siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Siku hizi sina hamu ya kutongoza wanawake kabisa, kuna wanaume humu ambao washapitia hii stage?

    Mimi ni kijana in my 20's miaka michache iliopita nilikuwa tongoza tongoza na nilikuwa nabadilisha sketi, nkaacha, badae nikawa na tabia ya kununua makahaba wanaojiuza barabarani, baada ya muda nilipima hivi Mara mbili, nikajikuta niko salama, Nilijitafakari na sikuona faida wala tuzo ya hayo...
  2. JamiiForums Tanzania Tunatoa mafunzo ya uchapaji wa tshirts

    Tafadhari rejea kichwa hapo juu, kama ambavyo tumekuwa na sessions kadhaa za ujifunzaji wa namna ya uandaaji na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali kama:- 1) sabuni ya mchele na ya maji kwa ujumla wake 2)lotion na mafuta ya mgando 3) trick za uandaaji wa dawa ya viatu pamoja na dawa ya meno na...
  3. JamiiForums Tanzania Nakumbuka ile siku askari wa JWTZ alipokula kichapo cha fedheha kutoka kwa aAkari wa Magereza

    Hello! Ilikuwa miaka ya 1997-1999, kumbukumbu zangu zinaniambia hivyo. Kulikuwa na gulio la mazao (korosho) katika viwanja vya magereza Liwale-Lindi. Sasa huyo jamaa wa JWTZ alikuja likizo kuwasalimia wazazi na ndugu. Naye akaenda gulioni kusaidia wazazi kupima korosho. Yule mjeda alitumia...
  4. JamiiForums Tanzania Na siku Kocha Pitso Mosimane "akikwiti' kuwa hamna Akili na hamjui Kucheza Kimataifa pia mje Mshangilie na Kupongezena

    Kuna Timu moja ya Wasomi na Wastaarbu Tanzania nzima ilipongezwa na Rais wa FIFA Giani Infantino kwa Kuchukua Kwake Ubingwa mwaka jana na hata kufikia Robo Fainali ya CAFCL lakini wala Mashabiki, Wanachama na Wapenzi wake 'hawakujimwambafai' nayo kwani waliona ni Kitendo cha Kawaida sana tu...
  5. JamiiForums Tanzania Leo Juni 26 Ni Siku ya Kupinga Matumizi ya Madawa ya Kulevya Duniani

    Juni 26 ni siku ya Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi Mabaya ya Madawa ya Kulevya na Usafirishaji Haramu, inaadhimishwa kila mwaka kwa lengo la kuifanya Dunia kuwa huru kwenye matumizi ya Madawa ya Kulevya. Imekuwa ikiadhimishwa tangu kupitishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Desemba...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Siku mkifanya mabadiliko ya ya kweli na Chadema ikarudi mikononi kwa wanancho ndio mtapevuka kisiasa na kuwa na waelewa.

    Mnaburuzwa hovyo. Mnapelekwa hovyo. Mnapayuka hovyo. Mbona mnashindwa kutambua kuwa hiki chama ni mali ya mtu binafsi. Ninyi ni kama wasindikizaji tu na hamna lolote. Family business at hand. Ndio maana mnachezewa akili kama watoto.
  7. JamiiForums Tanzania Siku 365 za Katibu Mkuu UVCCM, Kenani Kihongosi

    SIKU 365 ZA KATIBU MKUU UVCCM NDUGU KENANI KIHONGOSI SIKU 365 ZA UVCCM MIKONONI MWA KENANI KIHONGOSI. Hongera kwa kufikia mwaka mmoja wa huduma na utumishi wako kama Katibu Mkuu wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM). Hakuna wakati mzuri kuliko leo wa kukutathamini,kukupima na Kukutakia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Heri ya Lyatonga Mrema ana uzalendo kuliko Mbowe na Zitto

    Wana njaa sana na wao pesa mbele. Wapo tayari kuuza watu kisa pesa tu. Ni mamluki wa CCM ambao hawana uchungu na taifa lao. Wapo kwa ajili ya matumbo yao. Bora Mrema anapinga ufisadi kwa dhati
  9. P

    JamiiForums Tanzania Iko siku nchi nzima itakuwa giza kwa sababu ya kukumbatia walamba asali kina January Makamba

    Nasema hivi! Haiwezekani kuwa matatizo ya Tanesco yalikuwa sugu kiasi hiki Ni mwaka sasa na miezi tangu tuambiwe Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) linaundwa upya na mitambo yake kufanyiwa ukarabati muda wa miezi miwili kwamba hatutaona tena kukatika kwa Umeme wala mtandao wa manunuzi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Wale mnaokurupuka kuja kutoa Kwetu taarifa za Mgonjwa Mahututi au Kifo muwe makini kwani kuna Siku tutawasindikizeni na Vipigo tu

    Kuna Mtu Kanikera mno leo asubuhi kaja haraka haraka kunipa Taarifa ya Mtu aliye Mgonjwa Mahututi huku akiniharakisha Kuvaa ili twende Zahanati ya Awali ili Kumuona na tutoe Msaada Kwake cha Kushangaza kufika pale nikakuta Maelezo yake na nilichokikuta kwa Mgonjwa Mahututi husika ni Vitu viwili...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania Yatangaza Operesheni Maalum kuondoa Wahamiaji haramu eneo la Ngorongoro na Loliondo

    Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan Huu ndo mwendo wa kwenda nao hawa wapuuzi wote wa Kenya. Lazima sasa wajue waliokuwa wanamuona kama The Sleeping Giant, ameamka rasmi Sasa tunawaonyesha kwa jinsi gani tunalinda maslahi mapana ya Tanzania --- Kamishna Jenerali wa Jeshi la...
  12. JamiiForums Tanzania Siku hizi Wadada wanaenda kupiga picha na mabegi Airport

    Yaani ukipita huko Instagram ndio utajua matatizo ya ajira pamoja na afya ya akili ni makubwa sana. Wadada wa mjini a.k.a Maslay Queen wameibuka na kamtindo ka kwenda airport na mabegi makubwa kupiga picha na kupost Instagram ili kutafuta attention na aonekane yeye ni wa hadhi ya juu ili...
  13. JamiiForums Tanzania Nataka kumiliki kiwanja ila kipato changu ni cha kwa siku...

    Khabari zenu ndugu zangu. Naomba mnipe mawazo katika Hili. Mimi ni kijana miaka 28 hivi, kipato changu sh 30k kwa siku but nikifanya matumizi yangu katika familia Yaweza baki 10 au 15 inategemea na siku. Nataka kununua kiwanja nina mawazo na kiwanja huu ni mwaka sasa kinanitia mawazo. Nawaza...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya Twiga duniani

    Tarehe 21 Juni ni Siku ya Twiga Duniani. Twiga ni mmoja wa wanyama wanaopendwa zaidi na watu barani Afrika. Lakini katika miaka ya hivi karibuni, kupungua kwa wanyama hao kumesababisha wasiwasi. === Happy World Giraffe Day! Did you know about the five different species of giraffes present on...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Dunia ikiwa inaadhimisha Siku ya Wakimbizi, ni kweli maisha ya wakimbizi yameboreshwa?

    Pili Mwinyi Kila ifikapo Juni 20, dunia inaungana kuadhimisha Siku ya Wakimbizi Duniani. Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilizindua rasmi siku hii mwaka 2000, na tangu wakati huo, jamii ya kimataifa inatumia siku hii kuangalia njia za kuboresha maisha ya wakimbizi. Wengi wetu tunajua kwamba...
  16. JamiiForums Tanzania Siku nikifa

    Siku nikifa maisha mapya yataanza, nuru ya macho yangu itapotea taratibu, tazama watu wanaonizunguka watalia na kuomboleza lakini haitasaidia nimelala siwezi kuamka tena. Wataandaa kaburi langu, watalichimba kwa futi kadhaa waufukie mwili wangu, huzuni imetanda kwenye nyuso zao, mwili wangu...
  17. JamiiForums Tanzania Siku ya Seli Mundu Duniani

    Juni 19 kila mwaka watu wote duniani huadhimisha siku ya ugonjwa wa Sickle Cell, unaosababishwa na mabadiliko ya chembe nyekundu za damu Kauli mbiu ya mwaka huu ni Shine The Light On Sickle Cell, ikikusudia kujengea watu uelewa na ufahamu juu ya ugonjwa huu, ikiwemo kusahihisha fikra potofu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa Act wazalendo wana nia thabiti ya kuimarisha upinzani? Au ndio wanatumika kudidimiza ? Kila siku purukushani zisizoeleweka.

    Mara hawagati kwanza katiba mpya. Mara wanataka tume kwanza mara wanataka vyote
  19. JamiiForums Tanzania Ofisi ya Makamu wa Rais tafadhali tumeshachoka na Picha za Kila Siku za Makamu wa Rais akiwa anasalimia Abiria ndani ya ATCL

    Hebu jitahidini basi kuanzia sasa muwe mnatuwekea Picha zake akiwa anakagua Mashamba ya Wakulima, anahutunia Maakongamano ya Watu wenye Akili duniani na anatattua Matatizo muhimu na ya Kimsingi ya Watanzania na siyo kila mara tu mnatuonyesha jinsi anavyoongea na Abiria ndani ya Bombardiers na...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali: Watumiaji wa Daraja la Tanzanite, Barabara ya haraka Kibaha - Morogoro, Igawa - Songwe -Tunduma kuanza kulipia ushuru

    SERIKALI imesema magari yataanza kulipia fedha yanapopita kwenye Daraja la Tanzanite na katika barabara nyingine mbili za haraka ya Kibaha - Mlandizi - Chalinze - Morogoro (Expressway) na ile ya Igawa - Songwe -Tunduma (Expressway) kwa kuwa zote zina sifa za kutozwa fedha. Kwa jinsi Pesa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…