simba

  1. JamiiForums Tanzania Tarimba aishabikia Simba?

    Tena ndani ya M-Bet? Ni kweli au wanafanana tu?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yanga ikiwa kwenye top form imefungwa ni Simba iliyokuwa kwenye low form: Simba ikirudi kwenye top form, Yanga wahesabu maumivu zidi!

    Yanga haina uwezo wa kucheza vizuri zaidi kuliko ilivyocheza jana. Hapo ndipo ilipoishia!. Lakini Simba bado itaongeza makali, bado haijafika kwenye top form yake. Kwa maana hiyo itakapofikia top form yake haitakamatika kabisa!
  3. JamiiForums Tanzania Viongozi Simba mnatuonaje?

    Viongozi wa Simba mnatuonaje? Mnadhani mashabiki wote ni maamuma? Mnatengeneza Zogo la makusudi ili mumtupie lawama Kocha? Awamu hii tumewashika pabaya ama zenu ama Zetu. Robertinho ni Kocha mzuri ila atafeli kwakuwa anafanya kazi na Viongozi wapumbavu, kama kuna mtu aliona namna Simba...
  4. JamiiForums Tanzania Simba sc itarudisha makombe iliyoyapoteza

    Wasalaam wana jf Kwanza nianze kwa kuwapongeza wanafainali wote wa ngao ya jamii 2023 kwa kufanikiwa kucheza fainali. Pili niwapongezea tena simba sc kwa kufanikiwa kushinda ngao ya jamii mwaka 2023 tena mbele ya mtani. Tatu nijielekeze kwenye nada; Nimeangalia mechi tatu za simba kwa makini...
  5. JamiiForums Tanzania Robertinho hawezi kufika Nyerere Day kama kocha wa Simba kwa aina hii ya soka

    Kitakachomfanya asifike ni yafuatayo; 1. Kulazimisha Chama na Saidoo kucheza pamoja 2. Kumpanga Saidoo kwa dakika 90 huku akiwa hana uwezo huo kwa umri wake 3. Kumpanga mara kwa mara Kibu ambaye hana utulivu kabisa 4. Kucheza soka butua butua ambalo sio utamaduni wa Simba Sports
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kamatakamata siku ya Mechi ya Simba na Yanga, ni coincidence au ni mpango mkakati?

    Hili ndio swali ninalojiuliza kuwa kamatakamata hii kwenye siku hii ,ya leo yenye attention kubwa ya mpira wa Yanga na Simba imetokea kama coincidence au ni mpango mkakati? Labda niulize kwanini weekend ndio wahakikishe wote wamekamatwa ili hali kosa uhaini halina dhamana? Je, lengo ni...
  7. JamiiForums Tanzania "Mama Baleke" kuchezesha Simba na Yanga kesho

    Florentina alichezesha mechi ya Mtibwa akipigwa 3 na Baleke. Akachezesha mechi ya Ihefu Baleke akipiga 3 kati ya 5 Nimeanza kuwaonea huruma
  8. JamiiForums Tanzania Angekuwepo Marehemu Malik wa AFRICAN Sport ya Tanga " angecheza" peke yake mechi ya kesho kwa sababu alikuwa anawamudu sana Simba

    Ni ngumu sana kutofautisha soka la bongo na uchawi. Kwenye Vilinge vya uchawi kwenye mpira wa bongo huwaga kuna msemo "Hii mechi imechezwa na mtu fulani" au " imechezwa na tawi fulani". Maana yake ni kwamba mtu huyo ndio ametoa "wataalamu" wa "kucheza/kuroga" mechi husika au yeye mwenyewe...
  9. JamiiForums Tanzania Simba kumtambulisha golikipa Ayoub Lakred leo Agosti 13, 2023

    Wakati Clubs ndogo ndogo zikiwa zimefikia deadline ya kufanya usajili CAF, Club namba 1 nchini Simba Sc bado inaendelea kusajili. Dakika chache zijazo Simba inatarajiwa kushusha nyanda la boli la kimataifa kwa ajili ya maandalizi ya michuano mikubwa Super Cup. Kutokana na Quality ya NBC Simba...
  10. JamiiForums Tanzania Simba SC kufungwa mara tatu mfululizo na Yanga hii itakuwa ni fedhea

    Sijui wachezaji wanajua machungu tunayopitia huku mitaani kama tutapoteza huu mchezo? Tuna kila sababu ya kushinda jumapili, makosa tuliyoyafanya mechi mbili zilizopita naimani time hii hayatajirudia. Kila lakheri chama langu hapo jumapili dhidi ya mtani.
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya Mo kumwaga mihela nyuma na kuifanya Simba kuingia Ligi ya Africa Sasa ni kama uongozi haumtaki ili upige mihela ya Africa

    Mo ategemee kabisa kuwekewa vikwazo vya kutosha ili aiache timu viongozi wafaidi maokoto kutoka Africa. Hii inaitwa unahangaika wee kufunga Nyati miguu, mdomo anatulia tuli Alafu ukimaliza wajinga wanakuwahi wanakufunga wewe pia Alafu wanaanza kumkamua maziwa.
  12. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe Simba bila Chama inahangaika sana kupata magoli

    Kila mtu ameona mechi ya Simba Vs Singida, kukosekana kwa mtu mbunifu kama alivyo mwamba wa Lusaka imeipa ugumu Simba kumaliza game ndani ya dk 90. Chama hatocheza Simba milele ni lazima lifanyike jambo kurekebisha hili.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Simba bila Chama inapungua ubora

    Habari wanajf Simba inakuwa na shida sana hasa anapokosekana Chama, Chama analeta utofauti mkubwa sana kwenye kikosi mechi ya jana ilikosekana utulivu kuanzia katikati ya uwanja mpaka mbele angalau alivyoingia Ngoma kidogo Kati pakawa na utulivu lakini mbele bado pakawa vile vile. Faida ya...
  14. JamiiForums Tanzania Simba pale kwa Che Malone tumepigwa

    Yaani ni mechi mbili tu zimechezwa, lakini kama mtu una jicho la ufundi wa kimpira utagundua hili mapema sana. Mechi dhidi ya power dynamos, Che Malone alifanya makosa mawili ya wazima ila wale washambuliaji wa power dynamos wakapoteza nafasi. Jana pia kafanya makosa mawili ya wazi kabisa...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Simba SC: Mechi ya jana iwe ni tahadhari na fundisho kwenu

    Kwema Wakuu, Na declare interest, Mimi ni mshabiki na mwanachama hai wa Simba Sport Club, hivyo Tahadhari na ushauri huu ninautoa Kwa nia njema kabisa Kwa lengo la kujenga timu yetu. Watani zetu Yanga walicheza hapo juzi na Azam wakafanikiwa kushinda mechi yao lakini sisi tukaishia ku droo na...
  16. JamiiForums Tanzania Wachambuzi wanawadanganya sana Simba au ni Yanga ndio haihongi wachambuzi kueneza propaganda?

    Ni jambo lililokuwa wazi toka usajili wao mpaka leo wamecheza na singida big stars...kuwa simba hakuna walichosajili...ila ilikuwa ukifungulia redio au kila kituo cha TV wakizungumzia michezo. SIFA KWA SIMBA AU YANGA ANAPONDWA(eti kisa tu MAYELE, BANGALA, DJUMA SHABAN na FEISAL WAMEONDOKA)...
  17. JamiiForums Tanzania Kama lengo ni Yanga na Simba zikutane Fainali kulikuwa na haja gani ya haya Mashindano?

    Kwa sababu kwa asili ilikuwa MSHINDI WA KWANZA WA LIGI NA WA PILI WATACHEZA NGAO YA HISANI...ilikuwa SIMBA NA YANGA zicheze NGAO YA JAMII. Sasa kulikuwa na haja gani ya mashindano...na huku mmeshapanga fulani ashinde... Hili suala la kuweka gender balance kwenye baadhi ya mambo ambayo...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Nimetuma email FIFA for match fixing ya Singida VS Simba

    Sio kwa ubaya ila i had to send it, haya mambo tukiacha yatatucost sana na evidence nitawambia zipo Azam TV Tanzania. Sio hater ila things like these shouldn't happen in our football league ever, tumetoka huku. Email :integrity@fifa.org Match fixing shouldn't be tolerated kabisa, toa...
  19. JamiiForums Tanzania Huyu kocha wa Simba hamalizi msimu

    Naona huyu kocha wa Simba hatamaliza msimu. Akifika hata nusu tru ya hii season ashukuru.
  20. JamiiForums Tanzania MO Dewji: Nimetoa Bilioni 3 Kukamilisha Usajili Simba

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba Mo Dewji ameandika "Nimetoa almost 3 billion kufanikisha huu usajili, istokee kwamba MTU aseme ‘Mo hajatoa hela’ tuepuke na wapotishaji"
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…