Goli alilofunga Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Fiston Kalala Mayele kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika limeteuliwa kuwa goli bora la siku katika mchezo huo.
Mayele mpaka sasa ndiye kinara katika mbio za mfungaji bora wa michuano hiyo akiwa tayari...
Nitangulie kutoa pole kwa wafiwa wote na walioguswa na msiba uliotokea jana wa shabiki wa Yanga mwenye mapenzi ya dhati na timu yake.
Natumia jukwaa hili pendwa la michezo NALIA NGWENA kutuma ujumbe wangu huu kwa Viongozi wa Yanga baada ya kupokea kibunda cha Mama hilo fungu limegwe lipelekwe...
Tafadhali tubakie tu katika uchezaji wa Yanga SC na fainali iliyoko na tusizuge sasa kwa kuhamisha goli kujifanya kufungwa kwenu na USM Alger FC jana siyo Muhimu kwenu na kwamba ufungaji bora anaokwenda kuupata Fiston Mayele ndiyo gumzo kuu na Mafanikio yenu huko CAFCC.
Kudadadeki...!!
Kila la...
Nichukue tu nafasi hii Kuwashukuru Klabu ya USM Alger Wachezaji na hasa hasa Kocha wao ambaye si tu anajiamini ila hata alipotua nchini alipohojiwa alisema ameshaiona Yanga SC na kwamba ni wepesi na atawafunga Dar es Salaam na kule Kwao Jijini Algiers nchini Algeria.
Poleni na leo nina Furaha...
Baada ya Wananchi kupoteza mechi ya Leo huku kukiwa na matumaini hafifu kwenye re-match tunaweza kusema wachezaji wetu wamekufaje? Simba wao walisema walikufa kiume.
Simba tuache wivu wa kipumbavu, hii mvua tunajuwa wazi siyo swala la season Bali ni wivu wa kijinga tu kuharibu Burudani ya Kihistoria.
Acheni hizo bana, ushindi wa Yanga ni heshima kwa Taifa, hebu fungeni hizo koki za mvua yenu ya kishirikina watu wafurahie Burudani.
Nawasalimu.
Wiki hii Klabu ya Simba imemteua Mholanzi, Melis Daadler kuwa msaka vipaji mkuu(chief scout )wa Klabu.
NIna mtazamo tofauti na watanzania walio wengi wanaodhani kaja kusajili wachezaji dirisha hili ili simba abebe ubingwa msimu huu.
Lengo la timu ni la muda wa kati na mrefu. Wengi...
Kwa mujibu wa vyanzo nyeti kutoka klabu yetu pendwa, ni kwamba kocha Robertinho ametoa mapendekezo yafuatayo.
Beki wa kati wa rayon sports, na winga wa rayon sports Henry ntima. ( Wachezaji 2).
Winga wa Vipers Martin kiiza, na yule golikipa wa Vipers yule mkongomani. ( Wachezaji 2).
Huyu...
Aisee nimeshangaa kundi kubwa la watu walioshangilia timu yao kutolewa na Wydad kwa mbinde na kusema hawadai, wamekufa kiume cha ajabu zile kauli hazihakisi nyuso zao zilizovyo kwasasa. Admin wa Simba anajitahidi sana kupost taarifa, matukio, kumbukumbu, n.k kwenye page rasmi ya Simba lakini cha...
Shida Kuu Simba Sports Club
1. Mwekezaji Mo na Uongo wake juu ya kuweka Tsh 20 Billion huku akifaidika zaidi na Timu kuliko Simba SC inavyofaidika nae
2. 90% ya Wajumbe wa Bodi ya Simba SC ni Wapigaji huku kila Mmoja akiwa na Mchezaji wake kwa ajili ya 10% na wasipoipata wanawalazimisha...
Haijawahi kutokea hapa Tanzania kukawa na timu ya mpira wa miguu iliyo bora kama au kuliko Young Africans, Yanga pia ndiyo timu pekee kutoka Tanzania kushinda mechi nyingi za nje za kimataifa kwa msimu mmoja. Mpira wa miguu utapata heshima kubwa na kuleta maana ikiwa Yanga itachukua ubingwa wa...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza pichani ni kikosi cha simba kilichocheza fainali za Abiola 1993 na picha ya Roy Keane wa Man U 1993.
Dah kitambo sana mara ya mwisho Tanzania kuingiza timu fainali. Mtu anavaa jezi bila hata kuwa na Mkataba na sharp.
Mwenye kujua walipo wachezaji wa Simba 2012 walioifunga Yanga 5 - 0 ashushe data hapa kwa heshima ya hawa Legends walioipa Yanga adhabu isiyovumilika.
Wapo wapi na wanafanya nini kwa sasa?
Maandalizi na mihangaiko ambayo nimeishuhudia kwa macho yangu kwa baadhi ya viongozi, wajumbe na wanachama wa Mnyama wakihangaika kufanya kila wawezalo kuhakikisha Mwananchi hachukui ubingwa wa caf confederation cup ni kubwa mno.
Imeagizwa fuso zima iliyojaa nazi kwa ajili ya kuroga, Mbuzi 25...
Hii nadharia ya kuwasema Wanaoshiriki Shirikisho ni waliofeli sio sahihi, hii ni kujificha kwenye kivuli Cha kufeli Kwa Magungu.
Kuna michuano wanaita CAF champions League, yaani michuano ya Mabingwa , Sasa kama ndo hivo basi Simba hakupaswa kushiriki Ligi hiyo kwakuwa Huyu Simba si bingwa wa...
Mchezaji wa Simba Clatous Chama amefungiwa mechi tatu na faini ya Tsh. 500,000/- kwa kumkanyaga kwa maksudi mchezaji wa Ruvu Shooting Abal Kassim Suleiman katika mchezo uliohusisha timu hizo kwenye uwanja wa Azam Chamazi Complex.
Hawa Mwakarobo x 4, aka Kilo moja ni katimu kamoja kadogo, na kanachojifanya ni katimu ka kimataifa.
Hii Timu ya Simba inatumia kivuli Cha Robo fainali nne kujiita wao wakubwa, kiuhalisia Simba imefuzu au kupita hatua za Makundi mara nne , wakati mwingine ikiwa ya pili au ya kwanza na kuishia...
Kiasi unachopokea kihasibu tunahesabia ni baada ya kutoa matumizi.
Kwa kila safari ya kwenda kucheza mechi za nje, gharama inaweza kuwa milioni 40 kuanzia tiketi za ndege, gharama za malazi, vyakula na vinywaji, n.k.
Simba hadi wanafika robo fainali washakwenda nje mara 6 (mechi 2 za awali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.