simba

  1. JamiiForums Tanzania Kiufundi na Kimkakati napendekeza Kikosi cha Simba SC leo kiwe ni Kimojawapo cha hivi Viwili tajwa hapa

    1. Ally Salim 2. Israel Mwenda 3. Mohammed Hussein 4. Chemalone Fondo 5. Henock Inonga 6. Fabrice GENTAMYCINE Ngoma 7. Kibu Denis 8. Sadio Kanoute 9. Jean Baleke 10. Clatous Chama 11. Jose Louis Miquisonne au 1. Ally Salim 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Henock Inonga 5. Chemalone...
  2. JamiiForums Tanzania Mechi ya simba vs yanga ya tarehe 5-11-2023 huenda ikasogezwa mbele, mvua inaanguka

    Mpaka sasa mvua inaanguka heavy maeneo mengi ya jiji la Dar es salaam. Kuna mawili either game isogezwe mbele or kupigwa mbele ya mashabiki wachache sana.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mtanange wa kesho huu hapa

  4. JamiiForums Tanzania Simba Yanga kesho hakuna mbabe

    Utabiri wangu kuelekea mchezo wa kesho FT 0-0
  5. B

    JamiiForums Tanzania Simba Sc naiona ikishinda mapema sana kwa formation hii 4:3:3

    Kwa formation hiyo, Simba SC inaenda kuibuka na ushindi mapema sana. Nimejaza viungo Fabrice Ngoma, Sadio Kanoute, na Mzamiru Yassin ili kuwazuia viungo wa Yanga na kuongeza mashambulizi kwenye lango la adui. Kanoute anasimama mbele ili kuzuia rafu anazoweza kufanya karibu na lango lake la...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wenzangu MINOCYCLINE nimeshamaliza Kazi, twendeni kwa Mkapa Simba SC anafungwa 4 kwa 1

    Tanzania Timu ni moja tu nayo ni Yanga SC na zilizobaki ni Upuuzi mtupu. Sijaona Klabu yoyote ile Tanzania ya kumzuia Aucho, Pakome na Zengeli. Kuna Member Mmoja maarufu sana hapa Jamiiforums ( mwana Simba SC ) nadhani anaitwa GENTAMYCINE namvizia sana kwani amezidi Kutamba na Kuichafua Simba...
  7. JamiiForums Tanzania Kuelekea Derby ya Simba na Young Africans, hebu tuangalie hii tofauti kati Kocha Robertinho na Gamondi

    Kuelekea Mchezo wa Derby ya Kariakoo inayotegemewa kuchezwa jumapili Movembe 5, 2023 Hebu tuangalie Staili ya kucheza ya makocha hawa Miguel Gamondi wa Young Africans na Roberhno wa Simba Tukianza na Kocha Gamondi Staili yake ya kucheza inamvutia shabiki yeyote ambaye anataka kutazama soka...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Maoni: Mechi ya Simba na Yanga huenda ikaghairishwa kwa sababu ya mvua

    Sababu kubwa. Mvua itanyesha kubwa sana jumamosi na itasababisha maafa makubwa. Uwanja hautaweza kuchezeka mechi. Tujiandae kwa hilo
  9. JamiiForums Tanzania Kumekucha: EFM Radio kuja na Muundo Mpya wa Kipindi kitakachokuwa Kinawazumgumzia Simba SC tu na siyo Wasiojua Wengine

    Wenyewe ( hasa Watangazaji ) wao Wanasema kuwa hata Rangi za Herufi zao Tatu EFM zina Rangi zinazoshabihiana na Rangi ya Klabu Bora na Kubwa nchini Tanzania na Afrika ya Simba Sports Club. Kipindi hicho Kipya kitaitwa Unguruma na Simba SC ambacho kitakuwa kina Udhamini wa Bia nzuri ya Pilsner...
  10. JamiiForums Tanzania FRIENDS OF SIMBA wamerudi kazini MO achanga karata vyema

    Friends of Simba wamerudi kazini TAJIRI na kipenzi cha mashabiki wa Simba, Mohammed Dewji ameteua wajumbe 21 wa Baraza la Ushauri ambao kati yao 13 ni kutoka kwenye kundi lenye nguvu la Friends of Simba. Duru za ndani ya Simba zinasema kuwa uteuzi huo ambao vigogo saba waliwahi kuwa viongozi...
  11. JamiiForums Tanzania Pre Season 2024/2025 Simba inaweza kuileta klabu kubwa ya soka kutoka EPL

    Leo tarehe 31 Octoba, 2023 Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David Concar amefanya ziara ya kutembelea timu ya Simba na kufanya mazungumzo na viongozi na watendaji wa timu ya Simba. Kwa namna Simba walivyo na mikakati naona moja ya mazungumzo/maombi ya Simba kwa Mhe. Balozi itakuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Yanga imemfunga Simba mara nyingi zaidi tangu kuanzishwa kwa vilabu hivi

  13. JamiiForums Tanzania Kama ni hivi sasa itakuwaje rekodi ya kipekee ya Simba

    MACHO na masikio yote ya mashabiki wa soka nchini kwa sasa yameelekezwa katika mchezo mkali na wa ‘Derby ya Kariakoo’ utakaozikutanisha Simba itakayokuwa wenyeji wa Yanga kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jumapili hii ya Novemba 5, unaweza kujiuliza itakuwaje? Kwa kuwa rekodi Jumapili zipo upande...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Yanga: Siku ya Simba tuvae kitambaa cha captain begani, kutambua mchango wa Mwamunyeto

    Wakuu heshima kwenu, naomba kutoa wazo kwa uongozi wa YANGA, kuwa Jumapili mechi ya Simba na YANGA wanayanga wote wavae KITAMBAA begani wakiaanisha KUTAMBUA MCHANGO WA kapten wetu Bakari Nondo Mwamunyeto. Yaani iwe Mwamunyeto day walio karibu na uongozi tufikishieni hilo
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Simba SC acheni uvivu muwapo uwanjani hasa na timu kama Yanga SC

    Nianze kwa kuweka wazi kwamba mimi ni mpenzi wa Simba Sport Club. Lakini mwenenendo wa wachezaji wa Simba hasa wanapokutana na Yanga huwa unakera sana hasa pale unapoona wachezaji wa Simba wakitembea tu bila wasiwasi wowote huku wenzao wa Yanga wakimiliki mpira kwa asilimia kubwa na pale...
  16. JamiiForums Tanzania Mgeni Rasmi mechi ya Simba Vs Yanga ni Kibu Dennis

    Klabu ya Simba ambayo ni mwenyeji katika mchezo wake wa wikend hii dhidi ya Yanga imemtangaza Kibu Dennis kama mgeni rasmi wa mchezo huo. Hili ndio soka letu sasa kivyetuvyetu.
  17. JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga 05/11/23 mpira umeshaisha Yanga tumechukua points zetu 3 muhimu

    Muda huu sisi Wanayanga ndio tunatoka Uwanjani kukamilisha maagizo ya awali ambayo tumepewa na mtaalamu wetu kuhusiana na mechi ya tarehe 5 Nov. Mechi si ngumu kama ambavyo mmedhania. Maana tayari tumeshauziwa ramani. Tunajua wapi pa kupita, tunajua wapi pa kupiga. Kikosi cha Simba...
  18. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Ushauri Simba SC

    Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita tangu tuanze safari ya Mabadililko Klabu yetu imepiga hatua kubwa sana katika nyanja mbali mbali. Pamoja na maendeleo ambayo Klabu yetu imepiga katika kipindi hiki cha miaka mitano lakini malengo yetu bado hatujayafikia. Mojawapo ya majukumu ya...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Naomba itambulike Derby iliyopo Tanzania ni kati ya Simba na Yanga tu

    Watangazaji wengi nasikia wakisema Derby ya Simba na Azam au Yanga na Azam. Acheni ubabaishaji, timu ya Azam ya mwaka wa 2000's ijenge Derby na timu za 1930's? ni dharau na uwelewa mfupi wa watangazaji.
  20. JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 2-1 Ihefu FC | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Saa 1:00 Usiku| Oktoba 28, 2023

    Salaam wakuu. Mshikemshike wa ligi ya NBC PL kuendelea leo ambapo mnyama mkali na mafundi kandanda Simba sc a.k.a WANALUNYASI watakipiga dhidi ya timu ngumu ya IHEFU FC kutoka Mbeya. Simba wanaenda kwenye mchezo huu wakiwa nafasi ya pili na alama 15 baada ya kucheza michezo 5 akishinda yote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…