simba

  1. JamiiForums Tanzania Leo nasema kwa mara ya mwisho Shida Kuu ndani ya Simba SC na yasipotatuliwa Wahusika Watapigwa Ngumi

    Shida Kuu Simba Sports Club 1. Mwekezaji Mo na Uongo wake juu ya kuweka Tsh 20 Billion huku akifaidika zaidi na Timu kuliko Simba SC inavyofaidika nae 2. 90% ya Wajumbe wa Bodi ya Simba SC ni Wapigaji huku kila Mmoja akiwa na Mchezaji wake kwa ajili ya 10% na wasipoipata wanawalazimisha...
  2. JamiiForums Tanzania Rasmi, Yanga ndio timu bora zaidi Afrika Mashariki na Kati

    Haijawahi kutokea hapa Tanzania kukawa na timu ya mpira wa miguu iliyo bora kama au kuliko Young Africans, Yanga pia ndiyo timu pekee kutoka Tanzania kushinda mechi nyingi za nje za kimataifa kwa msimu mmoja. Mpira wa miguu utapata heshima kubwa na kuleta maana ikiwa Yanga itachukua ubingwa wa...
  3. JamiiForums Tanzania Tumetoka mbali: Simba iliyocheza Fainali ilikuwa ikivaa jezi za Manchester United

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza pichani ni kikosi cha simba kilichocheza fainali za Abiola 1993 na picha ya Roy Keane wa Man U 1993. Dah kitambo sana mara ya mwisho Tanzania kuingiza timu fainali. Mtu anavaa jezi bila hata kuwa na Mkataba na sharp.
  4. JamiiForums Tanzania Kikosi cha Simba 2012: Wako wapi na wanafanya nini kwa sasa?

    Mwenye kujua walipo wachezaji wa Simba 2012 walioifunga Yanga 5 - 0 ashushe data hapa kwa heshima ya hawa Legends walioipa Yanga adhabu isiyovumilika. Wapo wapi na wanafanya nini kwa sasa?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nguvu anayotumia Mnyama ili Yanga asiwe Bingwa caf confederation cup, inatisha!

    Maandalizi na mihangaiko ambayo nimeishuhudia kwa macho yangu kwa baadhi ya viongozi, wajumbe na wanachama wa Mnyama wakihangaika kufanya kila wawezalo kuhakikisha Mwananchi hachukui ubingwa wa caf confederation cup ni kubwa mno. Imeagizwa fuso zima iliyojaa nazi kwa ajili ya kuroga, Mbuzi 25...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Simba ana ubingwa upi mpaka kushiriki CAFCL?

    Hii nadharia ya kuwasema Wanaoshiriki Shirikisho ni waliofeli sio sahihi, hii ni kujificha kwenye kivuli Cha kufeli Kwa Magungu. Kuna michuano wanaita CAF champions League, yaani michuano ya Mabingwa , Sasa kama ndo hivo basi Simba hakupaswa kushiriki Ligi hiyo kwakuwa Huyu Simba si bingwa wa...
  7. JamiiForums Tanzania Chama afungiwa mechi tatu na faini ya Tsh. Laki 5

    Mchezaji wa Simba Clatous Chama amefungiwa mechi tatu na faini ya Tsh. 500,000/- kwa kumkanyaga kwa maksudi mchezaji wa Ruvu Shooting Abal Kassim Suleiman katika mchezo uliohusisha timu hizo kwenye uwanja wa Azam Chamazi Complex.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Simba ni mbovu, ni katimu ka Makundi tu, hakajawahi kupitia mechi za mtoano

    Hawa Mwakarobo x 4, aka Kilo moja ni katimu kamoja kadogo, na kanachojifanya ni katimu ka kimataifa. Hii Timu ya Simba inatumia kivuli Cha Robo fainali nne kujiita wao wakubwa, kiuhalisia Simba imefuzu au kupita hatua za Makundi mara nne , wakati mwingine ikiwa ya pili au ya kwanza na kuishia...
  9. JamiiForums Tanzania Kihasibu; Simba watapata bilioni 1 za CAF, Ni yanga pekee ndie ana nafasi ya kulipwa bilioni 2 au zaidi

    Kiasi unachopokea kihasibu tunahesabia ni baada ya kutoa matumizi. Kwa kila safari ya kwenda kucheza mechi za nje, gharama inaweza kuwa milioni 40 kuanzia tiketi za ndege, gharama za malazi, vyakula na vinywaji, n.k. Simba hadi wanafika robo fainali washakwenda nje mara 6 (mechi 2 za awali...
  10. JamiiForums Tanzania Ni wachezaji wawili tu wa Simba ndio wana zaidi ya 70% kupata tuzo za msimu huu

    Habarini za Jumapili iliyotukuka wakuu. Nominees za Tuzo za Msimu huu zimeshatoka na Simba ni Moja ya Team Iliyotoa Nominees wengi kulinganisha na Team zingine ila ukiangalia ni Wachezaji wawili tu wa simba ndio wanaweza pata Tuzo na ndio wana Asilimia kubwa zaidi ya 70% ya Kupata. Nao Ni 1...
  11. JamiiForums Tanzania Fedha wanazolipwa timu kila watakapufuzu kwenda hatua nyingine Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika

    Kila timu italipwa kulingana na kiwango ilichofikia. Hakuna hela inayotolewa kwa kuvuka kila hatua, hawawezi kulipa kila hatua kwasababu fungu la bajeti halina uwezo huo. Ukiingia mashindano ya CAF ukatolewa hatua ya awali ukashindwa kuingia kwenye makundi utakuwa umetoka patupu hata mia...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Simba Kujificha Kwenye kivuli cha Wydad ni Udhaifu

    Mashabiki wa Simba kujipa moyo baada ya kuona leo Wydad amemtoa Mamelod Sundowns huku mkiwacheka Yanga kumtoa Marumo aliyeshuka Daraja haibadilishi maana ya Yanga kucheza fainali, tengenezeni timu msimu ujao msije na kisingizio chochote.msimu wapili huu hamna ubingwa wa maana muliopata zaidi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Pichani ; Mnyama mkali Simba sc akiwa mazoezini kumuwinda Coastal Union #TunaitakaFainali

    Kikosi cha kilabu ya mnyama mkali mwituni Paka fc, Wakiwa katika mawindo ya kumuwinda Coastal union fc katika mchezo utakaochezwa hivi karibuni. Watu hao wasiofahamika na wasiojulikana wanajihusisha na shughuli gani nchini, walionekana wakikimbia kimbia na kuruka ruka hapa na pale pasipokuwa na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wana habari wengi wa media za Bongo ni mashabiki wa Simba wamejaa fitina

    Mafanikio ya Yanga Mwaka huu hasa katika mashindano ya kimataifa yamedhihirisha jinsi wana habari wengi walivyo mashabiki wa Simba hadi wanashindwa kuficha hisia zao, chuki na wivu kwa mafanikio ya Yanga. Wamekuwa wakijificha kwa kile wanachokiita uchambuzi lakini ukifuatilia chambuzi zao...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Timu yenu iliyowapa ushujaa imeshuka daraja

    Mpira wa miguu wakati fulani unategemea bahati sana.Sajili vizuri,jiweke vizuri kisha subiri bahati inaweza kukubeba. Haya mashujaa mliowatoa timu dhaifu kuliko zote Afrika kusini,njooni hapa mtukane kuondoa uchungu mioyoni mwenu maana mmejaa sifa na hampendi habari kama hizi. Nilikuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Diamond Patnumz atua ikulu ya Chamwino

    Mtanzania wa kwanza mwenye tattoos mpaka kwenye shingo na vipuli vya almasi masikioni kuingia bungeni na ikulu ya Tanzania! Hii imekaaje wakuu?
  17. JamiiForums Tanzania Yanga si ya kwanza kupewa ndege na serikali, Simba ilipewa ndege mwaka 1939

    Tuweke rekodi sawa, Mnamo mwaka afu tisa mia kenda 39 Kilabu ya Simba ilishawahi kupewa na serikali na kupanda ndege kuelekea kwenye kombe la Stella na hatimaye kunyanyua kwapa. Majirani msituringishie! Mhenga Mohamed ibn batuta akiwa amenyua ndoo mwaka 1939 A.D 👇👇👇
  18. JamiiForums Tanzania Linganisha pesa za CAF walizopata Simba na Yanga

    Soma kwa makini na ikumbukwe bado Yanga anaendelea.
  19. JamiiForums Tanzania Rekodi za SIMBA na kama wenye vyeti vya kuunga unga

    Kwenye rekodi ya timu ya kwanza kuchukua ubingwa ligi ya Tanganyika inasomeka SUNDERLAND lakini Simba wanadai ndiyo wao ila jina limebadilika Fainali ya CAF CUP 1993 SImba wanadai ndiyo CAF CONFEDERATION CUP ila JINA LIMEBADILIKA kwanini nyie ndugu zangu rekodi zenu mpaka kuderive derive?
  20. JamiiForums Tanzania Je wajua? Simba imecheza CAF Confederation Cup mara 6 wakaambulia Robo Fainali moja!

    Kumbe wanalibeza buuuree, jionee mwenyewe! Source: Wikipedia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…