Ikiwa ni ruhusa labda mtu awe na kibali ,ni urahisi upi uliopo wa kupata kibali ?
Kuna nchi hizi za dunia ya tatu wananchi wanabeba silaha,hapo Somali ni kawaida kumkuta mtu ana kifaru nje ya nyumba ,Yemeni watu wazima mjini na watoto mnijishamba wanabeba smg na risasi zinauzwa sokoni kama...