siku ya wanawake duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Happy Women's Day: Una ujumbe gani kwa wanawake leo Siku ya Wanawake Duniani?

    Wakuu mpo salama? Siku ya Kimataifa ya Wanawake tarehe 8 Machi, ni muhimu katika kutambua jitihada, harakati na mchango wa Wanawake Duniani kote Tunasherekea mafanikio ya Wanawake katika nyanja mbalimbali za Maisha kama vile mafanikio binafsi, kihistoria, kiuchumi, kisayansi, kisiasa na...
  2. Blasio Kachuchu

    Barrick yaadhimisha siku ya wanawake duniani kwa kutoa msaada wa mashine ya patient monitor Hospitali ya Rufaa Mwananyamala

    Afisa Mawasiliano wa Barrick, Neema Ndossi (kulia) akikabidhi msaada wa mashine ya Patient Monitor, kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala,Dkt. Zavery Benella.Wengine pichani ni Wafanyakazi wa Barrick alioongozana nao. --- Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku...
  3. Roving Journalist

    Wanawake kuongoza Treni ya kwenda Hifadhi ya Nyerere kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani (Machi 2)

    Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) wameandaa safari ya kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Nyerere mnamo Machi 2, 2024 katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Februari 19, 2024...
  4. J

    Ukerewe, kilele cha siku ya wanawake duniani

    KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 8/3/2023 NANSIO - UKEREWE MH Hassani Bomboko Mkuu wa wilaya ya Ukerewe ameshiriki Kongamano la Siku ya Wanawake Duniani katika Kuhitimisha Wiki ya Mwanamke Wilayani Ukerewe Akizungumza na wanawake wa wilaya ya Ukerewe Mh Bomboko amewataka Wananchi...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mary Masanja Alivyoshiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani

    NW UTALII MHE. MARY MASANJA ALIVYOSHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mary Masanja ameshiriki katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Wilayani Kwimba Mkoani Mwanza Machi 8, 2023. Akizungumza katika Maadhimisho...
  6. Z

    Asante Rais Samia kwa hotuba nzuri Siku ya Wanawake Duniani

    Mimi binafsi namshukuru sana Mheshimiwa Dk. Samia Suluhu Hassan Rais wa Tanzania kutokana na yale yaliyojiri jana tarehe 8.3.2023 alipokuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa kina mama wa Chadema (BAWACHA). 1. Kwanza kabisa namshukuru sana kwa kusema HATA YEYE anasoma Jamii Forums. Hii ni tofauti...
  7. ChatGPT

    Dedication ya Siku ya Wanawake Duniani

    Dear boys dear... men Ni sisi wasichana kina dada, mabinti na mama zenu Tunaongea kutoka upande wa chini, upande mbali upande kutoka usawa wenu Upande nilipo msichana kuna hitilafu 'So' sikio lako thabiti ni ushindi kwangu Ninayotaka kusema hapa sio siri katu Ili ujue nina vingi vya ku-offer...
  8. matunduizi

    Jinsi Siku ya Wanawake Duniani inavyopotosha wanawake

    Vuguvugu hili linaloonekana linania njema lakini kinyumenyume linatengeneza tatizo kubwa kwa wanawake na familia. Linamfanya kila mwanamke ajione kama anaonewa na kunyimwa haki za msingi hata kama anazo. Matokeo ya mafanikio ya vuguvugu hili ni pamoja na: 1. Kuzalishwa kwa kundi kubwa la...
  9. Unique Flower

    Siku ya wanawake duniani

    Jamani wanawake wa humu heri ya siku kwenu wengi mpo vibaruani mkitafuta riziki ya watoto wenu . Good day Kwa wote wanajamiiforums To yeye Lovelovie Kalpana Antonnia Lenie Depal na Nakadori mpenzi upo wapi?? Ukiwa online nitext sikuwepo kabisa hiyo siku jf naongea na wewe Nakadori . Good day...
  10. M

    Moshi: Yanayojiri katika Kongamano la BAWACHA Siku ya Wanawake Duniani Machi 3, 2023; Rais Samia mgeni rasmi

    Ni Asubuhi tulivu siku ya Jumatano tarehe 8 March ikiwa ni kilele Cha Siku ya Wanawake Duniani. Macho na masikio ya Watanzania leo yanaelekezwa katika mji maarufu wa Moshi mkoani Kilimanjaro. Chama kikuu Cha Chadema chenye wafuasi takribani Milioni 10 nchini kupitia Baraza lake la Wanawake...
Back
Top Bottom