Kwa mujibu wa Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya 18, Freedom of expession is an absolute right.Absolute right maana yake kwa wanasheria ni kuwa ni haki ambayo huwezi kuipoka kwa namna yoyote ile, you cannot abrogate freedom of expression.Hii haki ya kikatiba...
Naona wazi Simba, Yanga na Azam wamechagua kuipuuza hii michuano tajwa, tena hii ni mara ya pili mfululizo...
Kama hoja ni zawadi zinazotolewa kuwa ni ndogo, mbona wakialikwa kushiriki Mapinduzi cup ni lazima waende iwe mvua iwe jua tena katikati ya ligi...Je ina maana SMZ wanaweka mzigo mkubwa...
Kuna kichaka baadhi ya viongozi wa hovyo wa timu hii wanajificha na hakina afya kwa jamii husika ya Simba Sports Club.
Simba wamefungwa na Yanga zaidi ya misimu mitatu mfululizo.
Yanga wamebeba ubingwa zaidi ya misimu mitatu mfululizo.
Lakini Leo hiii kuna wapenzi na washabiki ambao Mimi...
Mfano ukamkuta mtu kavaa kile kijora cha kijani cha utopolo halafu bahayi mbaya akawa añaendesha kile kibaiskeli cha kijani yaani hapo ukiitwa MJUMBE WA KURA ZA MAONI UTAGOMBA?
SO kuna jezi ya viwango vya juu ya Mnyama halafu kuna kile kijora cha wajumbe.
Ila wajumbe siyo watu wazuri katika...
Kikosi hiki cha zamani cha Simba SC kimeacha kumbukumbu kubwa kwa mashabiki wa soka nchini. Wengi walitoa burudani uwanjani na kutengeneza historia ya klabu.
Unamkumbuka mchezaji gani hapa kwenye hiki kikosi cha Simba?
Bei ya kofia ya Mamelody ni randi 330 sawa na 48,000 pesa ya Tanzania na jezi ya Mamelody ni zaidi ya 150,000 tshs. Sababu ya kuuzwa bei mbaya ni kwamba Jezi za mamelody zinatengenezwa na kampuni ya ULAYA iitwayo PUMA(Ujerumani)
Pia kwa mujibu wa Mghana Micky Jnr Jezi ya Esperance ni euro 84...
Nimeshangaa kuona Simba wanaweka nembo ya diadora kifuani kwenye jersey, wakati diadora hakuweka hata ah 100 pale Simba
Tukumbuke aliyeshinda zabuni ya kutengeneza jezi ni jayrutty na sio diadora,
Jayrutty ndo alienda nae kumsaka diadora amtengenezee jersey, kwaiyo mwenye haki ya kuonekana...
Vilabu vinazindua jezi nzuri.Swali ninalojiuliza ni kwanini vyomba vya habari mtandaoni, wanahabari mtandaoni na watu wengine mtandaoni wanalinganisha jezi za timu mbili tofauti wakihoji Jezi Gani Kali ? 😳 Huwa na maana Gani ?
Binafsi nafikiri Haina mantiki yoyote kwani Azam mashabiki wake...
🚨 𝐔𝐬𝐚𝐣𝐢𝐥𝐢 𝐔𝐦𝐞𝐤𝐚𝐦𝐢𝐥𝐢𝐤𝐚:
Wilson Nangu (22) amejiunga na Simba SC kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea JKT Tanzania. 🇹🇿✨
Kijana huyu mwenye uwezo wa kucheza nafasi nyingi anatarajiwa kuwasili Dar es Salaam leo kwa ajili ya utambulisho rasmi.
Atavaa jezi namba 31 akiwa na Wekundu wa Msimbazi! 🔴⚪...
Mkurugenzi Mtendaji wa Manara TV na mwanachama wa Klabu ya Yanga SC, Haji Manara, amekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni zikidai kuwa anatarajia kurejea kufanya kazi katika klabu ya Simba SC.
Akizungumza kupitia Manara TV, Manara alisema kuwa taarifa hizo si za kweli na kwamba bado...
Habari za uhakika ni kuwa Haji Manara amekubali kurejea Simba, Baada ya Rais wa Club hiyo Mo Dewji kumuomba msamaha sana ili arejee
Haji Manara ilikuwa aonekane Leo kwenye uzinduzi wa jersey za Simba, lakini kutoka na malipo yake kutoka Kwa Mo Dewji kucheleweshwa, Sasa ni dhahiri tutamwona...
Beki mkongwe mwenye jina kubwa katika soka la Afrika Mashariki, Joash Onyango, amezua gumzo mara baada ya kujiunga rasmi na kikosi cha Kenya Police FC akitokea timu ya Dodoma Jiji ya Tanzania. Onyango, ambaye amewahi kung’ara na miamba wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC na Singida Black Stars...
1. Yanga imeruhusiwa kuwa timu pekee kuutumia uwanja wa Mkapa na mechi zao ni saa moja jioni watu wakiwa wametoka kwenye shughuli zao, Simba wataendelea kutumia uwanja wa KMC mechi za saa kumi.
2. Yanga wanaanzia nyumbani, Simba ugenini.
3. Derby ya kwanza inapigwa kwa Mkapa mwezi wa 12...
Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam.
Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta.
Sifa za Nyumba:
*Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio.
*Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master.
*Huduma zote za kijamii zipo.
Ukubwa wa Eneo: SQM 1833.
Nyaraka: Ina Hatimiliki.
Bei: Tzs Milioni 900...
Sijui niseme tatizo ni uongozi unaosimamia huyu kijana,
Au niseme ni tamaa ya fedha,
Au sijui dogo kapenda kwenda kwenye timu kubwa,
Sijui timu yenyewe ya JKT ndio hawajielewi.
Kiufupi huyu kijana kafanya makosa makubwa sana,
Tena haya makosa yamejirudia ndani ya mwaka huu rejea mkasa...
Kwa ufupi sana.
Simba wamemkosa Feisal pendekezo la kocha Fadlu, lakini pia uwezekano wa kumpata Allan Okello ni mgumu.
Fadlu ameonesha bado anahitaji mchezji wa kuamua mechi kubwa na kutengeneza nafasi ndani ya 18.
Clatous Chota Chama bado anao uwezo wa kufanya mambo makubwa pale simba...
Habari Wana Sports,
Kiukweli mwaka huu Arsenal imefanya sajili Bora sana ingizo la striker Victor ndani ya Chama letu inatupa confidence ya kusepa na makombe mwaka huu.
Imagine Victor yupo pale mbele left Kuna TEMINADO SAKA right MADUEKE.
Declan Rice anakichafua Dimba la chini na juu pale...