Yanga wamenusurika Botswana,walipata goli la kusawazisha dakika za jioni kabisa,
Simba walishinda goli moja bila.
Kama kawaida ya Yanga yeye katika maisha yake anaioneaga wivu Simba tu,kwa hiyo Yanga ana kazi mbili Sasa hivi,kuhakikisha anacheza mechi ya Simba ya marudiano na Mighty Wanderers...