simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haraka Simba SC itafute Msemaji mwenye kujua hasa nini maana ya Usemaji kuliko huyu 'Msemaji Comedian' ambaye haendani na Kasi ya Klabu na Mahitaji

    Simba SC ni Timu ya Wasomi kuliko ile nyingine ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala hivyo tunataka Mtu wa Kasi hiyo Oky?
  2. Rhz4567

    JamiiForums Tanzania Luis Miquison kuachwa ni pigo kwa Simba SC

    Luis Jose Miquisone kuondolewa kwenye kikosi cha Simba SC ni pigo jingeni kwa viongozi wa Simba sc. Ushauri kwa Yanga Sc na Azam fc mchukueni Luis Miq atawasaidia sana kwenye Club bingwa Afrika. Viongozi wa simba sc hawana maono hapa wamefeli kumuondoa luis
  3. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Tuvute Subira kuna mashine zinakuja Simba SC

    --- Akihojiwa na Mwanahabai Meneja wa Mawasiliano wa Simba ameoneana akijinadi kuhusu usajili wao watakaoufanya msimu huu. Akielezea kwa ufupi hoja hiyo Ahmedy Ally anasema: Bado si tunaagana kwanza, tutakapoanza kukaribishana ndiyo ntakwambia sasa huyu anayekuja anakuja kufanya kitimbi gani...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tonombe Mukoko akisajiliwa Simba SC kwa mwaka Mmoja tu nitafurahi na atatusaidia kwani anacheza ile Midfield yangu enzi hizo ya Kazi Kazi daima

    Kama tulithubutu Kumsajili Babu Ntibazokiza mwenye Miaka 51 sasa kwanini tushindwe kwa Mukoko mwenye 19 sasa?
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie Uongozi wa Simba SC mna Akili sawa sawa Kweli? Sasa Waziri Junior 'Shentemba' wa nini Simba SC yetu?

    Yaani huyo Mchezaji hata kwa Timu yangu niiyokuwa nikiifundisha Kawe ( wakati bado Sijahama ) asingeweza kupata Namba kwani nilikuwa na Kijana Mmoja matata niliyempavchika Jina la Mayele sasa nimemuuza 'Kisela' klabu moja akaanze kucheza Timu yao ya Vijana ila najua kwa Kipaji chake Msimu ujao...
  6. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea kwenye 'Management' ya Simba sc ni Pata potea.

    Baada ya kuona mwenendo wa timu yao siyo wa kuridhisha, Mashabiki na wanachama kindakindaki walipaza sauti wakishinikiza kujiuzulu kwa baadhi ya viongozi wa ngazi za juu wa timu yao. Kweli baada ya siku kadhaa viongozi hao walitangaza kujiuzulu, lakini cha ajabu Mdhamini na Rais wa heshima wa...
  7. mchawi wa kusini

    JamiiForums Tanzania Mangungu Simba sc hapamfai,Na Mashabiki Hawamuhitaji Mangungu.

    UCHAMBUZI WA ALICHOKIONGEA MANGUNGU CLOUDS Wana Simba Msidanganyike na kurudi nyuma kwa maneno ya Ngungu.Kwanini 1.Kuenndelea kwake ni Mwendelezonwa visasi kwa wanachama Jana tumemsikia wazi wazi akikana Tawi hadharani kwa sababu ya tofauti zake na mtu Mmoja unadhani lile tawi la VIP A ambalo...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Murtaza Mangungu leo ni Countdown yangu ya Kwanza Kwako kukutaka uachie Ngazi Simba SC na usije kusema Sikukuonya kwani huwa sibahatishi kwa lijalo

    Tafadhali aliye Jirani nae amwambie kuwa aachie Ngazi Simba SC kwani GENTAMYCINE huwa Sibahatishi kwa Taarifa.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wenye Simba SC yao na Wazee kama hawa Waliojitolea Jasho na damu walalamike halafu utegemee Kufanikiwa? Thubutu yako. Utalaanika tu

    “Lazima mabadiliko yapatikane sio kuivunja tu Bodi ya Wakurugenzi, bali hata wachezaji kwa sasa hivi hawako watu wanaoweza kuiendeleza ile klabu, klabu imekuwa na mambo na kiubinafsi, hawathamini watu sio mimi tu tupo wengi ambao tulipoteza ujana wetu kuitumikia Simba” Abdallah Kibadeni Maarufu...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC msitishwe na wala msidanganywe achaneni na Jean Baleke kwani hakuna Mshambuliaji hapo

    Kama kuna Striker ambaye nilikuwa Simpendi Simba SC ni huyu / huyo ila nasikitika kusikia kuwa anataka Kurejeshwa.
  11. Heparin

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Simba SC yamfuta kazi Dani Cadena kwa madai ya kuingiliwa katika majukumu ndani ya klabu

    Wakuu, Nimeona mtandaoni kuwa simba imemfuta kazi kocha wake wa Makipa Dani Cadena alizotoa kwenye vyombo vya habari akidai kuingiliwa kwenye majukumu yake. JamiiCheck tusaidieni kuihakiki maana sijaiona kwenye page rasmi za simba.
  12. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo tunakubaliana Yanga alikuwa hanunui Match bali ni team yetu imeoza si ndio?

    Habari mwanajukwaa. Jana kwa jirani moto umeanza kuwaka kumbe ule moshi ulikua unavuka ndani kulikua na moto hatukujua tu.😂 Zile ngonjera za kuwafunga kina GB 64 na kusema wanaihujumu timu. Mara kuna watu wanavaa jezi za simba wanaisema vibaya makusudi. Mara Yanga ana nunua Match na kahonga...
  13. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Simba SC mmekiri mmewauza wanachama kwa miaka 3, wajibikeni

    Mjumbe wa Bodi ya Simba SC CPA ISSA MASOUD akiongea na Waandishi wa habari Jana, amekiri kwamba shilingi bil. 20 alizoahidi mwekezaji Mohamed Dewij "Mo" hazijawahi kuwekwa popote Bali aligeuza fedha anazotoa Kwa matumizi ya kawaida (kununua mchicha, boxer na kandambili) ndo zihesabike kama...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Simba upande wa mashabiki wanataka kumtapeli Mo Simba yake

    Story hii ya CPA CPA Issa Masoud ni miongoni mwa Wajumbe waliongea na Waandishi na kueleza kuwa kuna vitu wanapishana na Muwekezaji MO Dewji kwa sababu vinakiuka utaratibu na matakwa ya kikanuni na sheria. “Hatuwezi kuwa na taasisi ambayo kila baada ya muda fulani watu wanajiuzulu, fedha zote...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mangungu jiuzuru kuepuka aibu ya kung'olewa na wanachama

    Kwa takribani saa 48 sasa kuna mambo kibao yanaendelea ndani ya Simba. Tajiri Mohamed Dewji ‘MO’ ameingia msituni mwenyewe. Ameamua kufumua kitu kimoja baada ya kingine kwa vitendo katika kuhakikisha Simba inakuwa moto wa kuotea mbali msimu ujao na kurejesha heshima ambayo imepoteza katika...
  16. Heparin

    JamiiForums Tanzania Rashid Shangazi: Nimejiuzulu Simba kama sehemu ya uwajibikaji

    Mbunge wa Jimbo la Mlalo na Mjumbe Kamati ya Bodi ya Uwekezaji wa Simba kupitia upande wa mwekezaji Mohamed Dewji, Rashid Abdallah Shangazi ameeleza sababu ya kujiuzulu kwake kwenye nafasi hiyo. Shangazi amesema kuwa alimuandikia Dewji barua ya kumuomba kujiondoa kwenye bodi hiyo tangu Juni 2...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Feisal amevuta milioni 90 kutoka kwenye klabu yake ya Azam baada ya kufunga magoli 19 ya ligi kuu

    Kiungo huyo amechukua kiasi hicho cha pesa ni moja wapo ya kipengele cha mkataba wake na Azam fc kila msimu akifikisha magoli 10 na zaidi atakuwa akipata milioni 90. kwahiyo tuseme Feisal katika miaka yote mitatu ya kimkataba atalamba milioni 270 kama atafikisha magoli hayo 10,ambapo kwa sasa...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC nitengeeni Bilioni 2 tu kisha mtumeni Mtu aniltee hapa Kampala niwafanyieni Usajili wa kuwa Bingwa wa Makombe yote 2025

    Nina Jicho la Kuona na Kumjua Mchezaji kuliko Injinia Hersi na mkinipa hizi Hela nawasajalieni Wachezaji wangu Saba ( 7 ) wa Kimataifa niliowaona Watatu niko nao hapa hapa Kampala Uganda na Watano wako Afrika Kusini, Congo DR, Ivory Coast, Zambia na Angola. Kwa Wachezaji wa Ndani nitawasajilia...
  19. Heparin

    JamiiForums Tanzania Wababe 19 wa Afrika walioshindwa kukata tiketi ya kushiriki michuano ya CAFCL

    Wakuu, kuna orodha ya timu 19 zilizoshindwa kufuzu kushiriki michuano ya Klabu bingwa Afrika Msimu wa 2024/25 Orodha hii haijapangwa kwa kuzingatia ubora wa timu husika. Simba SC Zamalek SC Wydad AC ASEC Mimosas RS Berkane AS Vita Club CS Sfaxien ZESCO United Etoile du Sahel Coton Sport de...
  20. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Fredy Michael mfungaji bora Zambia msimu huu, ila SIMBA SC wanamuona garasa

    Hii timu huwa inanishangaza sana. Jana Fredy Michael kawa mfungaji bora wa Ligi kuu Zambia licha ya kutokuwepo huko kwa miezi kadhaa. Saido mwaka jaba aliibuka mfungaji bora NBC PL akagawana zawadi na Mayele. Msimu huu ndiye kinara wa magoli Simba SC. Soma Pia: Usajili wa Simba tangu 2019...
Back
Top Bottom