi ya mchezo wa Simba na Raja hii hapa

    Mchezo wa Simba na Raja Leo! Saa 1:00 kipyenga cha mwamuzi kitapulizwa! Mpira utakuwa wa kasi na tahadhali nyingi! Simba watashambulia kuanzia dakika ya 1~20 ya mchezo! Kipindi hiki ndicho muda pekee wa simba kutwaa ushindi Leo! Nguvu ya ulimwengu itawasaidia simba kupata ushindi kwa muda huo...
  10. JamiiForums Tanzania Utabiri: Simba atadroo wakati Yanga atashinda huko katika mechi za kimataifa

    Baada ya kupatia utabiri wangu wa wiki iliyopita leo tena nawasogezea utabiri wa mechi za weekend hii kwa wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya kimataifa. Simba ambayo inashuka dimbani leo, itatoa droo ya 1-1 dhidi ya Raja Casablanca. Kutakuwa na red card pia katika mchezo huo. Yanga...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Msaada AZAM MAX APP. Nifanyeje kupata chaneli zinazoonesha mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika na Shirikisho za CAF za Simba na Yanga?

    Ninatumia AZAM MAX APP. Inapofika siku za mechi za CAF chaneli zinazoonesha zinaondolewa nakuwa zisizioni tena, afu mechi zikiisha zinarudishwa. kwa mnaotumia AZAM MAX APP naomba msaada namna ya kuipa ZBC 2 kwa sasa, leo niangalie games za CAF za Simba na Yanga
  12. JamiiForums Tanzania FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023

    Kwa Mkapa hatoki mtu!! Hii ni kauli mbiu maarufu kwa mashabiki wa Simba Sports Club linapokuja suala la mechi za Kimataifa za CAF. Kwa kauli hiyo ashakufa Al Ahly, Orlando Pirates, As Vita, Kaizer Chiefs na wengineo na sasa ni zamu ya kufa Raja Casablanca. Nani anabisha? Kikosi cha Simba...
  13. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni timu masikini kifedha

    Nimeangalia game ya Mamelody Vs Cotonsport. Mamelody wametimia kila idara aisee. Wachezaji wapo sawa kuanzia akili na miili.nimefatilia nikagundua wachezaji wa Mamelody sio wachezaji wa bei rahisi na wa kuokoteza. Timu masikini azifiki nusu wala fainali CAF, kufika huko ni lazima kwanza kikosi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC wote tumeshamaliza Kazi Kesho Mwarabu atatafuta wapi akimbilie

    Kwa tulichokifanya Mwenyezi Mungu tunakuomba utusamehe kwani hakuna namna tunahitaji Ushindi Kesho.
  15. JamiiForums Tanzania Watani wa jadi watatoka salama wikiendi hii?

    Simba anakutana na Raja huku Yanga atachuana na Mamba wa DRC Tout Puissant Mazembe. Unafikiri kati ya wekundu wa msimbazi na wananchi wapi wana uhakika wa ushindi?
  16. JamiiForums Tanzania Million 5 kwa kila Goli Simba na Yanga mnaenda kupoteana

    Pesa haijawahi kushinda mechi hata siku moja, kama pesa ingekuwa kigezo cha kufanya vizuri kwenye mechi basi marekani ingekuwa na timu bora sana duniani. Mpira ni mbinu na ubora wa wachezaji, kumbu kumbu zangu zinaniambia timu zote ambazo hupewa ofa kama hizi huangaukia pua. Simba na yanga...
  17. JamiiForums Tanzania Simba anachapwa Taifa na anaenda Kuchapwa tena Morocco

    Anapigwa Nyumbani kwake Simba na anaenda kupigwa Morocco. Sioni hata Draw kwa Simba. Sioni. Simba kesho Jumamosi atakachoshinda ni Njaa tu. Mimi naelezea kutokana na Ubovu wa Simba na Ubora wa Raja Maftaaah Casablanca. Sheikh hawa watu nawafahamu... Huwa wanafumua mishono. Wanatatua kila kitu...
  18. JamiiForums Tanzania TASWA wampongeza Waziri Dkt. Pindi Chana kwa uteuzi, yatuma salamu kwa Simba, Yanga

    Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kinampongeza Dk. Pindi Hazara Chana kwa kuteuliwa na Rais wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo mwanzoni mwa wiki hii. Pia TASWA inampongeza Said Othman Yakub kwa kuteuliwa na Rais Samia kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge Nancy Nyalusi atoa shilingi Milioni 10 kusaidia ujenzi wa wodi ya wanawake Ilala Simba

    MBUNGE MHE. NANCY NYALUSI AMETOA SHILINGI MILIONI 10 KUSAIDIA UJENZI WA WODI YA WANAWAKE ILALA SIMBA. MBUNGE wa Viti Maalumu (CCM) Mkoa wa Iringa Mhe. Nancy Nyalusi ametoa Shilingi Milioni 10 kwa uongozi wa kijiji cha Ilalasimba kilichopo katika kata ya Nzihi kwenye Halmashauri ya wilaya ya...
  20. JamiiForums Tanzania Ningekuwa Kocha wa Simba na Yanga ningeanza ifuatavyo

    Mimi ni mzalendo. Pamoja na kunipenda sana Simba lakini linapofika suala la Nchi Tanzania Huwa naweka mbele maslahi ya Nchi. Japo hakuna hata SEKTA Idara, Wala Taasisi yoyote yenye Mafanikio. Kama Ningekuwa KOCHA WA Simba ningeanza Hivi. 1. Aishi Manura. 2. Shomari kapombe. 3. Mohamed...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…