simba

  1. O

    JamiiForums Tanzania Simba mpya goma limewaka, wakubaki, kusepa na wapya

    SIMBA imemaliza msimu ikiwa nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara nafasi ambayo ilimaliza nayo msimu uliopita. Kwenye Ligi Kuu hayo siyo mafanikio makubwa kwa kuwa matarajio yao yalikuwa kutwaa ubingwa. Katika Ligi ya Mabingwa Afrika iliendelea ilipoishia msimu uliopita hatua ya robo...
  2. JamiiForums Tanzania Simba SC tuendelee tu kushangilia Nabi na wengineo kuondoka Yanga SC huku sisi tukiendelea kusajili ovyo ovyo

    Kuna Wachezaji watatu (siwataji) nimethibitishiwa na mtu wa ndani kuwa watasajiliwa na nimetumia siku tatu kuwatizama mmoja mmoja kwa utaalam wangu wa mpira na jicho la kuujua mpira na mchezaji sijaona hata mmoja anayetufaa Simba SC na kwa huu mtindo wa 10% ulioko Simba SC, najua watasajiliwa...
  3. JamiiForums Tanzania Dunia inaishangaa Simba, Simba nayo inaishangaa Dunia!

    Wakuu, Kuna vitu sometimes huwa vinashangaza sana. Hii dunia hasa Tanzania inaishangaa sana team moja pale Kariakoo yenye jezi nyekundu, Simba. Wao wamemaliza msimu bila kombe lakini mchezaji wao kuchukua kiatu kwao ni mafanikio makubwa zaidi ya team iliyobeba kombe tena double. Wao kwao...
  4. JamiiForums Tanzania Simba kuja na taarifa nne za benchi lao la ufundi leo

    Taarifa nne tofauti kuhusu benchi la ufundi zitakujia leo kupitia Simba App. ⏰ Saa 7:00 mchana ⏰ Saa 8:30 mchana ⏰ Saa 10:00 jioni ⏰ Saa 11:30 jioni -- Stay tuned hapa ntawaletea yatakayojiri. Updates 𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔𝗦𝗖 𝗬𝗔𝗔𝗖𝗛𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗞𝗢𝗖𝗛𝗔 𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗜𝗣𝗔. ✍️ Taarifa rasmi kutoka club ya @simbasctanzania...
  5. JamiiForums Tanzania Zakazakazi: Yanga sio Mabingwa mara 29 na Simba sio Mabingwa mara 22

    Anaandika Zakazakazi, YANGA SIYO MABINGWA MARA 29 NA SIMBA SIYO MABINGWA MARA 22 Hii ni changamoto kwa wadau wote wa soka nchini Tanzania; wachambuzi, waandishi wa habari, mamlaka za soka na serikali kwa maana ya wizara ya michezo na baraza la michezo. Fanyeni utafiti na mje na majibu sahihi...
  6. JamiiForums Tanzania SoC03 Hatimaye sisi mashabiki wa Simba tutapata kupumua

    Afadhali mwaka jana kidogo,robo fainali ya kombe la shirikisho ilitupa mdomo,lakini msimu huu umekuwa mchungu sana japo klabu bingwa tulifika robo fainali ila Utopolo wamefanya vitu vingi sana msimu huu vya kutukera ambavyo pasina shaka nakiri vitu hivyo ni mafanikio sana kwao Walianza kutukera...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz tunakutaka mara moja uache kujihusisha na jina la Simba wakati unashabikia Utopolo (Matembele)

    Kinachoendelea sasa hivi hapo uwanja wa kaunda katika sherehe za ubingwa wa Yanga ni udhalilishaji mkubwa na unajisi wa jina la Simba unaofanywa na aliyekuwa anajidai ni shabiki wa Simba, Diamond Platinumz. Simba Sc aihitaji macelebrities wa mchongo kutoka hapa Bongo wanaonunulika kwa vipande...
  8. JamiiForums Tanzania Sioni sababu ya Watu (hasa wana Simba SC ) Wenzangu Kulalamikia Tuzo ya Beki Bora aliyopata Dickson Job

    Wana Simba SC Wenzangu hivi kweli tukuacha Unafiki wetu na Roho Mbaya yetu iliyopitiliza Beki wetu Henock Inonga kacheza vyema kwa Msimu huu kuliko Beki wa Yanga SC Dickinson Job? Dickson Job ambaye Kacheza vyema Beki wa Kati, Beki za pembeni ( Kulia na Kushoto ) na Kazimudu villivyo unaweza...
  9. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Simba hatuna cha kujivunia sana maana hatujapata tulichokihitaji

    Tuzo zilizotolewa jana zimehitimisha rasmi msimu wa 2022/2023 Tuwapongeze waliotwaa Ubingwa na waliopata Tuzo, Na kwa kipekee kabisa tuwapongeze wasimamizi wa ligi pamoja na waaandaji wa Tuzo. Kwetu Simba tuwapongeze nyota wetu waliotwaa tuzo hakika wametuheshimisha Kiujumla kama timu hatuna...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi unawezaje kushabikia hii Simba Mbovu?

    Poleni wana Lunyasi sijui mnawezaje kuishi maisha ya tabu na mateso kwa miaka 2 bila kombe lolote. Mimi nisinge weza aisa
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Uzi maalumu wa tetesi mbalimbali za usajili kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24

    Salaam ndugu zangu, Kama ilivyo ada katika wakati huu ligi yetu ya Tanzania inaelekea ukingoni tetesi ndiyo mahala pake. Nimeona nisogeze uzi huu wa tetesi na sajili mbalimbali ili tuweke rekodi sawa. Hivyo, uzi huu nitajitahidi kuweka baadhi ya tetesi za sajili za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa simba wanapenda kujitoa ufahamu?

    Sio viongoz sio mashabiki wote wanajizima data yani kiukweli wanatia aibu na kuidharirisha taasisi kubwa kama ile, sasa oneni alichoondika afisa habari wenu. #Ahmed ally Hadi sasa hakuna elie weza kuvunja rekodi yake Katika ligi hii ya Tanzania Katika kufumania nyavu🦁 Swali: JE HAMJUI...
  13. JamiiForums Tanzania Simba iliwezaje kufungwa na timu mbovu Wydad AC? Hakika Ingekuwa Yanga taifa lingekuwa fainali

    Baada ya kutazama mchezo wa fainali baina ya Wydad AC ambao walikuwa nyumbani dhidi ya Al ahly, Nimesikitika na kushangaa sana kwanini mpaka sasa Tanzania hatuna kombe la Afrika.Hawa Wydad kwa mpira waliocheza najaribu kufikiria endapo wangekutana hata na USM Algers hakika wangechezea nyingi...
  14. JamiiForums Tanzania Wydad Athletic FC wakiwa Mabingwa wa CAFCL basi Klabu ya Simba SC inapaswa Kuheshimiwa mno Tanzania

    Ukiwa na Akili timamu utanielewa kwanini nimesema hivi ila ukiwa Masikini wa Fikra / Akili hutonielewa kamwe. Bado Simba SC itaendelea kuwa Klabu Kubwa na yenye Hadhi ya Juu kuliko Timu nyingine yoyote hapa nchini Tanzania na Afrika Mashariki nzima.
  15. JamiiForums Tanzania Hivi Kocha Sven Vandebroek aliondoka Simba SC Mwenyewe au Alifukuzwa?

    Na kama Alifukuzwa je, aliyemfukuza hivi sasa anajisikiaje akimuona kaipeleka Wydad Casablanca FC Fainali ya CAFCL na anaelekea kuwa Bingwa?
  16. S

    JamiiForums Tanzania Simba Imekamilisha Usajili wa Beki Devid Kameta Duchu

    - Nyota David Kameta ‘Duchu’ aliyesajiliwa na Simba kutoka Lipuli FC ya Iringa miaka mitatu nyuma na alicheza Simba kabla ya kutolewa kwa mkopo Geita Gold na Mtibwa amesaini kandarasi mpya ya kuitumikia Simba wakati mkataba wake ulikuwa unaelekea ukingoni mwishoni mwa msimu huu. -David amekuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Endapo Yanga watafungwa na Azam katika fainali FA. Simba watadondokea moja kwa moja kombe la shirikisho Afrika

    Endapo Yanga watafungwa na Azam katika fainali ya kombe la FA moja kwa moja club ya Simba haitoshiriki kombe la club bingwa Afrika bali watashiriki kombe la shirikisho barani Afrika. Utaratibu uliopo, Mshindi wa Ligi kuu pekee na mshindi wa FA cup ndiyo wanaopata tiketi ya kushiriki club bingwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania SIMBA CHAGUENI MOJA KUISAPOTI YANGA ISHINDE MCHEZE KLABU BINGWA AMA AZAM ISHINDE MCHEZE SHIRIKISHO

    Ni dhahiri mshindi wa kombe la FA anaungana na mshindi wa ligi kuu kucheza klabu bingwa barani Africa na mshindi wa pili ligi kuu anaungana na mshindi wa 3 na wa 4 kucheza shirikisho, kwa maana iyo simba wachague upande kujielekeza kibra ni moto kote kote! Kazi kwao
  19. JamiiForums Tanzania Waraka wa Mwinjilisti Bujibuji kwa wana JamiiForums wote. Soma ufaidike na hekima ya Simba Nyamaume

    Dondoo za maisha: 1. Usiwakopeshe ndugu zako. Wasaidie. ¹ Ndugu zangu wapendwa katika jamvi hili adhimu la JamiiForums nawausia, usimkopeshe nduguyo, msaidie. ²Kuna ndugu wazandiki wenye husda, anakuja na gia ya kukopa, kumbe hana nia ya kurudisha, usimkopeshe, mpe aende. ³Leo familia nyingi...
  20. JamiiForums Tanzania Simba yamaliza msimu kwa unbeaten record ya mechi 21

    Kutokana na propaganda zilizoenezwa na zilizodumu msimu mzima, ni rahisi sana kuamini Simba wamekuwa timu ya hovyo na rekodi ya hovyo sana msimu huu. Nilishawahi kuleta uzi nikikumbushia Simba ndiyo timu iliyofungwa mechi chache msimu huu kuliko zote (mechi moja tu) na hadi msimu unamalizika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…