simba

  1. S

    JamiiForums Tanzania Simba 6 - 0 Yanga. Bado una nguvu za kusema Horoya wabovu?

  2. JamiiForums Tanzania Simba SC yavunja rekodi ya Raja kuifunga Yanga goli 6

    Hii ni rekodi ya vipigo vikali kuwahi kutolewa katika mashindano ya klabu bingwa Afrika. Tulichofanya leo ni kuvunja rekodi ya Raja kumchapa Utopolo goli 6. 1998: 🇲🇦Raja [6-0] 🇹🇿Yanga 2001: 🇮🇪ASEC Mimosas [7-0] CR 🇩🇿Belouizdad 2019: 🇨🇩TP Mazembe [8-0] 🇹🇳Club Africain 2023: 🇹🇿Simba [7-0]...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kwa ushindi huu wa Simba, Raja hawawezi kupanga kikosi cha pili, hivyo Simba mjipange

    Ushindi huu mkubwa walioupata Simba ni furaha kubwa kwao leo hiii, ila huko Morroco unaweza kuwagharimu. Sababu moja kubwa ni kuwa, kama Raja walikuwa wanaichukulia poa Simba , sasa watalazimika kubadili mtazamo na kuikabilli Simba kama vile wanasaka point tatu muhimu japo wameshafuzu. Muda...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Well done Simba. Ukikutana na kibonde mwenzako mpe nyingi bila kuremba

    Horoya kwa namna wanavyocheza ilikuwa halali wapigwe nyingi, kwanza hawakumuheshimu mpinzani ambaye yuko nyumbani kwake, wameingia kwenye mchezo wakafunguka kuanzia dk ya kwanza ya mchezo, na hapo hapo wakashindwa kujielewa kwamba sio wazuri ni timu ya kawaida sana ambayo nafikiri bado...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Utabiri wakutisha ktk mbuga za Serengeti Kifo cha Simba dume Bob Junior

    Utabiri ambao umejificha ktk kifo cha Simba Bob Junior ama kwa hakika ni Utabiri wakutisha Kuna watu wanadhani may be unahusu serikali ya sita vile umetokea na mwezi ulio tokea. Mimi nataka kuwaambia kile kimetokea ktk mbuga ya Serengeti ni Utabiri ambao ni very complex. Ktk mbuga ya Serengeti...
  6. JamiiForums Tanzania Kama una Mwanamke Muongeaji mwenye ma Stori halafu anashabikia Simba SC, tulia naye!

    Uko kazin? Upo wapi sahiz? Umekaa na nani?. Umekula nn?. Umelala na nani? Mnaongea nn?. Hizo ndio Stori za Bidada wangu Mchepuko wangu madam Fulani Hivi Mwalimu 🤣🤣 Hana Stori kabisa, yeye ni maswali mwanzo mwisho, ni maswali mwanzo mwisho !!.Maswali mpaka Anaboa, nimeshamwambia hivi wee...
  7. JamiiForums Tanzania Simba SC haifiki Robo Fainali na leo inafungwa goli 2

    Baada ya kupata point sita kwa vibonde Vipers mashabiki wanaamini leo watafanya vizuri. Simba leo anafungwa na wakijitahidi Sana ni sare, matumaini ya kwenda robo fainal yanaishia hapa Tukutane saa 3 baada ya mechi Simba kwa mkapa anawezekana
  8. J

    JamiiForums Tanzania Wengi hamtaamini lakini Simba na Yanga wote hawapenyi robo fainali, kwa sababu hii

    Simba anacheza na Horoya ambayo inakuja kutafuta draw kwa Mkapa, kwa forward za Simba zilivyo, Horoya ana uwezekano wa 80% ambao ni mkubwa sana wa kupata draw Mechi ya mwisho anacheza nyumbani dhidi ya Vipers ambayo hawana cha kupoteza Yanga anatakiwa kumfunga Monastir, nasisitiza sio draw...
  9. JamiiForums Tanzania Tunaopenda soka kwelikweli Bila Unafiki tunaziombea Simba na Yanga ushindi katika Michezo hii ya Weekend.

    Naam Habarini za Jumamosi Wanajukwaa. Leo ni siku Murua kabisa kwetu sisi wapenda soka tena lile soka zuri lisilo na Makolokolo,Soka lisilo na Mara Refa kafanya hiki Mara shirikisho limependelea fulani si hatupendi hayo. Sisi wote kwa pamoja kama Chama cha wapenda soka la kweli tunaziombea...
  10. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

    Mnyama Mkubwa Mwituni asiyefugika, Simba Sports Club anashuka dimbani leo kuikabili Horoya AC katika mchezo muhimu wa kundi C. Simba itaingia uwanjani ikiwa na alama 6 huku Horoya wakiwa na alama 4. Ushindi wa aina yoyote utawafanya Simba wafuzu robo fainali. Leo ni ama afe kipa au afe beki...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga watalipa kisasi kimataifa wikendi hii?

    Simba atamkaribisha Horoya Jumamosi hii pale kwa Mkapa huku Yanga atamkaribisha Monastir siku ya Jumapili! Ikumbukwe Simba alichapwa bao 1-0 na Horoya ugenini na Yanga alilazwa bao 2-0 na Monastir ugenini! Wale wazee wa mikeka ya Sokabet, Nipeni muongozo maana nataka nipige zangu pesa tu...
  12. JamiiForums Tanzania Ili Simba na Yanga zitoboe ziache kuombeana mabaya mechi za kimataifa.

    Simba na Yanga wakizifunga timu za nje ya nchi furaha Yao isiwe kweñye madirisha ya nyumba za washabiki wa Simba au Yanga. Wafurahie bila kuitaja Yanga au Simba. Hii itaukata mnyororo wa timu hizi kuhujumiana kwenye mechi za kimataifa. Ili mpira wetu ukue lazima timu zetu zifanye vizuri...
  13. JamiiForums Tanzania Wakati watoto wa masikini mnabishana kuhusu Simba na Yanga, matajiri na marafiki zao wanasiasa wanawagawia ajira nzuri watoto wao

    Nawakumbusha tu vijana. Kuwa wakati nyie mnabishana kuhusu Simba na Yanga au Liverpool na Man U wanasiasa pamoja na marafiki zao matajiri wanagawanya ajira nzuri nzuri na kuwapatia watoto wao. Nyie endeleeni kusubiri ajira zile za kukaripiwa na madiwani, ma DAS, ma DED, ma DC n.k, nako hizo...
  14. JamiiForums Tanzania Simba Sc yaendelea kuingiza timu 4 mashindano ya CAF

    SIMBA imeshaipa neema Tanzania 🇹🇿 baada ya kuingiza timu nne kwenye mashindano ya klabu Afrika msimu huu na msimu ujao kwa mara ya tatu mfululizo. Kitendo cha Simba kuwepo katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika hadi sasa kimeihakikishia Tanzania pointi moja. Aidha Yanga kuwepo...
  15. JamiiForums Tanzania Hassan Dilunga "HD" amepona na ameanza mazoezi Simba SC

    Hassan Dilunga amerejea tena Simba Sc mara baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu. Picha zimemuonesha HD akiwa mazoezini huku akitupia jezi mpya za mazoezi za Simba SC. Hii itakuwa habari njema kwa Wana Simba na Taifa Stars.
  16. JamiiForums Tanzania Nimeota Simba atapigwa 5 ila atafanikiwa kurudisha kipindi cha pili, Sijajua ni kati ya Horoya au Raja Casablanca

    Wakuu, Hii ndoto nimeota mtu kapigwa 5 then zikarudi kwenye secons half, Japo sijajua ni mpinzani yupi kati ya Horoya au Raja Casablanca. NB: Ni ndoto tu, No guarantee.
  17. JamiiForums Tanzania Simba Bob Junior wa Serengeti apinduliwa na kuuawa

    SAD NEWS… Taarifa ya kifo cha Simba maarufu huko Serengeti ajulikanae kama Bob imezistua Nyoyo za Watu wengi Duniani ambao walifanikiwa kumuona Simba huyo ambae alikuwa kipenzi cha Watu kwa kuwa hakuwa na tabia za kujificha wala kukwepa Camera. Bob alikutwa na umauti baada ya kundi la Simba...
  18. JamiiForums Tanzania Wasemaji wa team ya Simba na Yanga wamenishangaza sana leo!

    Yaani leo ndio nimejua kumbe mpira wetu nikama siasa zetu tu hatupoki professional kabisa. Wasemaji wote wa simba na yanga wameongea kuhusu mechi za kimataifa zinazokuja. Ajabu wapo bize kwenye press wakijiandaa kwenye kampeni kubwa kuanzia jumatano za kupita mtaa kwa mtaa ili kupata washabiki...
  19. JamiiForums Tanzania Simba tunaomba CAF watupangie Mamelodi robo fainali

    Niwaombe Caf, chonde chonde watupangie Masandawana au Mamelodi sundowns. Naona wanajitapa sana huko mitandaoni na mbaya zaidi wanasema wakikutana na sisi watatugeuza kama kitoto cha simba mbele ya kundi la fisi 40. Kwa heshima ya mpira wa Tanzania na afrika kwa sasa timu pekee inayoweza kuziba...
  20. JamiiForums Tanzania Simba atafungwa na Raja zaidi ya goli 6 huko Morocco

    Ndio, ni hesabu za CROSS MULTIPLICATION. Mwaka 1998 Yanga alidraw na Raja hapa Dar es salaam, Morocco akapoteza kwa goli 6. Sasa huyu aliyefungwa 3 Taifa, Morocco atapigwa ngapi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…