siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Siku covax akiandika kupinga hichi kitu ndio nitamuona wa maana

    👇🏻👇🏻 Tofauti na hapo ataendelea kuwa🚮🚮 na itikadi yake uchwara
  2. Stability

    JamiiForums Tanzania Jana pameandikwa uzi kuwa wanaume wengi siku hizi hatupigi mswaki wala kuoga, je ni sahihi pia kusema wadada nao wamekuwa wachafu kwenye maungio yao?

    Msnipige ban kabla sijaoga jamani..
  3. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Gwajima tunakuomba Using'ate maneno ile siku ni Leo hebu sema lile neno pole pole ameanza wewe Maliza!!

    Sisi tunazidi kuchochea kuni.. Tunataka waendelee kukaza fuvu zao hivi hivi ili Mapigo yawashukie kama kipindi cha agano la kale! Mwenzako H.P kakataa wahuni na Kamwaga unga na mboga vyote.. Haya ni zamu yako sasa.. Sisi tumeandaa bando na VPN tayari.. Nireteeeni Gwajmaaaa
  4. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Siku kumi zimepita, Yuko wapi Gwajima jasusi la mbinguni?

    Katika mkutano wake wa mwisho , Askofu Gwajima jasusi la mbinguni aliahidi kutamka neno zito sana ndani ya Siku 10 ambazo zimefikia tamati Leo.Hii ni ikiwa makanisa ya ufufuo na uzima hayatofunguliwa.jambo amabalo bado halijatekelezwa. Lakini mpaka sasa bado Jasusi Yuko kimya na hajulikani...
  5. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Watanzania mnaoishi ughaibuni msitukane mamba kabla hamjavuka mto, Kuna siku mtatimuliwa huko ughaibuni

    Nyie Watanzania wenzangu mnaopotosha umma mkiwa ughaibuni jueni kuwa sera za kimataifa kila siku huwa zinabadilika ipo siku mtarudishwa nchini kwa lazima, Amani yetu ni mhimu sana, tumeikuta amani tumezaliwa kwenye amani ndo maana tupo hai mpaka Leo, wewe kwenda kanada au Marekan usiwe ndo...
  6. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Kimeumana CCM wangua vilio wakimtaka kembaki polisi watia timu katibu CCM afunguka ( Constructive Manslaughter)

    Ukiwasikiliza hawa wananchi wa Tarime, wana hasira sana, wasije tu wakampelekea mapanga Ester Matiko aliyeteuliwa na CCM... Wasikilizeni wananchi, wana jambo lao hapa : https://youtu.be/SpHCTAw5xJw?si=U1wDtgJVAng4qDJR
  7. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kama unataka amani ya moyo usifanye miamala siku ya jumapili kupitia CRDB

    Muamala unafanyiwa kazi masaa, customer service hawapokei, huko mitandaoni hawajibu. This bank is 🚮🚮
  8. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Siku messi akifanya hivi mniamshe usingizini. Kwaherini!

    Magoli mia katika ligi nne tofauti na timu ya taifa. GOAT ni mmoja tu! Wala ahahitaji xavi au iniesta wa kumpenyezea, jamaa ni mashine ya magoli. Ndugu yenu psg imemshinda, marekani napo pamemshinda ila mwamba ronny hadi jangwani ameyapata magoli and oooh he is 40😦
  9. Setfree

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Maombi ya kujionesha, hata kama ni ya siku tisa (Novena), Mungu hayasikii

    Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya...
  10. Magical power

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya dini vinaeleza kuwa Mungu aliumba jua siku ya nne, ivi waliesabuje siku bila jua?? 🧠🔥

    Vitabu vya dini vinaeleza kuwa Mungu aliumba jua siku ya nne, ivi waliesabuje siku bila jua?? 🧠🔥
  11. musicarlito

    JamiiForums Tanzania UVCCM na Vijana machawa mnajua kama kuna siku historia itawakumbuka?

    Kati ya Machifu wapo wanaokumbukwa kwa mema na mabaya... Wapo waliowauza wenzetu kwa vipande vya nguo na zawadi ndogo ndogo Lakini wapi mashujaa kama kina Mkwawa walipambana kwa ajili ya jamii zao Ninyi vijana mliopaswa kutumia akili zenu kuleta changamoto mpya na ubunifu leo mmeamua...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Watawala wabovu na maditekta utengenza vikundi vyao vya kujilinda mwisho wa siku wakiondolewa upingana na serikali na kuwa nchi isiyoweza kutulia.

    Siku hizi hapa JF sio sehemu ya kutoa elimu sana kujaza maneno mwisho wa siku uzi wako wakaufuta au kuweka Hidden watu wasiweze kupata taarifa maana unawagusa watawala ambao tukiwashtua watatumia mbinu kukwepa. Tuwe na DMZ sasa. Mfano wa nchi ambazo kama tutajifunza kwao ni Kipindi cha Uganda...
  13. Hharyson

    JamiiForums Tanzania TWENDE ZETU SITE ,WEKEND SIKU YA KWENDA SITE CALL US FOR DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES ,TUNAPATIKANA SINZA +255624004650

  14. Desierto

    JamiiForums Tanzania Wale mnaooga kila siku, hivi mnawezaje?

    Mm kwa wiki ni maramoja ikizidi basi mara 2 tu Pia naomba kujua faida na hasara za kuoga kila mara na kutokuoga kila mara.
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania BADO SIKU 3: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii

    BADO SIKU 3: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili Afya ya akili huanza na kujipenda. Jitunze 📅 25 - 30 Agosti, 2025 📍 Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam Kwa mawasiliano; Simu +255754471958 BaruaPepe...
  16. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania Kuna siku nimeenda NIDA nilishangaa kuona hawa jamaa wapo na mabadiliko makubwa ya kihuduma .

    Hivi karibu nilihitaji huduma ya kuweka majina ya mdogo wangu vizuri. Mtiririko uliopo ni very advanced Sana mpaka nikasema Kongole.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Siku.

  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

    Wanabodi, Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake! Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。 Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya ku file Value Added Tax

    Leo ni tarehe 20 August ni siku ya ku file Value Added Tax (VAT) Value Added Tax hutakiwa kua filled kila tarehe 20 ya mwezi kwa Kampuni au biashara ambazo zipo eligible kulipa VAT. This is your sign to call your accountant.
Back
Top Bottom