simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Mchambuzi Uchwara na mwana Yanga SC lia lia Hans Rafael uliwaaminisha Watu kuwa Elie Mpanzu iwe isiwe anaenda Yanga SC, mbona yuko Simba SC bado?

    Yaani kununuliwa tu hiyo Laptop na Rais wa Yanga Injinia Hersi Said ndiyo umeamua sasa kuwa Mnazi na Mtu wa Hovyo hapo Crown FM?
  2. GENTAMYCINE

    Sawa Simba SC tumeamua Kumbakisha Kipa Camara, ila aambiwe Ukweli kuwa aache Utoto kwani hata Yeye nae katuumiza sana japo tunamkubali

    Hata hivyo simlaumu sana kwani niliambiwa alikuwa akiumizwa mno tu Kiushirikina na Mtoto wa Morogoro aliyetuacha.
  3. J

    Simba sc imekamilisha usajili wa Alassane Kante

    Klabu ya simba imekamilisha usajili wa nyota wa kimataifa wa Senegal Alassane Kante anayehudumu nafasi ya kiungo wa ulinzi, akichukua nafasi ya fabice Ngoma ambaye ametangazwa kutokuwa sehemu ya kikosi Cha simba msimu ujao, je unafikiri kwa sajili hizi ambazo simba inaendelea kuzifanya zitaweza...
  4. DuaZaMama

    Utambulisho wa Rushine De Reuck wanasimba wavutiwa na jezi

    Simba wamemtambulisha rasmi Rushine De Reuck. - Nyota huyu wa kimataifa wa Afrika kusini na klabu ya Mamelodi Sundowns anakuwa mchezaji wa kwanza kutambulishwa rasmi kwa mashabiki wa Simba. Kilichowavutia watazamaji wengi katika chapisho Simba kumtambulisha mchezaji huyo katika ukurasa wao...
  5. Waufukweni

    Simba yasaini mkataba wa Tsh. bilioni 20 na Betway kama Mdhamini Mkuu kwa miaka 3

    Klabu ya Simba ana Jambo kubwa zaidi kuwahi kutokea Afrika, leo Wanasaini dili na mdhamini Mkuu BetWay baada ya M-Bet kusitisha Mkataba wake. Wakati huo huo wametangaza kuwa Kikosi chao kitaondoka kesho Jumatano kuelekea Ismailia, Misri kwa ajili ya maadalizi ya msimu ujao wa 2025/26. Kaa...
  6. GENTAMYCINE

    Huwezi kuisaliti pakubwa Simba SC halafu LAANA ya Wazee wao ambao huwa HAWATANII pale WAKIKUAMULIA isikupate na kukuharibia

    𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Aliyekuwa beki kisiki wa Simba Sc, Henock Inonga Baka amepewa mkono wa kwaheri na klabu ya AS FAR Rabat ya Nchini Morocco aliyokuwa akiitumikia kwa msimu mmoja baada ya kuondoka Simba Sc. Chanzo Taarifa: maulidkitenge katika ukurasa wake wa Mtandao wa Thread Haya sasa wale WANAFIKI...
  7. King Leon 1

    Azam FC: Hakuna timu iliyokuja kuzungumza nasi kumuhitaji Feisal Salum

    Msemaji wa Azam FC leo alitoa ufafanuzi uliopo kwenye suala la FEISAL SALUM (Feitoto) kwenda club ya Simba Kupitia radio Crown FM kipindi cha michezo asubuhi. Zaka Za kazi ameweka wazi kuwa mpaka sasa hakuna timu yoyote ya Tanzania imegonga hodi kwenye timu yao kumuhitaji mchezaji wao isipokuwa...
  8. DuaZaMama

    Simba SC Kwenye Mizani, Changamoto Zinazoathiri Ufanisi Wake Kwa Sasa

    Wakuu ==== Tujadili sababu zinzoikwamisha Simba kwa Miaka ya hivi karibuni, Mabadiliko ya mara kwa mara ya benchi la ufundi Usajili usio na tija Presha kutoka kwa mashabiki na mashindano ya kimataifa uongozi
  9. GENTAMYCINE

    Israel Mwenda pole sana kumbe ulikuwa huwajui Yanga SC vizuri pamoja na Kufurahia Kwako kwenda Kwao kwa Kutuzodoa wana Simba SC?

    Nilipoona tu Siku ile Yanga SC inarejea na Kombe kutoka Zanzibar huku ukijifanya Wewe ni Dj na ukawa Unatuzodoa wana Simba SC hasa pale Msimbazi Street mlikopita nilijua tu baada ya hapo kuna Maumivu utayapata kwani Wazee wa Simba SC nawajua huwa hawana Masihara katika kutuma Makombora ya...
  10. Metronidazole 400mg

    Ukitaka kujua SIMBA SC kuna tatizo uko kwenye uongozi,, Ahmed ally anakupa majibu

    Nimethibitisha ni wazi kuna tatizo kubwa sana huko ndani kwenye uongozi wa simba. Sijajua exactly kama ni hela hakuna??, Viongozi wamejigawa??, au kingine chochote ila nakuhakikishia kuna tatizo kubwa sana. Facial expression ya msemaji wetu Ahmed ally haipo sawa kabisa,, anajitahidi tu kwa...
  11. GENTAMYCINE

    Kweli kabisa Mdogo wangu Mohamed Hussein Tshabalala umeamua kwenda Yanga SC na kutuacha Simba SC na leo huenda ukatambulishwa nao rasmi?

    Sawa bhana Kaka yako nikutakie kila la Kheri na naamini huko unakoenda yoyote yule mtakayegombania nae namba hatougua mara kwa mara, hatopatwa na matatizo ya Macho na Wewe safari za kimya kimya za kwenda Tanga na Morogoro hazitakuwepo tena.
  12. GENTAMYCINE

    Haya sasa wana Simba SC wenzangu bahati hii imekuja, tafadhali tuitumieni na tuachane rasmi sasa na Tajiri Mo Dewji ambaye anatupotezea tu muda

    Taarifa zilizonifikia ni kwamba Kampuni Tajiri ya DP WORLD inataka Kuidhamini Simba SC na kuichukua kwa 49% tu.
  13. GENTAMYCINE

    Wana Simba SC bado tu mnataka GENTAMYCINE niendelee kuwaambia kuwa Mo Dewji hatufai na atuachie Timu au sasa mmeshanielewa?

    Wiki hii hii niliandika Uzi hapa kusema kuwa tunamuonea zaidi Mangungu ila kama kuna Mtu HATARI zaidi Simba SC na ndiyo ANATUUMIZA mno kila tukikutana na Yanga SC kuwa ni Salim Abdallah Mhene 'Try Again" nikaishia Kudhihakiwa na hata Kutukanwa. Na katika Uzi huo huo pia nikasema wazi wazi kuwa...
  14. Labani og

    Tetesi: Kumekucha: Simba mivurugano bado inaendelea

    "Kwa taarifa zilizonazo Kutoka ndani tajiri anafanya Pressing sana huko. Anataka Kabla hajatoa Pesa ya Usajili Msimu huu Kwanza ile Bilion 67 irekodiwe na itambulike rasmi Kama ni Mkopo anaidai Simba Sports Baada ya hapo waje Kwenye Pesa ya usajili ambayo ameahidi Juzi Kwamba atafanya Usajili...
  15. GENTAMYCINE

    Mainfluensa njaa na uchwara wa Simba SC Wiki nzima walitiuaminisha kuwa Tajiri keshamalizana na Kiungo Conte, mbona sasa keshasinya Yanga SC?

    Halafu kutwa nikiwa nasema hapa kuwa Mo Dewji si Mtu sahihi Simba SC na Simba SC ya sasa imejaa Fools hamniamini.
  16. GENTAMYCINE

    Haya wana Simba SC mnaodhani kutopata Ushindi mara 5 dhidi ya Yanga SC ni Kufeli angalieni na Wao walichokipitia Kwetu kisha mbadilike tugange yajayo

    Wana Yanga SC wasiwanyimeni Amani na Raha huku Wakiwadanganya kuwa ni Sisi tu ndiyo hatupata Ushindi dhidi yao kwa mara tano mfululizo bali hata Wao kuna miaka Walisota mno kutufunga Simba SC na Ushindi wao Kwetu ulikuwa ni Sare tu ila Vichapo walivichezea na viliwakuta sana tu.
  17. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Simba SC mlio busy sasa Kusajili hivi mmegundua kuwa tatizo lingine ndani ya Simba SC ambalo linafichwa sana na linatumaliza ni hili?

    Mtasema yote au tutasema yote sijui mara Mangungu mara try again mara tajiri kibyongo Mo Dewji mara rafiki yangu na mtani wangu wa Kiha Kocha Matola mara sijui Mtani wangu mwingine wa Kihaya Meneja Rweymamu mara Wajumbe Poti wangu kutoka Kwetu kwa Wanaume wa Shoka Mkoani Mara (Musoma) Magori...
  18. GENTAMYCINE

    Ukikutana na mwana Simba SC anayejificha katika hiki Kivuli jua hana Akili na ukimmudu mzabe kabisa cha Kibao cha Kutukuka akome....

    Eti Simba SC kufungwa na Yanga SC mara 5 mfululizo siyo Kosa au Jambo la Kushangaa kwani hata Real Madrid nayo imefungwa na FC Barcelona mara 4 au mara 5 mfululizo. Pumbavu Wahed zenu wenye hii Fikra hivi ukiwa kabisa na Akil Timamu Kichwani utaweza kulinganisha Mafanikio ya Real Madrid ya...
  19. GENTAMYCINE

    GENTAMYCINE nikiwa namsema Mo Dewji kuwa ni Samjo Samjo (Muongo Muongo) na hatufai Simba SC bali anapiga tu Hela naambiwa namchukia na Mimi ni Yanga

    Mchome nakubaliana nawe kwa 100% zote.
Back
Top Bottom