Nikiwa kama shabiki wa Simba huwa ninaumia sana kuona miaka yote sisi tunakuwa wasindikizaji. Mbaya zaidi kila tunapokutana na watani zetu tunaishia kuchapwa tukijitahidi sana ni draw.
Nadhani ifike wakati kocha apewe malengo kwamba asipoweza kuchukua ubingwa wa ligi au walau kuifunga Yanga...
Mimi nikiwa ni mdau wa soka, Nashangazwa na sifa ,majigambo na majivuno wanayojipatia mashabiki , wapenzi , viongozi na waandishi wa habari za michezo kuwa HATUA YA ROBO FAINALI YA MASHINDANO YA AFRIKA yaliyofikiwa na vilabu hivi eti tunaita MAFANIKIO.
Huo ni UONGO, UZEMBE NA UDWANZI, mafanikio...
Karibuni wadau wote wa michezo kutabiri matokeo ya huu mchezo wa marudiano kati ya hizi timu mbili kubwa kabisa Barani Afrika; Raja Casablanca ya Morocco vs Simba ya Tanzania.
Ikumbukwe timu zote mbili tayari zimeshafuzu hatua inayofuata ya robo fainali, Kombe la Klabu Bingwa Afrika. Na katika...
"Huko nyuma nilipojiunga na Champions, hawa wafanya interview za kujitafutia Rizki ya kula,waliandika hilo ndio anguko la Haji, haikuwa kwa Uwezo wa Allah.
Nilipofungiwa waliandaa hadi Party Kwamba nimekwisha, Mungu yule yule akakataa. Brand iliyoojengwa kisawa sawa haifi kwa maneno ya...
Afisa habari mkuu wa mabingwa mara 28 wa tanzania na mabingwa watarajiwa wa kombe la shirikisho Africa Ali kamwe amenukuriwa akiwataka Simba Kwa vile unapata ugumu kushinda mbele ya waarabu basi suluhisho limepatikana. wanatakiwa kujifunza Kwa yanga.
Nini Simba wafanye?
Kwa kuwa muda umeisha...
Nakumbuka zile mechi za CAF za Simba kipindi Haji Manara Afisa habari wa Simba, alikuwa anajaza uwanja wa Mkapa alikuwa ana press nyingi sijui, atembee kwenye masoko, gereji, kariakoo n.k, Haji Manara kwenye uhamasishaji Yuko vizuri kuliko Ahmedy Ally na Ally kamwe
Ahmedy Ally kwenye...
Ni vizuri pia tukawajuza umate umate utakaoingizwa na hizi timu 2 baada ya kutinga Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho na Klabu Bingwa Afrika, mgawanyo ndio huu;
Yanga: Milioni 820 kutoka CAF + Bilioni 1.5 kutoka wadhamini wao Kampuni ya Haier + Milioni 40 zawadi ya Rais Samia, jumla...
Mlilkuwa mnasema kwamba kuingia robo fainali ya Klabu Bingwa ama Shirikisho si mafanikio kwa timu ya Mpira Afrika bali kuchukua kombe ndiyo mafanikio. Mlikuwa mnasema hakuna kitu Simba imepata kwa kuingia Robo fainali ya Klabu Bingwa na Shirikisho!
Nyie sasa mmeingia robo fainali kwa mara ya...
Dunia nzima bado inajadili tetemeko la Samba Loketo lililotokea siku ya Jumamosi mjini Dar es Salaam.
Moja wa mahasimu wakubwa wa Simba SC barani Afrika, Raja AC nao wameonekana kushtushwa na ubora na wingi wa magoli ambayo Simba walimtandika Horoya.
Tukumbuke Raja alimfunga Horoya kwa shida...
Kutokana na wingi wa magoli, naona hatujapata muda hasa wa kuyazungumzia vizuri ubora wa magoli waliyofunga Simba. Nimeona ni vizuri tulijadili hili.
Kwa upande wangu nitazungumzia hasa magoli mawili.
Goli la 6 ni moja ya magoli bora niliyowahi kuona timu ya Tanzania inafunga. Angalia wingi na...
Ninawapa hongera kubwa sana kwa kutufurahisha sisi Watanzania kwa ushindi mlioupata katika mzunguko wa kufuzu Robo Fainali.
Juhudi zenu zisikome hapo mlipofikia, ila tunaomba safari hii mfike mpaka Fainali. Narudia tena hongereni sana Wanalunyasi na timu ya Wananchi.
Mimi kwa kuwa ni mpenzi wa dhati wa soka, nimewahi kukaa na kuangalia mechi na wachezaji wa zamani na kujua kwa kina historia mbalimbali za soka maana bila kujua ulipotoka hauwezi kujua unapokwenda.
Leo nimewaza timu ya Simba inayoonekana kuwa na wakongwe wengi ambao wanaelekea ukingoni mwa...
Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza hayo baada ya Simba kushinda magoli 7-0 dhidi ya Horoya katika mchezo wa Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kwenye Uwanja wa Mkapa.
Hii klabu ya Simba tangu zamani imeundwa kwa mifumo ya kishirikina shirikina, jana walitakiwa wafunge goli 3-0, nikiwa na maana ya yanga leo naye kushinda bao 4-0.
Tatizo linaanza mchezo wa jana mipira miwili tu ndio ilihusika na kwa mara ya kwanza kwenye historia nimeona maajabu ya mpira...
Tuliaminishwa kuwa Kapombe na Hussein (Zimbwe Jr) ama wamezeeka au viwango vimeporomoka. Leo baada ya ushindi wa kishindo watu wanakuja kupiganao picha kwa mkapa.
Wakaitwa watu wanachezea benchi.
Nazani TFF wasilete usanii. Waachwe tu waende na Kibwana Shomari na nabi kwenye benchi tusubiri...
Hii ni rekodi ya vipigo vikali kuwahi kutolewa katika mashindano ya klabu bingwa Afrika.
Tulichofanya leo ni kuvunja rekodi ya Raja kumchapa Utopolo goli 6.
1998: 🇲🇦Raja [6-0] 🇹🇿Yanga
2001: 🇮🇪ASEC Mimosas [7-0] CR 🇩🇿Belouizdad
2019: 🇨🇩TP Mazembe [8-0] 🇹🇳Club Africain
2023: 🇹🇿Simba [7-0]...
Ushindi huu mkubwa walioupata Simba ni furaha kubwa kwao leo hiii, ila huko Morroco unaweza kuwagharimu.
Sababu moja kubwa ni kuwa, kama Raja walikuwa wanaichukulia poa Simba , sasa watalazimika kubadili mtazamo na kuikabilli Simba kama vile wanasaka point tatu muhimu japo wameshafuzu.
Muda...
Horoya kwa namna wanavyocheza ilikuwa halali wapigwe nyingi, kwanza hawakumuheshimu mpinzani ambaye yuko nyumbani kwake, wameingia kwenye mchezo wakafunguka kuanzia dk ya kwanza ya mchezo, na hapo hapo wakashindwa kujielewa kwamba sio wazuri ni timu ya kawaida sana ambayo nafikiri bado...
Utabiri ambao umejificha ktk kifo cha Simba Bob Junior ama kwa hakika ni Utabiri wakutisha Kuna watu wanadhani may be unahusu serikali ya sita vile umetokea na mwezi ulio tokea.
Mimi nataka kuwaambia kile kimetokea ktk mbuga ya Serengeti ni Utabiri ambao ni very complex.
Ktk mbuga ya Serengeti...