simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania FT: Na leo kuna SINDANO? Ligi Kuu: Simba SC 6 : 1 Mashujaa FC| Uwanja wa Uhuru| 13/10/2026

    Timu ya Simba imeichakaza Mashujaa FC magoli 6-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara na hivyo kuendelea kubaki kileleni kwa kufikisha pointi 24 katika michezo 8, ikifuatiwa na Yanga yenye alama 18 katika michezo saba. Mchezo umemalizika.
  2. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutoka Simba SC Hadi Nairobi United: Bajaber Aonekana Kufuatilia Mechi Dhidi Ya KCB

    Video ya kiungo mshambuliaji wa Harambee Stars, Mohamed Bajaber, akitazama Nairobi United ikicheza dhidi ya KCB, imeongeza mvuto katika kurejea kwake kwenye Ligi Kuu ya Kenya baada ya kuondoka Simba SC ya Tanzania. Bajaber sasa amethibitishwa kujiunga na Nairobi United kwa mkataba wa miaka...
  3. JamiiForums Tanzania Simba Sc ni Gari limewaka au ni moto wa makaratasi🤔

    Nimecheki statistics namba zinaongea.
  4. JamiiForums Tanzania Kwa hadhi na uwezo Simba SC, ilipaswa kushiriki ligi kubwa duniani kama EPL

  5. JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex

    Klabu ya Simba Sc leo, Septemba 16, 2026, inatarajiwa kushuka dimbani kukabiliana na Azam Fc katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Premier League msimu wa 2026/27. Simba inaingia katika mchezo huo ikiwa na rekodi nzuri baada ya kushinda michezo yake yote mitano iliyopita ya ligi na kukusanya pointi...
  6. JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

    Klabu ya Simba inashuka dimbani leo kukipiga dhidi ya Mighty Wanderers katika mchezo wa CAF Champions League wa Kufuzu Round 1 utakaochezwa Uwanja wa Uhuru saa 10:00 jioni. Simba SC imeanza safari yake ya CAF Champions League kwa ushindi muhimu ugenini na sasa Wekundu wa Msimbazi wanarejea...
  7. JamiiForums Tanzania Simba SC VS Might Wanderers | CAFCL - Kufuzu Round 1 | Uhuru Stadium | 13.09.2026

    Klabu ya Simba inashuka dimbani leo kukipiga dhidi ya Mighty Wanderers katika mchezo wa CAF Champions League wa Kufuzu Round 1 utakaochezwa Uwanja wa Uhuru saa 10:00 jioni. Simba SC imeanza safari yake ya CAF Champions League kwa ushindi muhimu ugenini na sasa Wekundu wa Msimbazi wanarejea...
  8. JamiiForums Tanzania Doumbia anasema hana presha Simba SC, anawaskia ngebe zenu

    Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Doumbia, amesema hana presha licha ya kuanza msimu huu bila kufanya vizuri. Doumbia amesema ameanza taratibu, lakini bado ana matumaini ya kufanya vizuri zaidi na kuumaliza msimu kwa kiwango kizuri.Mshambuliaji huyo anakabiliwa na presha kutoka kwa mashabiki...
  9. JamiiForums Tanzania FT: Mighty Wanderers 0-1 Simba SC | CAFCL-1st Leg | Wakali wa Kimataifa wafanya kweli | 06.09.2026

    Timu ya Simba SC imeanza kwa ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Mighty Wanderers katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Septemba 6, 2026. Mchezo wa marudiano baina ya timu hizo katika Hatua hiyo ya Awali unatarajiwa kupigwa Septemba 13, 2026 kwenye Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam...
  10. JamiiForums Tanzania FT: Match day; Simba SC 1-0 Coastal Union | Ligi Kuu NBC | 1:00 Usiku

    Simba imeibuka na ushindi wa bao 1 kwa 0 dhidi ya Coastal Union, Bao lililofungwa na Ismail Toure. Kwa Ushindi huo Simba inaongoza Msimamo wa ligi ikiwa na alama 12 huku watani wao wa jadi wakiwa wana mchezo mmoja mkononi Simba SC leo Alhamisi, Agosti 27, 2026, itashuka dimbani kuikabili...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Benchi la ufundi la Simba sc hebu kaeni na wachezaji mzungumze nao kuhusu suala la nidhamu ya mchezo uwanjani. Hizi red cards zinaicost team sana

    Moja kwa moja huu uzi uwafikie viongozi na benchi la ufundi la Simba sc. Muwaeleze wachezaji kuwa uwepo wa Football video support (FVS) na madhara yanayoweza kuwakumba wao wachezaji na team kwa ujumla kutokana na uchezaji wao wa ovyo. Beki na viungo wa Simba wanafanya sana reckless tackles...
  12. JamiiForums Tanzania FT: Pamba SC 1-2 Simba SC | Ligi ya NBC | CCM Kirumba

    Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo Jumatano, Agosti 19, 2026, kwa michezo mitatu, huku Simba SC ikishuka dimbani kumenyana na Pamba Jiji FC katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa 10:15 jioni. Simba inaingia uwanjani ikiwa ugenini, huku Pamba Jiji ikitafuta kutumia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania KANSA INAYOIMALIZA SIMBA SC: Kwanini Kamati ya Usajili inang'ang'ania kuacha pengo upande wa beki za pembeni kila msimu?

    Nguvu moja!!! Habari zenu Wana-JamiiForums na Wanasimba wanaoumia na timu hii, Imefika hatua sasa hapa Simba SC lazima tuambiane ukweli mchungu hata kama unauma. Kuna usaliti mkubwa wa kiufundi unafanywa na Kamati yetu ya Usajili misimu nenda rudi, na unajirudia tena kuelekea msimu huu mpya wa...
  14. JamiiForums Tanzania FT | Yanga SC 1-0 Simba SC | Ngao ya Jamii | New Amaan Complex | 12.08.2026 | Yanga mabingwa

    Timu ya Yanga SC imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba SC katika mchezo wa Ngao ya Jamii uliochezwa leo, Agosti 12, 2026, Zanzibar. Goli la Yanga limefungwa dakika 31 na Albert Kangwanda ambaye ni ingizo jipya katika dirisha kubwa la usajili ================ Nani kuanza msimu na...
  15. JamiiForums Tanzania Simba SC walishajihakikishia nafasi ya pili msimu huu NBC

    Yeah nawapongeza sana Simba sc, kwasababu naona nafasi ya pili msimu wa 2026/2027 nafasi yao iko very secured. Naona mabeki wao wazuri Kameta Duchu, Kibabage wakipambana angalau wafikie nafasi ya pili , napongeza Kwa usajili wao mzuri wa kumleta Victor Osimeh Doumbia mfumania nyavu wa kutisha...
  16. JamiiForums Tanzania Simba Day yaingia doa yakubali kichapo | Simba SC 0-1 Kenya Police | Mechi ya kirafiki | Uhuru | Agosti 8, 2026

    Klabu ya Simba SC imekubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Kenya Police FC ya nchini Kenya katika mchezo wa Simba Day uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru. Matokeo hayo yamekuja katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Simba Day, huku Kenya Police ikiibuka na ushindi muhimu mbele ya mashabiki wa...
  17. JamiiForums Tanzania Hii timu yangu ya Simba kumbe bado ni takataka 🚮

    Kwa hicho kikosi na ujinga ujinga wenu , na ufisadi, hatuwezi kuwashinda Yanga kamwe 🤔 Yapo mababu majinga majinga kwenye uongozi ,ambayo hayana maono ya mpira wa sasa. Kwa Simba day hii tu na utambulisho wa wachezaji , mtapigwa nyingi sana takataka nyie . Kipigo cha hawa wajinga na...
  18. JamiiForums Tanzania Feisal salamu anawatumia mabumunda WA SIMBA SC na YANGA SC kujiongezea thamani

    Azam FC wanachofanya ni kiburi cha pesa ambacho hakina tija yoyote kwao. Tangu usajiri wa Feisal ufanyike, Azam FC imeendelea kua msindikizaji Katika mashindano ya ndani na hata Yale ya kimataifa. Huku feitoto akinufaika pakubwa kimaslahi . Kutokana na ubumunda wa viongozi wa Azam FC kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally; nitaingia na ungo uwanjani

    Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally ametanabaisha kwamba siku ya Simba (Simba Day) Jumamosi Agosti 8, 2026 ataingia Uwanjani kwa namna ya tofauti ambapo ataingia kwa kupaa na ungo.
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Neo Maema akaribia kurejea Simba SC kwa mkopo kutoka Mamelodi Sundowns

    Kwa mujibu wa Mwandishi Lorenz Köhler amesemea kuwa kiungo mshambuliaji Neo Maema anatarajiwa kurejea Simba SC kwa mkopo akitokea Mamelodi Sundowns kwa msimu wa 2026/27. Simba SC na Mamelodi kukamilika, Klabu hizo zipo katika hatua ya mwisho ya mazungumzo kumruhusu Maema kurejea Simba SC...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…