siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ukichagua biashara uwe na malengo ya kuja kutengeneza kipato kuzidi muajiriwa, ukipata chini au sawa na muajiriwa wewe ni mtumwa kuzidi muajiriwa

    Jipimie kuwazidi hawa waajiriwa wa taasisi kubwa kubwa, uweze kutengeneza angalau milioni 10 na zaidi kila mwezi, watumishi wachache sana wanavuka hapo ukiunganisha posho, mshahara na vidili. basi hio ndio iwe target yako. Watumisi hasa wa serikali wana uhakika wa misahara, posho na vidili...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wa siku hizi hamlewi?

    Kizazi hiki asa hivi hakitumii pombe kabisa labda mtuambie sie baba zenu mnatumia nini nyinyi mibangi au mnapemesa nyie,sio kawaida mtaani watu hawayumbi tena kama zamani na mikao ya pombe imekuwa michache kwanini? Kwa takwimu za miaka minne iliyopita inaonesha kuwa makampuni ya pombe yamepata...
  3. JamiiForums Tanzania JamiiForums naomba ile mada: Wanafurahia utekaji kuna siku watashindwa kuzibiti

    Kuna mada niliweka hapa kuhusu tabia hii ya mtindo wa ukamataji au kiufupi ni utekaji ambao ukijiambatanisha wasio julikana. Kwa haya wanayofurahia na mtindo wanaotumia nilisema kuna siku kutatumika kama person ndani ya jeshi asilimia kubwa na ndogo itakuwa kwa wananchi. Tusipo likemea na...
  4. JamiiForums Tanzania Leo Ndiyo Siku Yako

    "Kifo chako kitakuja siku ya kawaida, katikati ya mipango ambayo haijakamilika, na dunia itaendelea bila wewe. Hivyo basi, ishi kidogo." Kifo chako hakitakuja kwa tangazo au maandalizi maalum. Kitakuja siku ya kawaida kabisa, ukiwa katikati ya mipango ambayo bado hujakamilisha, ndoto ambazo...
  5. JamiiForums Tanzania Heche: Mbunge analipwa per diem na allowance Tsh. 800,000 kwa siku, mshahara wa Tsh. 18 milioni kwa mwezi

    Duh, kama ni ukweli basi tumekwisha, kuna vitu hapa Tanzania ni bora usivijue tu, maana ukivijua utapata pressure ya bure, imagine nchi maskini, Raia wanashindwa kuafford vitu vya msingi, lakini kuna mtu mmoja pale bungeni anakunja zaidi ya mamilion, bunge la budget ni siku 90, laki nane kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Iwe siku yenye baraka kwetu sote!

    Mungu wetu ni mwema sana! tunakuomba Rehema na utukufu wako,utulinde na Kila baya, na Kila adui,na Kila maradhi , na Kila madhila ya Dunia hii! Tunakuomba ututendee miujiza kwenye Nchi yetu,tutakalo na tuombalo litimie kwa uwezo wako, Tuponyeshee wagonjwa wetu twakuomba! Tuondolee pepo la...
  7. O

    JamiiForums Tanzania ATCL Yazindua safari za mwanza - dodoma, abiria 1300 kwa siku

    ATCL YAZINDUA SAFARI ZA MWANZA - DODOMA, ABIRIA 1300 KWA SIKU Shirika la Ndege Tanzania(ATCL), limezindua safari zake za utoaji huduma kati ya Mwanza -Dodoma ikiwa ni kurahisisha safari kwa watumiaji kwa njia ya anga. Safari hizo zilianza Juni 5,2026, ikitajwa kusaidia wafanyabiashara na...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mfanya Biashara Bado Siku 10 Upigwe Penalty

    Habari mjasiriamali, Leo ni tarehe 19 June, Hii Ina maanisha kuwa Bado siku 10 tuu mpaka ufike deadline ya ku submit Audited financial statements kwa mwaka 2026. Deadline ni tarehe 30 June. Kama mmiliki wa biashara au Kampuni unatakiwa ku file na ku submit Audited financial statements kabla...
  9. O

    JamiiForums Tanzania 29/10 Siku ya maombolezo ya kitaifa iliishia wapi!?

  10. JamiiForums Tanzania Watangazaji (waandishi wa habari) wa Tanzania kwanini siku hizi mnasema, "hizi mambo", badala ya "haya mambo"?

    Yaani Kila ukifungua redio utasikia, "hizi si mambo zangu", "mambo zako?" nk. Kibaya zaidi wanaozungumza haya ni vioo vya jamii na ni wasomi, kwamba lazima watakuwa wamesoma kipengele cha ngeli za nomino wakiwa O level. Nawasihi watangazaji waache hii tabia mara moja tabia hii.
  11. JamiiForums Tanzania NENO LA SIKU

    NENO LA MUNGU
  12. JamiiForums Tanzania Nikiwekeza milion 20 kwenye soko la hisa leo ningekua na milion ngap faida kwa siku moja??

    Wakuu nimeangalia trend ya NMB, Leo kuna change ya 300+ kwene share !! Nikawaza ningekua nimewekeza milion 20 leo ningetengeneza hela hii 1=15380 Tsh X=20,000,000 Kwaiyo milion 20 ingekua ni sawa na hisa 20000000/15380=1,300.39 Ningekua na hisa 1300 Kwa ongezeko la leo 300+ =1300+300=1,600...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi siku nchi yetu ikifikia steji ya mwisho kama Zimbabwe. CCM wataongea nini na kumlaumu nani

    Tokea kupata uhuru ni CCM kipo madarakani. Taifa mumeligeuza mali ya chama.Siku nchi imekuwa corrupt ni nani mtamlaumu na mtawaeleza ninu wananchi.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Evening Classes Za Postgraduate Studies UDSM Ni Lazima Kufika Darasani Kila Siku Ya Vipindi?

    Habari wanajamii Nilitamani kufahamu kama Zile postgraduate programs ambazo sio blended ama online classess pale udsm ni lazima kuattend vipindi physically au kuna nafasi ya kuhudhulia kwenye platforms kama zoom na e-learning platforms zingine (Moodle) Je kwa mtu ambae anasafiri kila wakati hii...
  15. JamiiForums Tanzania Adha ya maji Mkwajuni Mkoani Songwe: Mahitaji ni lita Milioni 4.36 kwa siku, uzalishaji ni Lita laki 8 - Milioni 1 kwa Siku

    Utangulizi: Safari ya Alfajiri na Ndoto ya Maji Safi Kila alfajiri mkoani Songwe, mamia ya wanawake katika Kata ya Mkwajuni, Wilayani Songwe huanza safari ndefu na yenye hatari kubwa. Hii si safari ya burudani wala hiari, bali ni mapambano ya lazima ya kusaka nishati ya uhai maji safi na salama...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Atakaye Jaribu Kuandamana Atajuta na Kuilaani Siku Aliyozaliwa. Amani Na Usalama Wa Taifa ni Lazima Vilindwe kwa Jasho na Damu ili Visitoweke

    Ndugu zangu Watanzania, Duniani Kote na Mataifa yote yanayojitambua hulinda Amani Na Usalama kwa nguvu zote na kwa kila njia . Mataifa yote kuanzia yale Makubwa hadi Madogo hulinda Amani na Usalama kwa jasho na Damu. Tangu enzi na Enzi tokea kuumbwa kwa Ulimwengu Huu Usalama wa Himaya ama...
  17. JamiiForums Tanzania Iweje Zanzibar Tarehe 1 Muharam 1448 Sikukuu Inaadhimisha Mwaka wa Kiislamu Bara ni Siku ya Kazi?

    https://youtu.be/6tQNJaVTWlo?si=kcNDLLVOAAy8RaOA
  18. JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana kuyakabili na kuyadhibiti watu wabaya wanaopanga kujificha kwenye maandamano haramu siku zijazo

    Napendekeza pasiwepo na huruma, aibu wala kumuonea haya yeyote yule atakae thubutu au kujitia kimbelembele kujaribu kuvuruga amani au kutatiza shughuli za uzalishaji za waTanzania kote nchini. Natoa wito kwa wanausalama mahiri kote nchini, kutomchekea muandamanaji haramu yeyote yule kote...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Bagamoyo walisema kuunganishe umeme baada ya kulipia ni Siku 30, sasa wanasema siku 60

    Ninakero yangu, mkoa wa Pwani Bagamoyo Tanesco ni Kero, nimelipia kuhusu kuunganishiwa umeme tangu mwezi wa nne mwanzoni 2026 hadi sasa hawajaniunganishia, kila nikiwapigia mwanzo walisema siku 30 za kazi baada ya siku 30 za kazi kupita wanasema ni siku 60 za kazi ni kerooo.
  20. JamiiForums Tanzania Kuna siku mtasikia pesa imelipwa kampuni ya META ambayo inashutuma kubwa sehemu nyingi.

    Kwa kuwa mchakato bado ujamalizika na wengine wakisubiri juwa la jioni kuweka misamahaa yao kwenye vitabu. Kuna jambo mtakuja kubaki midomo wazi kuhusu META hii kampuni ya facebook na ubagazaji wa afrika kuficha maovu na nchi zinazo walipa mpaka urusi yupo,USA yupo,israel yupo,afrika ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…