Na Rais Samia Suluhu Hassan
Mwaka 2007, Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa ulifanya uamuzi wa kuzitaka nchi duniani kuadhimisha siku ya Demokrasia kila ifikapo tarehe 15 Septemba, ya kila mwaka.
Siku hii inaadhimishwa kwa madhumuni ya kukuza na kuendeleza demokrasia katika kila nchi kwa...