simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kocha Gamondi: Hatuwajui sana Simba mpya na hawajacheza mechi za wazi kama sisi

    Tuko vizuri na tunafuraha ya kuanza msimu mpya kwasasa tuko vizuri. Hatuwajui sana Simba na hawajacheza mechi za wazi kama sisi. Ni kweli huwa natengeneza timu kuangalia sisi zaidi na sehemu ndogo ya wapinzani lakini hakuna siri katika mpira tutachozingatia ni kutofanya makosa na wala hakuna...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa simba mkiwaona kina Ayubu vipi kiingereza kinapandaa ama british inawahusu?

    Kama.kuna mwalimu wa kiingereza atoe somo hukuu maana kesho kuna watu wanalia. Vyema wajue hata kuwatukana waachezaji wao kizunguuu
  3. vibertz

    JamiiForums Tanzania Inawezekana tukawa tumenunua VAR kwaajili ya urembo

    Miezi kadhaa nyuma tulisikia taarifa za ujio wa VAR kwa Tanzania kwaajili ya kuboresha ligi yetu katika kusaidia utoaji wa maamuzi yenye utata uwanjani. Nimeshangazwa sana kwa kutokuona waamuzi watakaokuwepo kwenye chumba cha VAR siku ya tarehe 8 kati ya Simba dhidi ya Yanga. VAR ilipaswa...
  4. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Yanga hata kama wakifungwa tarehe 8 always viongozi na mashabiki watakua positive ila tatizo ni upande wa Simba

    Habari! Ukweli mwingine ni huu apa ikitokea Yanga akapoteza game ya tarehe 8 usi expect mashabiki wala vipngozi wao kutoleana maneno na kusontana huku mashabiki wakianza kuisema team vibaya. Ila Simba wakifungwa tu nakwambia utasikia mashabiki wanasema yule mchezaji flan hakuna mchezaji mle...
  5. Labani og

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi derby: First half naona Simba akipigwa mvua ya magoli mengi

    Kama umejaaliwa kipaji na ukawa na taaluma ya uchambuzi najua utakuwa umeliona hili. Baada ya Simba na Yanga kucheza mechi zao tumeona ubora na upungufu wa Kila timu according to their level mfano kwa level ya Yanga saizi ni tofauti mapungufu ya Simba kulingana na level yake. Kwa kikosi hiki...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Siyo maneno yangu Gentamycine mwana Simba SC bali ni maneno ya Mchambuzi Oscar Oscar na mwana Yanga SC Mwenzenu

    "Nimetizama Matamasha yote ila naomba tu niseme kuwa Simba Sports Club ni NEXT LEVEL kwa Matamasha Tanzania" amesema Oscar Oscar Mchambuzi Nguli wa Michezo nchini ambaye pia ni Shabiki wa Yanga SC ya Tanzania. Imeisha hiyo. Kudadadeki. Soma pia: Ufafanuzi! Ngao ya jamii kwanini Simba na Yanga...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa viongozi wa Simba Sports Club kuelekea mechi ya tarehe 8 Agosti 2024 dhidi ya Yanga

    1. Hawa watu hawana timu, hakikisheni mnauonya uongozi wa uwanja wa Mkapa kuhusu kuwafungulia mageti ya pembeni Yanga SC jina la utani Utopolo ili waingie uwanjani, imekuwa tabia sasa Utopolo kupitia milango mingine mbali na ule wanaotakiwa kupitia wachezaji. Kuna mawasiliano huwa yanafanyika...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania KIkosi changu cha Yanga baada ya kutazama jana kuelekea tarehe 8 Agosti, 2024

    Kikosi changu cha Yanga baada ya kuitazama jana kuelekea tarehe 8 Agosti, 2024. Baada ya mechi ya jana ya Yanga dhidi ya Red Arows kwa jicho langu nitaweka kikosi hapa ambacho kwenye mechi ya dabi . Diarra Boka Yao Bacca Job Aucho Mudathiri Aziz Ki Pacome Max Mpia Prince Dube Mfumo 4-3-1 Taja...
  9. African businesses

    JamiiForums Tanzania Hii siku ya wiki ya Mwananchi kuna kitu nimekiona

    Kitu kikubwa nilichokiona kwa Wananchi, kwanza wameweza kuujaza uwanja, lakini sio tu kuujaza uwanja bali mashabiki wengi wametinga uzi mpya. Tofauti sana na wazee wa ubaya ubwela uwanja waliujaza ila wengi walitinga uzi wa zamani. Sasa sijui ni uchumi au lile neno sanda limechangia? Mwisho...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Tathmini yangu Simba Day vs APR

    1.Kuwa na makipa 2 wa kigeni ni matumizi mabaya ya fedha, Ayoub Lakred apewe Thank You 2.Kevin Kijiri ameimudu sana nafasi ya kulia, Kapombe awe mvumilivu 3.Chamou Karaboue ni beki mzuri lakini mzito kama Mohamed Quattara 4.Fabrice Ngoma apewe Thank You, wachezaji wa viungo mafundi tunao wa...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yanga SC mbona Kimya si tayari Simba SC tumeshawaachieni mliyekuwa mnamtumia Kutuumiza Kipa Aishi Manula, mtamtangaza lini Kumchukua awasaidieni?

    Kudadadeki unachezea Simba SC Wewe wakiamua lao. Si alikuwa anadhania tunatania? Kabipu Watu wamempigia.
  12. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania 'Tarehe 8 kuna wazee watapimwa umri mpaka watapike damu'

    Kwa hii kasi ya umeme ya hawa 'Gen Z' wa Simba kuna wazee siku ya tarehe 8 watapimwa umri hadi mpaka wakimbie mechi. Na kiufundi Simba ya sasa ipo aggressive sana, ipo na kasi sana mpaka wapinzani mapigo ya moyo yameanza kwenda mbio. Wanywa supu na wavaa vitenge jiandaeni kisaikolojia.
  13. Aigle

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba tukatae kukosa weledi kwa viongozi wa timu

    Mambo ya ajabu sana kwa mpira wa kitanzania haswa kwa timu za Kariakoo ila naona Yanga wamejitoa kua wasanii na kua na viongozi wapumbavu. Timu ya SIMBA, mchezaji anapewa mkataba, pesa na kila kitu alichoomba, badala ya kuripoti kambini mchezaji anaonesha utovu wa nidhamu kwa kutokuja mahala...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

    Leo Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa, wenye nchi Simba SC watafanya ule mtoko wa jezi mpya na utambulisho wa wachezaji na benchi la ufundi kwa msimu wa 2024/2025 Utambulisho huo utamalizika kwa mechi ya kirafiki dhidi ya APR kutoka Rwanda. Kaa nami katika uzi huu upate update ya...
  15. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa Simba na Yanga umewapumbaza Watanganyika

    Heshima sana wanajamvi, Katika miaka ya karibuni (labda 2020 - 2024) umekuwepo ushabiki mkubwa wa mpira baina ya club mbili kubwa Simba na Dar Young Africa. Ushabiki wa mpira, ngoma, kwaya, sarakasi, sana saana nyinginezo si jambo baya hasa katika kuburudisha na kuboresha afya ya akili...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kibu arejea mazoezini Simba, ajiunga na wenzake kwa Mkapa

    Baada ya sintofahamu ya mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis kutokuwepo kambini nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao rasmi amerudi mazoezini. Kibu amejiunga na wenzake mazoezini leo Agosti 2, 2024 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa yakiwa yamebaki masaa kadhaa kuelekea kilele cha Simba...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Uongozi wa Simba SC muonyeni Dogo Kipa Ali Salim aache tabia yake mpya aliyoirithi kwa Rafiki yake wa KMC FC ya 'Kutuumizia' Makipa Wetu

    Alikuwa ameanza vizuri tu, ila nae sasa kawa Mpuuzi wa kupenda yale mambo yetu ya Kienyeji / Kuroga kwa Kuumiza Wenzake. Mwambieni huyu aliyekuja Leo yaani Kihistoria tu nchi aliyotoka kama hujui Kuroga / Kupuliza hupewi ng'o 'Passport' ya kwenda nje ya hiyo nchi nikimaanisha kuwa amekuja akiwa...
  18. Mributz

    JamiiForums Tanzania Simba sc yatambulisha goli kipa mpya

    📝 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Klabu ya Simba Sc imemtangaza nyanda Moussa Pinpin Camara kama mchezaji mpya klabuni hapo akitokea klabu ya Horoya AC ya Guinea. Camara (25) raia wa Guinea 🇬🇳 mwenye urefu wa sentimita 185 amesaini mkataba wa miaka miwili utakaombakisha klabuni hapo mpaka Juni 2026 na tayari yupo...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC na wa wana Simba SC wote tafadhali tuwaangalieni kwa Jicho la Umakini sana hawa akina Ommy Dimpozi na Hamisa Mobeto

    Mimi binafsi hata iweje kwa kujijua Kwangu ni mwana Simba SC kamwe siwezi kuwa na Ukaribu wa Mashirikiano ya aina yoyote yale na Mtu wa Yanga SC. Sasa inakuwaje Watu kama akina Ommy Dimpoz na Hamisa Mobeto ambao hadi naambiwa hata huwa na Ukaribu na Watu muhimu tu na wakubwa ndani ya Simba SC...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Asanteni Simba SC, sina deni tena nanyi baada ya kumalizana na Victorien Adebayor

    Asanteni Simba SC sasa sina deni tena nanyi baada ya kumalizana na mshambuliaji hatari na jibu tosha la ushambuliaji Victorien Adebayor Yuko njiani kuja nchini Tanzania kumalizana na Tajiri; Tayari ameshafuatwa na Mafia Mkubwa Sasa mtatutambua ok? Ubaya Ubwela. Kudadadeki!
Back
Top Bottom