simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania CCM siyo tu inazimiliki Simba na Yanga bali inavimiliki hata vyama vya Siasa, yaani CCM ni Chama Dola!

    Wengi walishangaa Shujaa Magufuli kuwavalisha Kofia za CCM Diamond na Kiba Wengine wakashangaa Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kuhudhuria Birthday party ya Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu Aidha walishangaa CCM kuwaandalia BAWACHA mkutano Mkuu pale mkoani...
  2. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nadhani kuna kitu hakiko sawa huyu sio Ahmed Ally tunaemjua, aipigia kampeni CCM

    Kwa wale wataalamu wa body language na video analysts. Kwa namna UVCCM inavyotamkwa na muonekana wa uso na matamshi yanayotamkwa vinatia shaka sana kama ni maamuzi ya Ahmed. Pia soma: Rais Samia Suluhu Aahidi Kutoa Ndege Kwa Yanga Mchezo wa Fainali Pamoja na Milioni 20 Kila Goli Tusifike huku...
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mdude CHADEMA: Tunaiandikia FIFA barua ili Simba ifungiwe kwa kujihusisha na siasa

    --- Mdude Nyagali ambaye ni Mwanaharaati wa CHADEMA ameonekana kukerwa na kitendo cha Ahmed Ally Meneja mawasiliano wa Simba kuwataka wananchi kuipigia kura CCM. Kupitia ukurasa wake Rasmi wa X Mdude anmeandika haya: Kazi ndogo hii, tunaiamdikia barua FIFA na CAF na kuweka ushahidi wa video na...
  4. Influenza

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Fadlu Davids atangazwa kuwa Kocha wa Simba SC. Hizi hapa takwimu zake

    Klabu ya Simba ya Tanzania imemtangaza rasmi Kocha wa zamani wa Orlando Pirates, Fadlu Davids (43) ambaye ameachana na nafasi yake ya Kocha Msaidizi wa Klabu ya Raja Casablanca kuja kuinoa miamba hiyo ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Davids, pamoja na kocha wa zamani wa Orlando Pirates Josef...
  5. Smart AJ

    JamiiForums Tanzania Haya mashabiki wa Simba mje mtoe maoni kuhusu kikosi hiki

    Unakionaje kikosi, forget about formation.
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba wanakusanya wachezaji wapya badala ya kusajili wachezaji wapya

    Wanamkusanyia wachezaji wapya kocha ajae badala ya kusajili wachezaji kutokana na philosophy ya mwalimu. Nimemsikia kocha mpya wa Singida black stars akitoa angalizo kuwa viongozi wamesajili 90% ya wachezaji bila ushauri wake. Robertihno na Benchikha waligomba kuhusu wachezaji waliowakuta. Sasa...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC tafadhali upesi sana amueni moja katika hili kwani Msimu ukianza haya Mapungufu yaliyotuponza hatuyataki tena na tumeyachoka

    Uongozi wa klabu ya Simba umempa mkataba wa miaka miwili aliyekuwa kocha msaidizi wa Raja Casablanca, Fadlu David ambaye inaelezwa atatua nchini Ijumaa sambamba na wasaidizi wake. Kocha huyo ambaye amethibitisha ujio wake Tanzania baada ya kutumia ukurasa wake mtandao wa kijamii ‘Instagram’...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunachelewa nini kumalizana na huyu Elie Mpanzu ili asaini haraka Simba SC? Naomba ndani ya Siku Tatu zijazo muwe mmeshamalizana nae tafadhali

    GENTAMYCINE niliposema wenye Simba SC yetu sasa tumerudi Kundini na Kazini nilikuwa ninamaanisha. Kudadadeki.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa ukubwa wa usajili wanaoufanya Simba Sc kwa msimu wa 2024/2025, natangaza rasmi kurudisha kadi yangu ya Yanga na kuhamia Simba Sc

    Shalom shalom Mimi kama mkono mmoja pasi na kushurutishwa napenda kuitangazia jamuhuri ya watanzania kuwa nairudisha kadi yangu ya Yanga Sc na rasmi sasa hivi nakuwa mshabiki kindakindaki wa wana lunyasi Simba sc. Umafia unaofanywa na bilionea Mo na C.Magori si wa kitoto. Wachezaji wanaoletwa...
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba inaenda kurudisha hadhi na msisimko wa Kombe la CAF Shirikisho

    Kuna siku niliwahi kupost kuwa CAF walihuzunika sana msimu ule wa 2022-2023 kwa timu zilizoshindana hasa zile zilizofika mbali katika Kombe la Shirikisho. Hadi ikafikia hatua wakaanza kufikiria kuliondoa kabisa kombe hilo kuondoa aibu ndogo ndogo kama zile. Nafikiri sponsors waliona ni upuuzi...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wenye Simba tumerudi rasmi! Tega sikio Saa 12 kamili jioni ya leo, chuma cha maana kinaingia!

    Yaani GENTAMYCINE na akina Magori pamoja na Mafia wengine akina Nkwabi na Idi tuweke Silaha zetu chini na turejee Kuipambania Simba SC yetu kwa kutumia ule ule UMAFIA wetu unaoogopeka na Washamba wa Mafurikoni halafu Isisajili vyema, isifanye vyema na isichukue Ubingwa au kufika mbali CAFCC na...
  12. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Hizi ndiyo sababu kuu maalumu zinazonifanya niamini Simba Sc haitachukua ubingwa wa NBCPL 2024/2025

    (1) HAKUNA MABADILIKO YA UONGOZI, nilipoona Try again amejiudhuru na Mo dewji kuja kumtambulisha tena kuwa mjumbe hii ilinifanya nione kabisa hakuna serious yoyote bali wajomba wanapumnzishana tu ili kulinda masilahi yao binafs katika timu, kwani ikumbukwe Mo dewji alimuachia kiti try again na...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Huyu hapa kocha mpya wa Simba SC

    Niko hapa kuthibitisha kuwa Fadlu Davids ni kocha mpya ajaye Simba SC Raia huyo wa Afrika Kusini ni kocha msaidizi wa Raja Casablanca
  14. D

    JamiiForums Tanzania Sofyan Amrabat ndani ya simba sc. 😂😂

    kazini kwa Mzamiru kuna kazi 😂😂😂😂 simba wamejipata #chekakisport
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumbe hatusajili kwa sasa kwakuwa Skauti wao Mkuu Simba SC anasajili Vyuma vya maana Kimya Kimya tofauti na Misimu iliyopita?

    Asante sana Poti wangu ( mwana Mkoa wa Mara Mwenzangu ) Crescentius Magori ambaye nakukubali kama ambavyo nilikuwa nikimkubali Mapama ( Marehemu Zacharia Hanspoppe ) kwani nimeambiwa kuwa sasa Tajiri na Wewe mnamaliza Shughuli Juu kwa Juu na kimya kimya kwa Kusajili Vyuma huku waliokuwa...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini siumii na sitoumia Chama akiachwa Simba SC? Hajafikia hata 35% ya Uwezo mkubwa aliokuwa nao Marehemu Hamis Tobius Gaga 'Gagarino'

    Kama fundi hasa wa mpira sehemu ya Midfield Marehemu Hamis Tobius Gaga 'Gagarino' aliondoka Simba SC yetu na kwenda Yanga SC na wala sikuumia japo wana Simba SC wote tulimpenda ndiyo itakuwa leo Mtu kama Chama ambaye hata tu Uwezo wa 35% ya aliokuwa nao Gaga hana akiondoka niumie? Watoto wa leo...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Asanteni Simba SC kwa kumsikiliza Maoni yetu kwa Kuachana na Msaliti Inonga, sasa tunasubiria 'Thank You' ya Msaliti mwingine Chama

    Hawa Wachezaji Wasaliti Wawili wametuumiza pakubwa dhidi ya Washamba na Malofa fulani hivi wa Kariakoo 'Twiga Street' ndani ya hii miaka miwili mitatu. GENTAMYCINE ambaye ni Mstaafu Tukuka wa Michezo Michafu ya Ligi Kuu ya Tanzania baada ya kuwepo katika Shughuli hiyo miaka ya 2011 hadi 2013...
  18. Labani og

    JamiiForums Tanzania Simba waporwa wachezaji na singida Black Stars

    SINGIDA Black Stars (zamani Ihefu), imeendelea kusuka kikosi cha msimu ujao ikielezwa imepora nyota wawili wa kigeni waliokuwa wakiwindwa na Simba, huku ikimalizana na makipa Metacha Mnata na Beno Kakolanya anayeweza akapelekwa kwa mkopo Namungo. . Taarifa zinasema Singida tayari imewasainisha...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Henock Inonga Baka ameondoka Simba SC

    Beki kisiki wa Simba SC na DRC, Henock Inonga Baka ameondoka rasmi Simba SC. Taarifa rasmi itafuata muda mfupi.
  20. H

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Chama ameachwa na Simba SC

    Ni rasmi sasa mchezaji Clatous Chota Chama ameachwa rasmi na Simba SC na muda mfupi kuanzia sasa atasaini Young Africans kama mchezaji huru.
Back
Top Bottom