simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC 'mmerogwa' na nani tena? Rweymamu wa nini tena kama Meneja wakati mnajua akikaa na Rafiki yake mkubwa Matola wanaleta Majungu sana?

    Klabu ya Simba imemrejesha kikosini Patrick Rweyemamu kuendelea na majukumu yake ya kuwa meneja wa timu hiyo. Rweyemamu amerejeshwa katika majukumu hayo baada ya msimu uliopita kuondolewa kwenye nafasi hiyo na kuwa Mkuu wa Programu za Soka la Vijana klabuni hapo. Kurejea kwake anachukua nafasi...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC huyu Onana tunambakiza wa nini?

    Tafadhali achaneni nae kwani hana jipya wala msaada wowote ule Kikosini. Mchezaji gani Kutwa anawaza kwenda Saluni, Kujiremba na Kujipodoa tu? Binafsi simtaki ndani ya Kikosi chetu na naomba nae apewe Thank You upesi sawa?
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni basi tu Siasa zetu za Mpira ila Simba SC kama mngemsajili Joseph Guede kutoka Yanga SC kama Free Agent nina uhakika katika Striking tungelamba dume

    Napongeza sana Usajili wa sasa na Nauheshimu, ila kwa nilivyomuona Guede nina uhakika pia angekuwa Jibu tosha.
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Mchomoa Betri Magoma asema kuwa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe ni mwana Simba SC lia lia na ana uhakika na hilo

    Mwaka mwishoni kama siyo mwaka huu mwanzoni GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums niliposema tena nikiwa na uhakika wa 100% kutokana na Vyanzo vyangu aminika kuwa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe ni mwana Simba SC Mwenzangu na kwamba Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni mwana Yanga SC mlinikatalia na...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC tunaomba Taarifa za wapi alipo sasa Kibu Denis

    Na mlituaminisha muda tu kuwa mmeshamalizana nae sasa ni kwanini hata Kambini katika Pre Season wala hayuko?
  6. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba sc , Njooni mtuombe radhi mashabiki wenu kwa kutudanganya uwa Lameck Lawi ni mchezaji halali wa Simba sc

    Mpaka sasa uongozi wa Simba sc upo kimya tu na hautaki kujitokeza hadharani na kutuomba Radhi mashabiki wa mnyama lialia nikiwepo mimi mwenyewe na ndugu yangu wa damu Gentermycin. Hizi ni dharau kubwa sana ina maana viongozi wa Simba sc wamesahau kabisa kuwa wamedanganya mashabiki kwa kutuambia...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mchezaji mwenye Umri mkubwa kwa Simba SC hii ya sasa ana miaka 22 tu, je, wa Vilabu vingine wana mingapi?

    Kuna Daktari mmoja wa Hospitali moja ( yenye Hadhi ) kasema kuna Timu Mchezaji wao mwenye Umri mdogo ni 43.
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kongole Simba SC kwa Awesu Awesu tumelamba Dume na natamani sana Kocha awe anamchezesha hasa 'Wing Midfield' atatusaidia sana

    Sasa naona kabisa ule muda wa Wazee Majini FC Kupimwa Umri umekaribia na kuna Watu wataikimbia hiyo 8.08.24.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nawaonya wana Simba SC wote kuwa tujitenge na huu Mtego na yanayoendelea Kwao, bali tuijenge Timu yetu kwa Msimu mpya

    Na nyie mliokuja PM kutaka niseme chochote tu kuihusu Yanga SC na kinachoendelea iwe mwanzo na mwisho sawa?
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimemtizama huyu sijui Lameck Lawi kwa Jicho langu la Kiufundi sijaona na nasikitika kuona Simba SC yangu walimtaka na bado tu wanamtaka

    Nadhani sasa ifike muda Viongozi wa Simba SC muanze Kuutumia sana huu Mtandao wa JamiiForums ambapo wana Simba SC wote wenye Akili Kubwa na tunaoujua Mpira kwa Kuucheza kwa Viwango vyetu na Kuuchambua ili muwe mnachukua na kufanyia Kazi mawazo yetu. Hivi Uongozi wa Simba SC kabisa kabisa huyu...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kennedy Juma jitahidi uwe na Adabu kusema Simba SC ni sawa na Klabu yako ya sasa, ila tofauti ni Jina tu Dharau itakayokupa Laana baadae

    Sasa ifike muda Wachezaji wa Tanzania wawe wanapewa Elimu ya kujua Kuzungumza hasa pale Mic zikiwa zimewekwa Midomoni mwao kwa ajili ya Wao kusema lolote. Sijawahi kuona Mchezaji wa Ulaya hata kama akiachwa na Klabu yake akiondoka na akifanya Interview na Watu wa Press basi anatukana au...
  12. Robidinyo

    JamiiForums Tanzania Imani Kajula aomba kuachia ngazi ya Mtendaji Mkuu (CEO) Simba. Je, ni dalili ya kurejea kwa Barbara Gonzalez?

    TAARIFA KWA UMMA Imani Kajula aomba kuondoka klabuni hapo Klabu ya Simba inapenda kuujulisha umma kuwa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba imeridhia maombi ya Afisa Mtendaji Mkuu Imani Kajula kuomba kuondoka ifikapo mwisho mwa mwezi Agosti 2024 mkataba wake utakapoisha. Kufuatia maamuzi...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Endeleeni tu kudhani kuwa hii Kauli Mbiu mpya ya Simba SC ya 'Ubaya Ubwela' wamekurupuka tu kuja nayo kwa sasa

    Kudadadeki ile mianya yote ya Tigo Pesa, Ushirikina na Usaliti wa ndani Mafia wa Timu wameshaiziba hivyo mtakoma.
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Nimependa wazo la kijiji cha Mundindi kununua hati fungani, wameweza ndoto iliyowashinda Simba SC

    Kijiji cha Mundindi kilichopo wilayani Ludewa kilipewa fidia ya Tshs 464 na kati ya hizo Tshs 400 milioni waliamua kununua hati fungani katika benki mojawapo nchini itayowapa gawio la Tshs 41 kila mwaka. Kijiji kilipata fedha hizo baada ya kupewa fidia ya ardhi kutoka Serikalini baada ya kupisha...
  15. U

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Simba imefungwa goli 6 na timu ya daraja la pili Misri kwenye Pre season ya 2024/25

    Klabu ya Simba ambayo ipo nchini Misri katika maandalizi ya msimu mpya 2024/25, leo Julai 14, 2024 imecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Tersana FC inayoshiriki ligi daraja la pili Misri na kuambulia kichapo cha goli 6-2. Mchezo huo ambao ulikuwa na lengo la kujaribu kikosi chao...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali nauomba Uongozi wa JamiiForums usifute hizi Threads za Posts zote za wana Yanga SC wanaobeza Usajili wa sasa wa Simba SC, kwani hawatoamini

    Yaani wenye Simba SC tumerejea na kuombana Msamaha na kulishana Yamini halafu Msimu ujao isibebe Vikombe?
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Makinda Simba Sc wapaa kwenda Pre Season Misri

    Hapa ni baadhi ya makinda wachache wakiwa Uwanja wa Ndege tayari kwenda kupata utulivu Egypt Pongezi kwa tajiri namba moja Mo Dewji, na uongozi wote wa Simba SC
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Dharauni Usajili wetu Simba SC kwa kadri muwezavyo ila Kiufundi Simba SC inasajili kwa matokeo endelevu na ya Mafanikio kwa miaka mingi ijayo

    Leo nasema hapa hamtokuja Kuamini tu Macho na Masikio yenu kwa hii Simba SC mnayoidharau kwa Usajili wake ila Mimi kama GENTAMYCINE nawaambia hapa hapa kuwa tegemee kuiona Simba SC yenye kwenda kuwa na Mafanikio ya Uwanjani si tu kwa Msimu mmoja bali hata kwa Mitatu au Mitano. Tusije Kukimbiana...
  19. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mabingwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Simba SC yakaribia kumaliza kusuka upya kikosi chake

    Huu ususi mpya uliofanywa na Simba sijui tuuitaje, wasusi kina Kalpana na maras tulionao humu watatusaidia ila ni wazi hii ni Simba brand new tunaenda kuiona. Misimu miwili iliyopita niliwahusia viongozi wa Simba waanze mchakato wa kuisuka upya kikosi cha Simba ili baada ya misimu mitatu, tuwe...
  20. M

    JamiiForums Tanzania GB64 atoa tathmini ya usajili wa Simba SC kuelekea msimu wa 2024/2025. Auomba uongozi wa Simba uwalinde wachezaji wageni dhidi ya ulozi wa Yanga SC

    Bila ya Salamu. Mwanasimba kindakindaki na mmoja wa viongozi waandamizi wa Tawi la Simba SC katika soko la Karume ametoa tathmini nzima ya usajili wa klabu ya Simba katika dirisha hili kubwa la Usajili kuelekea msimu mpya wa 2024/2025. Gb64 ni miongoni mwa wasemaji fasaha katika wanachama wa...
Back
Top Bottom