siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanajeshi Mali wauawa siku chache baada ya Ufaransa kutangaza kuondoa vikosi vyake

    Jeshi nchini Mali limesema wanajeshi wake wanane wameuawa na watano hawajulikani walipo baada ya kushambuliwa na waasi katika eneo la Kaskazini-Mashariki la Archam. Mapigano hayo yanakuja siku chache baada ya Ufaransa na washirika wake kusema kuwa wanaondoa vikosi vyao kutoka Mali. Taarifa ya...
  2. JamiiForums Tanzania Dunia hii chagua upande, aidha Urusi au Amerika, kamwe usiwe katikati, utalipa gharama kubwa siku moja !

    Kama Kiongozi kamwe usiwe katikati, chagua upande ambao utaona unakufaa na uende mazima siyo nusu nusu, nusu nusu itakufaa tu kama kila kitu kiko sawa, lkn kikinuka hauna msaada wowote na wanakushukia kama mwewe. Mfano Erdogan wa Uturuki mwaka 2016 kama asingekuwa rafiki wa kweli wa Putin...
  3. JamiiForums Tanzania Ukimuota ndugu yako mwenye sifa hizi amekufa usithubutu kukemea hiyo ndoto hata siku Moja. Ukikemea utakufa wewe

    Elewa mada vizuri nimesema NDUGU YAKO. Sijasema Mtoto wako Wala baba ako Wala mama ako, nimesema NDUGU YAKO. Haijalishi ni ndugu yako mmechangia baba au mama au mmezaliwa Kwa baba na mama mmoja Kwa mimba Moja ( mapacha) au mimba mbalimbali. Sifa zake 1. Awe Ni ndugu ambae mmeshare baba au...
  4. JamiiForums Tanzania Mke ashirikiana na michepuko 4 ya mumewe kumuandalia "surprise" mume, adondoka na kuzimia siku ya Valentine

    Mwanaume mmoja huko Nairobi Kenya alifanyiwa surprise ya mwaka na mkewe akishirikiana na wanawake 4 anaotembea nao mumewe. Ilikuwa siku ya Valentine mke akapanga mipango na wake wenzake ili waandae party ya valentine kwa ajili ya mume wao! Inaelekea walitaka kukomesha kwa kuwachanganya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Jaji kufanya uchambuzi wa kurasa 1,500 ukaweza kutoa hukumu kwa siku mbili ni jambo lisilowezekana

    Mhe. Jaji amesema tarehe 18/02/2022 atatoa maamuzi kama watuhumiwa wana Kesi ya kujibu au la. Wakati huohuo ameeleza Kwamba karani wake ameshaandika page 1400+ na Kwamba anatakiwa kiutaratibu Jaji anapaswa kusoma nakutoa maamuzi ni facts zipi zinahitajika kuprove kama Kuna kesi ya kujibu au la...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatuna uzalendo wa kiwango hiki, bali naamini watu wana masilahi binafsi huko Ngorongoro na ipo siku ukweli utajulikana

    Uzoefu unaonyesha ukiona watanzania, hasa wanasiasa, wanaungana na wanahabari juu ya jambo fulani huku nguvu kubwa ikitumika kufanikisha jambo hilo , basi ujue teyari kuna watu wana masilahi binafsi na jambo husika, na teyari kuna bahasha zinatembea na wala si uzalendo wa wahusika unaowasukuma...
  7. JamiiForums Tanzania Ukiwasaidi hawa watu, ipo siku matunda utayaona

    Chochote unachokifanya huwa kina matokeo; matokeo yanaweza kuwa mazuri au mabaya. Itategemea na namna ulivyokipangilia. Pia kuna kitu nimejifunza, ukiwatendea watu wema ipo siku ule wema wako ulioutenda utakulipa. Hasa, ukiwasaidia hawa watu:- Watoto wasiokuwa na wazazi na wakapoteza tumaini...
  8. JamiiForums Tanzania Siku ya wapendanao valentine's day itanitoa roho..😬

    Tarehe 14 February almaarufu siku ya wapendanao. Nataka kujua siku hii inalenga wapenzi tu wa jinsia moja au ni mapenzi kwa jamii yote ?mana dada zetu wanataka kuitumia kujinufaisha. Katika mwezi unao nipa changamoto ni mwezi wenye hii sikuku huwa mpka mahusiano yangu yanaingia dosari kubwa...
  9. JamiiForums Tanzania Hotel kutoa zawadi ya mil 1 kwa couple itakayovunja kitanda siku ya Valentine

    Dunia haikosi vituko, Hotel Moja jijini Mwanza imesema itatoa zawadi ya sh milioni 1 na kugharamia gharama zote kwa siku tatu kwa couple yoyote itakayovunja kitanda cha hotel hiyo siku ya valentine. Wazee wa show za kibabe hii fursa imekaaje?
  10. JamiiForums Tanzania Urusi yaanza mazoezi ya kijeshi ya siku kumi na Belarus

    Urusi na Belarus zinaanza siku 10 za mazoezi ya pamoja ya kijeshi huku kukiwa na hofu inayoendelea ya uvamizi wa Urusi nchini Ukraine. Belarus ni mshirika wa karibu wa Urusi na ina mpaka mrefu wa kusini na Ukraine. Marekani imetaja mazoezi hayo - ambayo yanaaminika kuwa ndiyo makubwa zaidi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Siku ya Maalim Seif, nyongeza yangu kwa Mohamed Ghassani

    Somo yangu Mohammed Ghassani kaandika anasema, ''Japokuwa aliondoka duniani akiwa hajawahi kuwa rais wa serikali, hilo halikumnyima nafasi yake ya kuwa baba wa utaifa wa Zanzibar - alama kamili ya Uzanzibari na shujaa wa Wazanzibari.'' Ningependa nami niongeze kitu kidogo katika hayo maneno...
  12. JamiiForums Tanzania Siku yangu ya kwanza katika kujifunza kutengeneza Ui/Ux kwa Adobe XD

    Mimi ni mtu ambaye uwa nikiwa na muda napenda kujifunza vitu vipya. Vingine uwa najifunza just for fun na vingine uwa vinakuja nilipa na vingine vinanisaidia tu mwenyewe kwenye mambo yangu hasa kama namwelekeza mtu anitengenezee kitu. Jana nimeamuza kuwa ntaaza jifunza kudesign prototypes za...
  13. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wanawake siku hizi wana hips na wowowo za kutisha, inasababishwa na nini?

    Kwa utafiti tu kutazama ktk pirika pirika na mihangaiko ya hapa na pale hapa jijini Dar es Salaam. Katika maeneo tofauti tofauti kwenye mkusanyiko mfano katika vituo vya mwendokasi, ferry Kigamboni, nimegundua wanawake wa siku hizi wengi sanaaa wana hips za kuvutia, rangi za ngozi wengi ni...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Zitto amezidi kuwachefua Watanzania

    Nakumbuka kabisa alifanya usaliti mkubwa sana kukivuruga CHADEMA kikiwa na nguvu kubwa kiasi Cha kutaka kukamata dola. Akawa anakula rushwa na kuvuruga chama Kwa kufanya uzandiki. Leo hii anatumika kuhujumu Watanzania wasipate katiba mpya kisa tu ACT Wazalendo ni vibaraka wa CCM na yeye...
  15. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kutoa hela za matumizi kwa familia zetu kila siku, unafilisi

    Hasa sisi tunaoishi mijini, kumekuwa na changamoto katika utunzaji wa familia zetu. Kwa walio wengi, hupenda kila siku kuacha hela za matumizi kwa familia zao; wapo wanaoacha elfu kumi kwa siku, ishirini, laki n.k Na waachapo hiyo fedha, ndio inayofanya manunuzi ya chakula kwa siku husika...
  16. JamiiForums Tanzania Hizi ni siku za mwisho mwisho za IGP Sirro kuendelea kushika wadhifa wake?

    Huna sababu ya kuwa mtabiri au kwa jina lingine anaitwa mnajimu, kujua hatma ya yatakayomkuta IGP Sirro Katika siku za karibuni. Hilo jambo ni dhahiri, aidha atajiuzulu kwa aibu au atafutwa Kazi na mteule wake! Hatua ya Mheshimiwa Rais kuunda Tume yake huru kwa ajili ya kuchunguza Mauaji ya...
  17. JamiiForums Tanzania Zoezi la kumuokoa mtoto Rayan wa Morocco aliyezama ndani ya kisima cha mita 30 limeingia siku ya 3, tumaini bado

    Ni mtoto wa miaka mitano (5); baada ya baba yake kumtafuta kwa masaa kadhaa ndio akagundua kwamba kadumbukia kwenye kisima kilichokuwa kinafanyiwa matengenezo. Video zina maelezo “Do this, send a soft bracelete attached to a rope along with a speaker, let his dad explain to him how wear it...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ili kuyaona makali ya Simba inabidi iwe inacheza na Dar City kila siku

    Nachelea kusema hii ndo timu inayokwenda kushiriki michuano ya kimataifa na trh 13 inavaana na Asec mimosas, kwa namna Simba inavyocheza kwa sasa inatia huruma kwakweli, aieleweki wanacheza mfumo gani. Leo wanachezesha kikosi hiki kesho wanachezesha kikosi kingine kwa mfumo huo utapataje first...
  19. JamiiForums Tanzania Siri niliyoipata katika kufunga siku 21 kila mwanzo wa mwaka

    Nawasalimia wana JF wote. Katika mwendelezo wangu wa kuwafundisha na kuwafungua macho watu, leo nimeonelea nilete siri iliyomo katika kufunga. Kwanza kabisa nawaomba muelewe kwamba, kuna namna nyingi sana ya kufunga lakini nitaongelea namna tatu:- 1. Kufunga kwa malengo 2. Kufunga kwa mujibu...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi Afrika siku hizi wanafurahia mapinduzi ya kijeshi?

    Kule Sudan, Burkina Faso, na kwingineko inaonekana wananchi wakifurahia mapinduzi haramu yanayofanywa na wanajeshi wanaoziondoa serikali za kidemokrasia badala ya kuchukia mapinduzi, hii ni tofauti sana na enzi za akina Nkrumah, Lumumba, na wengine wa aina Yao. Kumetokea nini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…