siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Wasiomini Mungu Wameongezeka Sana Siku Za hivi Karibuni?

    Wanabodini Habari.. Siku Za hivi Karibuni Hapa Jukwaani Na Hata Mitaani Nimeshuhudia Ongezeko Kunwa La Watu Wasioamini Uwepo Wa Mungu.. Mnadhani Shida Ni Nini? Na Nini Kifanyike Kutukomboa Sisi Na Kizazi Chetu Toka Kwenye Hii Laana?? Je Kuna Motive Behind Ya Hili Swala? Au Waabudu Shetani...
  2. JamiiForums Tanzania DAR: Barabara 9 kufungwa kwa siku sita kupisha mkutano wa madini chini ya Viongozi kadhaa wa Afrika

    Tanzania imepewa heshima ya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Nishati wa Afrika unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 na 28 Januari 2025 jijini Dar es Salaam. Mkutano huu mkubwa utawahusisha viongozi wa juu kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika, wakiwemo Wakuu wa Nchi na Mawaziri wa Nishati na Fedha, ambapo...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa ugeni huu wa siku mbili kuhusu mkutano wa nishati, serikali ingetoa mapumziko

    Namsikiliza Muliro hapa, naona kwa siku hizo 2 za mkutano ni kama Dar itasimama. Picha inayoonekana ni kwamba hatuwezi ku host mikutano mikubwa na maisha yakawa yanaendelea. Sasa kwa namna hii unawasababishia wananchi kero.
  4. JamiiForums Tanzania Siku nikipata kazi nitaruka kama ndama.

    Mimi ni mgonga ulimbo mwenye matumaini tele wakati wagonga ulimbo wenzangu wakiwa addicted na porn na betting. Basi mimi niko addicted na page & website za sekretarieti ya ajira maana nina imani nao sana tu baada ya mgonga ulimbo mwenzangu kutoka kule Inyalikungu kulamba shavu kwenye moja ya...
  5. JamiiForums Tanzania Ipo Siku Nitakuwa wa Kwanza Kuanzisha Kampeni ya Kuwakomboa Dada Zetu Wanaojiuza: Nitafanya Hivi

    Biashara ya dada zetu kujiuza miili yao ni changamoto inayowakumba dada zetu kwa sababu ya matatizo ya kiuchumi, ukosefu wa elimu, na ukosefu wa msaada wa kijamii. Katika juhudi za kuleta mabadiliko, ipo siku nitaanzisha kampeni yenye lengo la kuwaokoa na kuwapa maisha mapya. Kampeni hii...
  6. JamiiForums Tanzania Vilio vya bundi nyumbani siku 3 mfululizo vinaashiria nini?

    Ni siku 3 sasa, wakuu kunani hapa nini maana yake? naona kama sio kawaida.
  7. JamiiForums Tanzania Siku zote Lissu hushinda katika ushindani mgumu

    1. Mstaafu Kikwete aliwahi kutamka kuwa ni aheri Dr Slaha ashinde Urais kuliko Tundu Lisu kushinda ubunge. Kauli ile, indirect ilikuwa maagizo kwa CCM nzima pamoja na taasisi zake kuhakikisha Lisu hawi mbunge. Katika uchaguzi mgumu kabisa, matokeo yake Lisu alishinda na kutangazwa kuwa mbunge...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanamke kupata hedhi ya siku 9

    Ndugu wanabodi nina swali hapa. Japo muda umeenda ila Nimeshindwa ling'amua kuhusiana na mzunguko wake ameniuliza ila nimeona nitafute wajuvi wa wanisaidie. Mzunguko wake ni wa siku 28, ila bleed anaenda hadi siku 9 japo kuna kipindi huwa kawaida zinaishia 5, Swali lake je? hii hali ambapo...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Siku hizi hakataliwi mtu, unaombwa pesa mwisho wa siku unakimbia mwenyewe

    Mwanaume akikufata kutaka uwe nae kama ujampenda ata usijisumbue kumkataa kumvunja moyo na kauli za oh sio type yangu sijui nina mtu wangu blah blah blah!! Siku izi mwanaume akikutaka alaf ujampenda we mkubalie tu alaf siku ya pili muombe pesa! Tena pesa ya maana 😀 wanaume wengi awapendi...
  10. JamiiForums Tanzania Nataka niingeze faida angalau Tsh 2000/= kwa siku UTT AMIS, niwekeze Tsh ngapi?

    Wakuu, nataka niwe napata faida ya Tsh 2000 Kila siku.. niwekeze Tsh ngapi UTT AMIS..? 2000/= kwangu inanitosha kabisa.
  11. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mamlaka ya Maji Mbeya: Maji tunayozalisha ni 58% ya mahitaji yanayotakiwa kwa siku

    Baada ya Mdau wa JamiiForum.com kueleza kuwa hadi leo Januari 21, 2025, Wakazi wa maeneo ya Isyesye hapa Jijini Mbeya hawajapata maji kwa wiki moja, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya (MBEYA UWSA) imefafanua kuwa kuna mgawo na pia uzalishaji haukidhi mahitaji ya Mkoa. Kusoma hoja...
  12. JamiiForums Tanzania Leo sio tu siku ya Uchaguzi wa Mwenyekiti CHADEMA. Leo ni siku ya kuamua mustakabali wa miaka 100 ijayo ya Tanzania

    Sidhani kama Wajumbe wa CHADEMA wanalifahamu hili? Tanzania ilipofikia sasa, hasa kutokana na changamoto za rushwa na uongozi mbaya unaogharimu maisha ya wananchi masikini kila kukicha, ni jambo moja tu linaloweza kutubadilishia hali hii na kuhakikisha uwepo wa Tanzania imara yenye maendeleo ya...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Leo wajumbe wa mkutano mkuu CHADEMA msifanye kosa la kukirudisha chama kwenye siku za uanaharakati

    Lissu hajaweza na hataweza kutoka kwenye hulka yake ya uanaharakati (activism). Hii ni hali ya chini kisiasa au utoto wa kisiasa. CHADEMA chini ya Mbowe kilishavuka hatua hiyo kitambo sana. Lissu ataivuruga CDM kwa mambo mengi ikiwa ni pamoja na kukosa uzoefu na uvumilivu kwa wanachama...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Siku ya birthday yake alikejeli: Vitoto vinakufa angali vidogo. Miwili baadae akafa. Huyu nae hata mwaka anaweza asimalize baada ya kukejeli marehemu

    Nakumbuka kwenye birthday yake ya kutimia miaka 75 kama sikusoe, namba moja mstaafu kutoka Butiama, alikejeli watoto wadogo wanaokufa wakiwa bado wadogo. Kama namnukuu sawa sawa, alisema, "vitoto vyetu vinakufa angali bado vidogo....." Kauli hii binafsi iliniumiza na kunishangaza sana ingawa...
  15. JamiiForums Tanzania Kilichowafurahisha Yanga nini siku ya kupanga makundi hadi wakashangilia?

    Siku ya kutangaza makundi ya mashindano ya CAF Yanga walishangilia Sana. Kilichowafanya washangilie ni nini? Waliona timu walizopangwa nazo ni vibonde au vipi? Angalia jinsi Yanga walivyoshangilia timu walizopangwa nazo.
  16. JamiiForums Tanzania Ujinga wa Watanzania unavyofanya wanatapelewa mitandaoni Kila siku !!

    Maisha yanaenda Kasi, Kila MTU Kila siku anatafuta namna ya kuishi. WACHINA Kila siku wanakuja na Gunduzi za Kila aina , Gunduzi zao zinawekwa mitandaon , zipo Gunduzi zinazowekwa mitandaoni lakn zinakua restricted kutumika kwenye Nchi zao tu . WABONGO MATAPELI, na vile tuna TCRA ya kudeal...
  17. JamiiForums Tanzania Ripota wa Israel anauliza kuhusu hii video ya Hamas, Israel ilishambulia kwa mabomu siku 450 huko Gaza walikuwa wanapigana na nani?

    Wanaukumbi. Ripota wa Israel anatoa maoni yake kuhusu video hii: "Nataka tu kuuliza kwa upole: Je, Israel imekuwa ikishambulia kwa mabomu kwa siku 450 huko Gaza? Hamas inaonekana kuwa katika nafasi nzuri kana kwamba haikupigana vita dhidi ya jeshi la Israel." Hii video ya Hamas leo Jumapili...
  18. JamiiForums Tanzania Uzi wa kutaja Ni biashara gani umesikia mtu katajirika nayo siku za hv karibuni?

    Habari Kiukweli tunatoka sehem mbali mbali tunakutana na watu mbali mbali.Naomba toa fursa kwa waTz wenzio biashara gan umesikia au unamjua mtu imemtajirisha cku za karibu hz
  19. JamiiForums Tanzania Hawa koluna na wahalifu wengine nchi ya congo kwa sheria walizowekewa kuna siku watakimbilia nchi jirani kuendeleza kazi zao.

    Waziri wa sheria wa kongo Constant Mutamba.Kupitisha sheria ya kunyonga na kukamata wahalifu kongo kuna weza kusabisha asilimia kubwa au ndogo wengi wakaenda kufanyia nchi jirani. Ili swala nimekumbuka vikundi vya panya road hapa tanzania baada ya kuzibitiwa na mwisho wa siku vilikimbilia nchi...
  20. JamiiForums Tanzania Mbowe sasa aamua kutufungia maombi ya siku moja tuliomkataa

    Tumefungiwa maombi ya siku moja turudi kwa baba. Kwa niaba ya tuliomkataa Mbowe nasema kwamba huyu mchungaji anapoteza muda wake bure. Mbowe tulimkataa, tunamkataa na tutamkataa katu hatutarudi kwake kama ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Chama baada ya huu uchaguzi mkuu wa Chama. Sababu za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…