simba

  1. JamiiForums Tanzania CEO Simba SC nampa pongezi kwa ubunifu

    Hamasa ya Wiki ya Simba katika Uwanja wa Buza Kanisani. Huko wamekuja na Kibegi Part Two ambapo mashibiki mamilioni watashindana kupata tiketi 20 za Platnum. Mashabiki hao watashindana kwa kutuma SMS yenye neno Simba kwenda na.909192 itakayokatwa Sh.1,000 tu. Hili na tukio la jana la mnada wa...
  2. JamiiForums Tanzania Robertinho ni kama ameingia kwenye mtego mkubwa sana Simba

    Ukijaribu kuangalia sajili za simba nadiriki kusema kwamba angalau wako vizuri japo nadhani walikua wanahitaji angalau wapate beki mmoja ambaye anaweza kumpa changamoto Inonga. Nasema hivyo kwasababu, viongozi wa simba wamesajili kwa maelekezo ya kocha. Ukiangalia kikosi chao asilimia kubwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini pamoja na Mimi kuwa ni mwana Simba SC, ila namtakia Kila la Kheri Mwamba Fiston Mayele huko alikoenda Pyramid FC?

    1. Alizaliwa kuwa ni Mfungaji mahiri na siyo Mshambuliaji kama wengi walioko. 2. Amekuwa ni Alama tukuka ya Ligi Kuu ya NBC ya Tanzania hasa kwa Ushangiliaji wake wenye Mvuto na wa Kibabe ( Kishujaa ) kabisa. 3. Amesaidia kwa 85% kuifanya Ligi Kuu ya NBC ya Tanzania kuwa na Mvuto na...
  4. JamiiForums Tanzania Mnada wa Jezi Tano za Simba Sport Club umefanyika. Jezi ya Rais Samia yauzwa milioni 10

    Jezi ya Rais wa Heshima wa klabu, Mohamed Dewji 'Mo' imeuzwa Sh. 2,000,000 na Duka la Vifaa la Michezo la Romario Sports katika mnada unaoendelea katika Ofisi za Azam TV ikiwa ni ahadi tuliyoitoa kabla ya kupelewa kilele cha Mlima Kilimanjaro Julai 21, 2023. Jezi ya Rais wa Zanzibar na...
  5. JamiiForums Tanzania Simba SC mchukueni Juma Kaseja ni mkongwe lakini akiwa golini kwenye mechi tafu anaweza, kuliko hao mnaobahatisha

    Nimemaliza Sina mengi viongozi wa Simba dharau ndio Zinawaponza mara zote ! Mfano benno ni Bora mara kumi ukimtoa Aishi na huyu wa gorilla wa yanga wengine wote hakuna wa kimfikia benno kakolanya ..Sasa hivi tuna mashindano magumu Sana mwezi oktoba alafu kipa mnabahatisha ,chukueni juma kaseja...
  6. JamiiForums Tanzania Yaani Kipa John Noble Barinyima ameshamalizana na Kitayose FC ya Tabora, nyie 'mnahaha' Kuwapora ili aje achezee Simba SC

    Halafu GENTAMYCINE akisema kuwa 75% ya Viongozi wa Simba SC ni Wahuni, Waswahili na Wapigaji mnakasirika. Nasisitiza Kipa Mbrazili Jefferson Luis wala hajaumia vibaya kama mlivyotuzuga bali mmetengeneza hili Tukio kwakuwa mmegundua katokea Ligi Daraja la Nne huko Brazil hivyo hana Vigezo vya...
  7. JamiiForums Tanzania Simba SC acheni Kutuzuga kuhusu Kuumia kwa Kipa Mbrazili Jefferson Luis Mabingwa wa Uchunguzi tumegundua yafuatayo....

    #1. Mmesikia kuwa Klabu ya Yanga SC muda wowote jnaenda Kuishtaki TFF huko FIFA kwa Kumruhusu Mchezaji anayecheza Ligi Daraja la Nne kuja Kucheza Ligi Kuu ya NBC kinyume na Kanuni. #2. Mchezaji Peter Banda kawashika pabaya Kimkataba na kakataa Kuondoka Simba SC na kwamba akiondoka Simba SC...
  8. JamiiForums Tanzania Simba SC yaua 4-1 Uturuki; Inatishia amani

    FT Simba 4-1 Batman Onana Bocco Saido Zimbwe
  9. JamiiForums Tanzania Simba SC yaua 4-1 Uturuki; Inatishia amani

    FT Simba 4-1 Batman Onana Bocco Saido Zimbwe
  10. JamiiForums Tanzania Simba warudia tena kosa lingine kwenye usajili

    Simba ni sikio la kufa. Nilimtumia Email Kajula. Nilimuonya kutosajili wachezaji Nje ya Africa. Nikaambatanisha na mifano. 1. Dejan. 2. Santos. 3. Wilker Da silver. 4. Fraga. Lakini wapi. Leo aibu imewapata. Baada ya kuachana na huyo Arison Beker wa mchongo wanarudia tena kosa kwenda...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba acheni usanii juu ya suala la kipa wenu

    Napata shida kubwa juu ya tetesi zinazoendelea ya kwamba simba inaweza kumtema kipa mbrazil aliyesajiliwa hivi karibuni kwa sababu eti ana majeraha!!! Siwezi kusema Sana juu ya tetesi inawezekana ikatokea kweli ama isitokee, lakini Kama ni kweli basi kuna wahuni wanaendelea kupiga 10% kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Simba SC inapiga soka la kasi, ukila goli 10 usilaumiwe

  13. JamiiForums Tanzania Kikosi cha Simba cha msimu 2023/24 ni kile kile cha msimu 2022/23

    Naona mashabiki wa Simba wanapanga vikosi vyao...vya msimu ujao...huku wakilitupa jina la KENNEDY JUMA, MZAMIRU YASIN, SAIDOO, KIBU, JOHN BOCCO. Nawaambia watakaoingia kikosi cha kwanza katika sajili zenu mpya ni either KRAMOO AU MIQUESON(Nae ni hatihati) Nimekaa pale.
  14. JamiiForums Tanzania Picha: Fabrice Ngoma Simba Sc akikaba kikundi

    Taarifa za huyu mtu huko Uturuki zinadhihirisha Yanga walikuwa sahihi kulia kuibiwa mchezaji.
  15. JamiiForums Tanzania Mapato ya uwanja wa Benjamini Mkapa ndiyo kikwazo kikubwa kwa mapacha wa Kariakoo kujenga uwanja wao

    Huwa zinaibuka kelele na kampeni za ujenzi wa uwanja/mashabiki kuchangia timu zao ili zijenge uwanja lakini mwisho wa siku kimya. Huo ni mchezo mchafu unaochezwa na viongozi wa wa klabu hizi mbili (Simba na Yanga) kwa lengo la kuwakamua mashabiki wao kidogo walichonacho. Siasa za kariakoo huwa...
  16. JamiiForums Tanzania Ligi ya mpira ikiisha Watanzania huwa wapo serious na siasa. Ligi ikianza kelele za Simba na Yanga zitatumika kuwaleta DP World rasmi

    Kwa sasa Ligi imeisha kumetulia sana, habari za Dpworld zinakita kila kona ndio main talk ya nchi mithiri ya panya anaezurura kila kona pale paka akienda nje kupumzika kidogo. Hili suala limewekewa pause, linakuja kuplay ligi ikianza hasa kama Yanga na Simba zitakutana hapo ngao ya jamii. Ndio...
  17. JamiiForums Tanzania Simba Sc yapiga mtu 2-0 Uturuki; Friendly Match

    Simba Sc ikiwa inacheza kwa kasi kama umeme imepiga mtu 2-0 huko Uturuki. Hii ni mechi ya mchana tu,jioni ya saa 12 tunapiga game nyingine. Hii ni tahadhali kwa timu ndogo ndogo na zile za CAF Champs Nguvu Moja
  18. JamiiForums Tanzania Bado sina imani na usajili wa Simba

    Binafsi nilitarajia msimu huu tutafumua kikosi na kuunda upya kwa kusajili makinda wanaofanya vizuri kwenye vilabu vikubwa, kuanzia walinzi, viungo na washambuliaji. Hii ingetusaidia sana kwa misimu hata 4 mfululizo. Kwa usajili huu wa kuwarudisha waliofeli maisha ya soka na kuokota goli kipa...
  19. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga: Viingilio ni Sababu, ila kuna kubwa zaidi ya hilo

    Nianze kutoka credit kwa wadau wasoka, mpira wa miguu ni industry pekee yenye muamko na ushawishi mkubwa kwa jamii, nchini Tanzania. Lakini, kama hujaliona hili, basi angalia nyanja ya siasa mfano, watu wengi sasa wanahisi yanayotokea huko basi hayawahusu, ni kama mambo yanatokea kwa jirani...
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba hati hati kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa!

    Wizara ya michezo kupitia kwa Kaimu Mkurugenzi wa michezo imesema huenda club ya Simba ikazuiwa kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa kusherehekea kilele cha wiki ya Simba kwa sababu ya matengenezo yatakayoanza mapema wiki ijayo. Matengenezo hayo ni maandalizi michuano ya Super League...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…