Hata kama leo timu itafungwa, Simba msimfukuze robertinho

Algore

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
2,097
3,362
1. Robertinho ni mmoja wa makocha bora wa kigeni wanaolijua soka la Afrika mashariki
2. Hajakaa na timu muda mrefu ili aweze ku-instil falsafa yake ya timu kushambulia muda wote.
3. Timu ipo kwenye hatua ya mwisho ya kukua: kuanguka kwa kiingereza decline
4.Mgunda ndiyo mchawi wa robertinho anafanya kila fitina ili kocha asifanikiwe ili arudishiwe timo
5. Kwa hiyo kocha apewe muda ili ajenge timu ya makombe
 
Simba wangebaki na Mgunda wa focus kushinda mechi na makombe ya ndani kuliko ivi wanavyotaka kushinda mechi za ndani na nje kwa mpigo...
 
1. Robertinho ni mmoja wa makocha bora wa kigeni wanaolijua soka la Afrika mashariki
2. Hajakaa na timu muda mrefu ili aweze ku-instil falsafa yake ya timu kushambulia muda wote.
3. Timu ipo kwenye hatua ya mwisho ya kukua: kuanguka kwa kiingereza decline
4.Mgunda ndiyo mchawi wa robertinho anafanya kila fitina ili kocha asifanikiwe ili arudishiwe timo
5. Kwa hiyo kocha apewe muda ili ajenge timu ya makombe
Niliposikia wapenzi wa Simba ni mbumbumbu niliona kama tusi,ila kwa maoni kama haya ninakubaliana kuna watu ni zaidi ya wapumbavu.

Wewe huwezi kuwa unaipenda Simba kuliko Mgunda.Huna lolote zaidi ya majungu na fitna tu.
 
Simba walichukua kocha bila kufanya utafiti na tulisha yazungumza haya.
Wachezaji wa Vipers Wana wastani wa miaka 24 ndio maana soka la vipers ni direct halina mambo mengi na Wana Kaba Kwa nguvu sana.
Umri wa wachezaji wa Simba Wana wastani wa miaka 30, Kwa Falsafa za Robertinyo haziendani na timu ya Simba.
Simba hawana uwezo wa kukaba Kwa nguvu mwishowake wanazalisha Matundu kwenye difence Yao.
 
Yaani hata sijui nichangie nini kwa maoni haya. Ninachoona ni kusubiri kipenga tu kipulizwe na kandanda lianze
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom