siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Sekta ya madini kuipeleka Tanzania uchumi wa kati juu 2050 wenye Pato la TZS50,000 Kwa kila Mtu kwa siku.

    Mojawapo ya sekta zilizochaguliwa kupewa kipaumbele na Dira2050 ya maendeleo katika kuleta mageuzi kiuchumi ifikapo 2050 ni sekta ya madini ambayo kwa kipindi cha miaka kumi (2014-2024) imekuwa ikikua kwa wastani wa 9% mpaka 10% ambapo jumla ya mchango wake katika pato la taifa kwa kipindi cha...
  2. F

    GE2025 Yeyote anayetaka CCM iendelee kubaki madarakani baada ya utawala kwa miaka zaidi ya 60 huyo sio mjinga tu ni limbukeni mkubwa

    Mtu yeyote anayetaka CCM iendelee kubaki madarakani hata baada ya utawala kwa miaka zaidi ya 60 huyo sio mjinga tu bali ni limbukeni mkubwa!
  3. E

    Wajuzi saidia hapa Increment inaongezwa kwa utaratibu upi siku hizi!?

    Asiyejua asichafue tfdhl,,Wajuzi tusaidie.
  4. M

    Akina dada kumpa Ex wako penzi siku moja kabla ya harusi huwa mnafikiria nini?

    Inashangaza sana mdada anakuwa na mtu wake kwa muda mrefu lakini hamuoi na wala hana mpango wa kumuoa. Lakini anakuja kupata mtu wa kumuoa cha ajabu kabla ya harusi anakwenda kumpa penzi na anagongwa kana kwamba sio mchumba wa mtu. Hii inashangaza sana.
  5. M

    Ilikuwaje Rostam Aziz akapewa nafasi kuwakilisha sekta Binafsi kwenye siku muhimu !?

    Rostam Aziz ni Mfanya biashara mkubwa .Pengine ndiye Mfanyabiashara mkubwa aliyewahi kuingia kwenye siasa kwa kiwango cha juu.Mohamed Dewj pia anaweza kuingia katika orodha hii.Tofauti yao ni kuwa Rostam amekuwa akiingia katika Sayansi ya Siasa kimkakati zaidi. Katika Hali hii ya ushiriki wake...
  6. A

    Hongera TCRA, Serikali kwa kuzuia uozo wa Polepole siku ya leo

    Nitoe pongezi za dhati kabisa kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini na serikali kwa kutoruhusu uchafu wa huyo mtu,nimeiangalia Tanzania ya Mwl Nyerere haikuwa na vijana wapumbavu kama hili jitu,Tanzania ina misingi yake ya uzalendo pamoja na kazi Lijitu limekosa nidhamu sijui liliokotwa wapi(Tuwe...
  7. U

    Balozi Polepole umeheshimu dira ya taifa ukaahirisha mkutano ila umekosa kuheshimu Ijumaa siku ya Ibada kwa Waislamu? Ungechagua siku nyingine

    Omba radhi Kiongozi kwani umekosea ulipaswa kuheshimu siku ya leo ya Ibada kwa Waislamu na ungelifanya press yako siku nyingine Umuhimu wa siku ya leo ni mkubwa sana kuliko dira ya aifa. "Bora ya siku uliyochomozewa na jua ni siku ya Ijumaa, ndani yake ameumbwa Adamu-Amani imshukie-na...
  8. Polepole akifanya press conference leo nipigwe ban ya siku mbili

    Za ndani ndani kabisa kutoka central huko kwenye mfumo Amri imetoka kutoka juu mpaka kwa wakuu wote wa ulinzi kuwa ni marufuku polepole kufanya conference na waandishi wa habari. Hata dada yake kuchukuliwa ni threat ili jamaa akaushe. Nimemaliza nazima data Hata
  9. GE2025 CHADEMA walisoma nyakati kuwa kuna siku watakosa wagombea ngazi za juu zote

    Kwakutumia akili nzuri kabisa isiyoambatana na mihemko na mahaba ya uchama. CHADEMA waliona mbali sana, ukweli ni kua CHADEMA walijua fika kua uchaguzi wa 2025 hawataweza kua na wagombea wenye mvuto na kukubali kwenye ngazi za juu CHADEMA mpaka leo kimekosa kutengeneza na kuandaa presidential...
  10. S

    TANROADS, hii imetokea India lakini kuna siku nimepita maeneo ya Ruaha barabara ya kwenda Iringa nikaona kitu kama hiki ni rahisi sana kutokea pale!

    TANROADS, ni vema mkalidhibiti hili eneo la Ruaha kabla maafa hayajatokea, hasa wakati wa mvua ambazo siku hizi zinzzidi kuwa kubwa kuliko vegezo vilivyotumika ku-design hii barabara. Imetokea India inaweza kutokea pale Ruaha. Msiache mambo kwa kuomba tu rehema za Mungu kwamba haitatokea...
  11. Marekani: Donald Trump aipa Urusi siku 50 kumaliza Vita nchini Ukraine

    Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye kwa mara nyingine ameonyesha kusikitishwa kwake kutokana na tabia ya mwenzake wa Urusi Vladimir Putin mnamo Jumatatu, Julai 14, ameipa Urusi siku 50 kumaliza vita la sivyo itakabiliwa na vikwazo vikali, na akatangaza kukaribia kusafirisha idadi kubwa ya...
  12. Ijumaa imekuwa siku muhimu sana kwa Waarabu kwa karne nyingi

    Historia inaonyesha Ijumaa kuadhimishwa kama siku muhimu kidini ni muendelezo wa karne nyingi sana wa utamaduni wa kiarabu ambapo siku hii hapo mwanzo ilikuwa ikitumika kama siku ya soko kubwa kwa makabila mbalimbali ya Waarabu waliokuwa wametawanyika mashariki ya kati. Siku hii ya Ijumaa...
  13. Siku mkeo akianza kulala na mwanaume mwingine jua kifo chako kimekaribia

    "Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume...
  14. X

    Kuna huu upuuzi wa kuvaa miwani meusi siku ya maziko au misibani. Hivi wenzetu mnaotinga sunglasses misibani mna shida gani?

    Hivi wenzetu tunaokutana misibani mkiwa mmevaa sunglasses siku za maziko mnaweza kutuambia sababu ya kuvaa ni nini? Wengi ukiwauliza hawana sababu yoyote yenye mashiko ni kuiga iga tu mna ushamba mwingi sana. Hata mkienda kugoogle bado sababu mtakazoleta hazina maana yoyote wapuuzi tu...
  15. C

    SIKU UTAKAYOPATA AKILI NDIO SIKU UTAKAYOCHUKIWA NA WATU WOTE WANAONUFAIKA NA UJINGA WAKO

    Habari wakuu kuna hii kauli nilikuwa nimepita sehemu nikaisikia Hii kauli ina ujumbe mzito sana na ni ya kipekee kwa watu waliowahi kupitia hali ya kutumiwa au kudharauliwa kutokana na kutokujitambua. Inaweza kutafsiriwa hivi: "Siku utakayopata akili" – yaani, siku utakapoamka, kujua thamani...
  16. Ni harufu ya kawaida au matatizo mengi siku hizi

    Wakuu nimejitahid sana kupiga mali hasa za chuo kutokana nipo kweny mradi kweny chuo kimoja dsm ila harufu nazokutana nazo ni hatari au ni kwamba ile K lazima iwe na harufu? Nipen experience yenu mlioa jmn yaan nikiichap harufu ni jau hadi nataman badilisha mashuka
  17. Kutegemewa kila siku siyo jambo zuri kwenye familia

    Wakati Wizkid alipoanza kupata pesa, aliwaita kaka na dada zake wote kwenye kikao. Akawauliza kila mmoja anataka kufanya nini. Kila mmoja alitoa mpango wa biashara, naye akawapa mtaji mara mbili ya waliyoomba, kisha akawatakia kila la heri. Wizkid alijua kwamba yeye ni mtu mwenye shughuli...
  18. U

    "Ukiwa na uwezo wa kumswalia mtume mara mia moja kwa siku hakuna siku utalala njaa mpaka unakwenda kaburini

    Nukuu ya Dr Sulle
  19. Mbona kama vile Waziri Mkuu Majaliwa ninayemuona Pichani leo akiwa Kikaoni AICC Arusha na TRA siyo yule niliyemzoea kila Siku?

    Body Language yake tu inaonyesha ni kama vile ana Mawazo, Anaogopa kitu halafu kuna Maamuzi anataka kuchukua.
  20. Kwa biti la Kagame wasithubutu tena kupeleka vikosi Goma

    Kama kawaida yake jana Kagame ametoa biti nzito sana kwa wanaoitishia Rwanda kupitia mgogoro wa Congo. Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa. Hakuwaacha hapo tu, kawaambia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…