simba

  1. JamiiForums Tanzania Kuanzia Leo: Kusiwe na Simba wala Yanga 🤔

    Hakuna shaka kwamba Simba na Yanga ni timu za soka za kihistoria zaidi nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Timu hizi mbili zimekuwa na ushindani mkubwa kwa zaidi ya miaka 80 sasa na wamekuwa wakipambana kwenye uwanja wa soka kwa kiwango cha juu sana. Watu wengi wamekuwa wakishabikia...
  2. JamiiForums Tanzania Julio: Kwa Simba hii ya sasa kuna wachezaji watano tu wanaoweza kuisaidia timu

    Kocha Jamhuri Kihwelo Julio amedai kuwa kikosi cha Simba cha sasa kina wachezaji watano tu ambao wanaweza kuisaidia timu ndiyo maana hakuna matokeo mazuri. “Wachezaji wa sasa ambao wanaweza kuisaidia Simba hawazidi watano tu, jiulize ile Vipers iliyocheza na Simba kuna timu pale? Wale...
  3. JamiiForums Tanzania Simba yaizuia Yanga kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa

    Baada ya CAF kutoa maelekezo kuhusiana na mashindano ya Super Cup, uwanja wa Benjamin Mkapa umefungwa isipokuwa kwa mashindano ya kimataifa pekee. Kwa hiyo mashindano mengine yoyote ikiwemo yale ya Ligi ya NBC yataendelea katika viwanja vingine, kwa hiyo Yanga na Simba watalazimika kutumia...
  4. JamiiForums Tanzania Mo Dewji ateua wajumbe wapya Bodi ya Simba SC

    Taarifa ya Rais wa Heshima wa Simba Mwekezaji Mo Dewji Nimeteua wajumbe wanne wapya kwenye Bodi ya Simba Sports Club. Karibu Dk. Raphael Chegeni, Mhe Rashid Shangazi, Bwana Hamza Johari na Bwana Zulfikar Chandoo. Wanachama hawa wataleta uzoefu mkubwa ambao utasaidia katika kutimiza lengo la...
  5. JamiiForums Tanzania Simba tutamaliza Nafasi ya pili kundi C

    March 7, tunachukua point 3 Vs Vipers pale kwa mkapa. Tutafikisha point 6. Hiyo siku kama Horoya watajitahidi sana, watavuna point 1 Vs Raja. Watafikisha point 5. March 17, Horoya kwa mkapa hatoki. Tunavuna kwake point 3. Tutakuwa na jumla ya point 9. March 23 najua tutapoteza kwa Raja, ila...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania miaka 60 bado tunafuta njia ya mpira

    Kama unatazama hii Mechi ya Al Ahly vs Mamelodi Sundown, halafu unamsikia kiongozi wako anakwambia sisi malengo yetu ni nusu fainali ya Champions League, mpige kibao azinduke. Hawa jamaa wapo mbali sana kisoka, tukubali mpira unanjia zake na sisi bado tupo vichocholoni tunatafuta njia (hatua)...
  7. JamiiForums Tanzania Shomary Kapombe ndiyo Mchezaji Bora Simba kwa sasa

    Kama umefuatilia uchezaji wa Shomary Kapombe toka amepona majeraha yake amekuwa anacheza kwa kiwango kikubwa na kujituma kuliko mchezaji yoyote pale Simba. Kama kumbukumbu zangu ziko vizuri, ni kama game moja tu ndiyo kidogo alikuwa na changamoto uwanjani. Kama kuna mchezaji wa Simba...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea Simba SC kipi kati ya haya mawili kilikuwa cha muhimu ilipocheza na Vipers FC leo Kampala?

    Je; 1. Simba SC icheze mpira wake wa Samba Loketo ila ifungwe au iambulie sare/suluhu kisha timu na mashabiki tuvurugane zaidi, tuchapane bakora, tuchekwe na watani zetu Yanga SC na mgogoro uzidi Kukua. au 2. Simba SC icheze vibaya kama ilivyocheza leo (tena ikiwa ugenini) Jijini Kampala...
  9. JamiiForums Tanzania Wana Simba SC wote mnaomtukana, kumdharau na kutomtaka Kibu Denis akirejea kutoka Kampala mkamuombe Radhi

    Katika uzi wangu wa leo ambao pia nilijaribu kupanga vikosi vyangu viwili tofauti ambavyo niliona vingetupa matokeo na mwishoni, nilisisitiza mno kuwa mechi ya leo kwa uchezaji wa kutumia nguvu nyingi walionao waganda ingemfaa sana na angeisaidia Simba SC kimchezo. Huhitaji kupoteza muda au...
  10. JamiiForums Tanzania FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

    Ni siku nyingine tena ambapo Mabingwa wa Uganga Vipers S.C wanawakaribisha Simba S.C kwenye mchezo mwingine wa kutafuta alama tatu ili kujiweka sawa katika msimamo wa kundi C wa ligi ya Mabingwa barani Afrika. Mchezo huu utapigwa kwenye dimba la mtakatifu Maria huko Kitende nchini Uganda...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Hata kama leo timu itafungwa, Simba msimfukuze robertinho

    1. Robertinho ni mmoja wa makocha bora wa kigeni wanaolijua soka la Afrika mashariki 2. Hajakaa na timu muda mrefu ili aweze ku-instil falsafa yake ya timu kushambulia muda wote. 3. Timu ipo kwenye hatua ya mwisho ya kukua: kuanguka kwa kiingereza decline 4.Mgunda ndiyo mchawi wa robertinho...
  12. JamiiForums Tanzania Huu ndio utabiri wangu kwa Simba na Yanga weekend hii ya mwisho wa mwezi February, 2023

    Team zetu kubwa mbili zinashuka dimbani weekend hii. Naweza kusema tu team yenye jina la mnyama ambayo ndio itaanza kucheza inaenda kupata matokeo mazuri ila mchezo hautakuwa na zaidi ya goli 1. Lile kiza lililotanda kwa takribani mwezi mzima limetoweka naa kuanzia sasa makali ya mnyama huyu...
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: "Kocha wa Simba kama angepata bahati ya kufundisha Yanga, kila goli tunamuokotea Ubungo"

  14. M

    JamiiForums Tanzania Leo Presha imenipanda siwezi Kutizama Mechi ya Simba na Vipers, ila mlioko hapa mtanipa Updates

    Na kwa jinsi Presha ilivyonipanda kama Simba SC haitoshinda leo au hata ikitoka Sare/Suluhu tu naweza Kulazwa ICU. Ninaitakia tu Kila la Kheri Simba SC.
  15. JamiiForums Tanzania Saidoo na chama wakianza Basi Simba haishindi kesho. Ili mzungu afukuzwe

    Ukweli unauma lkn lazima usemwe. Kama Okra, Phiri, Israeli mwenda ndio waliofunga magoli kuipeleka Simba makundi hawachezi. Na Mgunda anamshauri mzungu awaache au amuingize mkude tusitegemee muujiza. Na Hawa wazawa Hawa akina Boko wanataka mzungu afukuzwe ili wazee wampe timu Mgunda waanze...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Simba hii ndiyo mbinu pekee itakayowapa ushindi kesho inje ya hapo mtapigwa vibaya (uchawi wa vipers huu hapa)

    Kesho timu ya Simba itashuka dimbani na Vipers sc ya Uganda! Hii mechi kwa simba ni ngumu endapo wakikurupuka lakini ni nyepesi mno wakifuata haya! Viper wataumiliki sana mpira dakika za Awali kuanzia mwanzoni hadi dakika ya 18 ya mchezo! Kutokana na hili SIMBA Waanze na mbinu ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nawapa 100% Yanga SC kufuzu Robo Fainali CAFCC na Simba SC 200% kutofuzu Robo Fainali CAFCL?

    Tayari Yanga SC ina Alama 3 hivyo akitoka tu sare/suluhu huko nchini Mali dhidi ya Real Bamako FC atakuwa na alama 4 au 6 kama akishinda. Mechi yao ya marudiano Dar es Salaam nchini Tanzania Yanga SC akishinda atakuwa na alama 9 na hata kwa bahati mbaya akitoka suluhu bado atakuwa na alama 5...
  18. JamiiForums Tanzania Utabiri: Simba atadroo wakati Yanga atafungwa huko kwenye mechi za Kimataifa

    Simba na Yanga wote wana mechi za kimataifa mwishoni mwa wiki. Utabiri wangu kwakuwa wote wapo ugenini, Simba atadroo na Vipers wakati Yanga atapigwa goli mbili kule Mali.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Simba SC tujiandae kujenga timu ya baadae kwa sasa wachezaj wamechoka

    Ukiangalia SImba kwa nini timu haitembee. Kuna mambo mawili ya kuangalia kwanza UMRI wa wachezaji waliopo SIMBA wengi ni 30 and above, Pili SImba haipandishi vijana wa under 20 kuja timu ya wakubwa. 1. SIMBA hii imecheza CAF CL na CAF CC kwa muda wa miaka kama minne mfulululizo ikiwa na hawa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike Simba kushinda dhidi ya Vipers?

    Ili Simba ishinde ugenini Uganda itakapocheza na Vipers kwanza kabisa Robertinho atumie mfumo wa Juma Mgunda ili kuleta ufanishi kwenye timu. Mbinu zake hazifanyi kazi Simba kwa sbb ya wachezaj waliopo hawawez kukimbia sana na kucheza direct football kama liverpool kwa maana pass ndefu za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…