Nachoka sana, wanawake ni pretenders wazuri sana,
Hype lote la jana kujiita malkia wa nguvu na kuhudhuria kikao cha super woman pamoja na kutoa speech, bado aniombe hela ya mboga ?
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeungana na Wanawake Dunian kote katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Kata ya Mburahati, Wilaya ya Ubungo, Mkoa wa Dar es salaam huku ikisisitiza ujumbe wa jamii kudhibiti upotevu wa maji.
Maadhimisho haya...
Leo dunia inaadhimisha nguvu, busara na mchango mkubwa wa mwanamke katika kujenga jamii na mataifa. Mwanamke si tu mzazi wa kizazi, bali pia ni nguzo ya maadili, dira ya jamii na tumaini la taifa.
Mwanamke anapokuwa imara katika maamuzi yake na kusimamia haki kwa ujasiri, jamii hupata utulivu...
MHE.GHATI CHOMETE (MB) ATUMA UJUMBE MKOANI MARA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Wanawake na wananchi wa Mkoa wa Mara, Mimi Mwakilishi wenu ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ninaungana na Viongozi, Asasi, Taasisi, Mashirika, Makampuni na Makundi yote Nchini Tanzania tukiongozwa na Mhe...
Aisee leo mburahati hakukaliki magari ni mengi mno kuanzia viwanja vya shule ya msingi mburahati hadi kituo cha polisi hapa baadhii ya magari yaliyoleta watu yamerudi yalipotoka haya yaliyopo hapa yamelundikana hatari ila wenye migahawa wanapiga hela kudadeki 😅!
Wakuu,
Leo siku ya wanawake Duniani, taja wanawake unaowakubali sana jukwaani, mimi wangu ni
1. Cute Wife - sasa ntgajiachaje 😎😎
2. Doctor Mama Amon - si ndo nimesahau ID yako inavyoandikwa, ila nyuzi zako inaonyesha uko smart sanaaaaa. Nakupenda😍 (Edited, nimelikumbuka😌)
3. Na wanawake...
Na Ruth Kyelula, Manyara
Mkoa wa Manyara unatarajia kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani kimkoa tarehe 8 Machi 2026 katika Wilaya ya Simanjiro, huku Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Queen Sendiga, akitoa wito kwa jamii kuhakikisha haki za wanawake na wasichana zinalindwa na kuheshimiwa.
Akizungumza na...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imefungua dawati la huduma kwa wateja katika mtaa wa Bwawani, Stand ya Makumbusho kwa lengo la kuwafikia wananchi kutatua changamoto na kupokea maoni juu ya uboreshaji huduma ya maji.
Akizungumzia katika Dawati hilo Afisa Huduma...
Katika kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imezidi kusogeza huduma karibu na wananchi kwa kufungua dawati maalum la huduma kwa wateja katika mtaa wa Bwawani, Stand ya Makumbusho. Hatua hii inalenga kusikiliza na kutatua changamoto...
Taarifa zaidi zinaeleza kwamba siku ya wanawake ya Dunia siyo shughuli ya Kisiasa Wala si sherehe ya COM ama si mali ya TANZANIA ama viongozi wake
Hii ni siku ya Dunia isiyochangamana na masuala ya itikadi za vyama.
Kwahiyo Katazo la Polisi wa com limedhibitiwa n.a. kupuuzwa, Chadema...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara limewataka viongozi wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) kusitisha mpango wao wa kufanya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2026 mjini Musoma.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Machi 1, Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
Wakuu
Nimeona kwamba ACT itaahirisha sherehe za wanawake mwaka huu ili kukumbuka vifo vya waliouwawa Oktoba 29
Sasa nauliza kwamba huu ni uamuzi sahihi kwa wanawake?
Kwanini wasingeendelea tu na sherehe za zao then wakatumia hizo sherehe kupitisha ujumbe wao?
Katika kusherehekea Siku ya wanawake Duniani huko Mkoani Tabora wilayani Kaliua wanawake wilayani humo wamepata tumaini la kupata majengo mapya kwa ajili ya kujifungulia
Hii siku kuu ya wanawake hua ina mbwembwe nyingi hadi kuwafanya kama miungu flani hali ya kua mioyoni mwao wanajua ushetani waliouficha.
Mungu tukubalie saumu zetu 🤲🏼 .
Habari za muda huu ndugu wanajukwaa
Nimefuatilia kwa shamrashamra za siku ya wanawake duniani ambayo kitaifa imefanyika mkoani Arusha na mgeni rasmi alikua mh. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Wanawake wamejisifia sana,wanasema wameweza mambo mengi mpaka kuendesha mitambo mikubwa(...
Wasalaam
Sifa nyingi kapewa mhe.
Kahaidiwa na kupata kura nyingi
Shughuli hii ilikuwa ya kumpa 'mama' maua yake katika mlengo wa kisiasa hasa kupitia chama chake cha mapinduzi?(sina shida na hilo)
Au alialikwa kama mgeni rasmi kwenye sikukuu ya wanawake?
Kama jibu ni la kwanza heko shughuli...
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesisitiza kuwa mwaka 2025 ni mwaka wa mageuzi na wanawake hawatarudi nyuma katika mapambano ya kudai haki zao. Akizungumza katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani jijini Dar es Salaam, Semu ameeleza kuwa hali ya kisiasa nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.