sijawahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Ni ugwadu tu lakini ukweli ni kwamba sijawahi enjoy kulala na malaya

    Just imagine yeye amevaa kondom na wewe umevaa kondom, yaani ukiwa unaingiza hauhisi mtelezo wowote zaidi ya kuhangaika tu mpka majasho wazungu hawana hata dalili ya kuja. Plus staili ni moja tu kifo cha mende yaani shida tupu. Nimeamua rasmi sitohangaika tena na malaya. Ni upotevu wa hela tu...
  2. JamiiForums Sijawahi kushinda mechi kwa mngoni, mmakonde na mhaya. Mara zote naambulia droo...

    Hello mambo aje? Ukweli usemwe mara zote nikiwa na shoo na hao magwiji wa kike kutoka haya makabila mhaya, mngoni na mmakonde, mara zote kwenye game nafanywa mimi badala ya mimi kufanya, wana mashambulizi makali kama ya watani zangu Yanga SC dhidi ya TP Mazembe. Sio style moja yaani style...
  3. JamiiForums Sijawahi na sitawahi kumpenda mwanamke awaye yeyote daima

    Natumai mwabuheri wa afya tele na mko vema na huu mwaka mupya. Leo nikiwa ndani ya shoo shoo na pisi mpakato yangu nimeulizwa mbona hujanitafuta ni wiki mbili toka tufamiane ulikuwa unasubiria mwaka mupya ufike ndio uniite? Hapo ni baada ya kula shoo kama awamu mbili na vibez kama zote, mvuvi...
  4. JamiiForums Sijawahi kukutana na mke wa mtu mpumbavi kama huyu

    Kitendo cha kunipiga stori za madhaifu wa mumewe aliye na watoto naye tena wa kutosha walieishi naye miaka mingi. Alinisononesha kabisa . Na nilimuambie aamuombe radhi jamaa na atulie. Kibaya zaid alimsomesha yeye na kupata kazi aliyonayo. Wanawake waoneni hivi tu sio watu. Je mnadhani...
  5. R

    JamiiForums Sijawahi kuona Mkutano Mkuu CCM( NEC) uliofeli kama huu

    Hakuna haja ya kuongea sana. Ktk historia ya siasa za CCM kuna jambo limezuka na jambo hilo sio la kawaida. Ccm imebaki inaendesha mikutano ya ndani yenye vitisho vikali mno. Cha ajabu zaidi ni pale wanapotishana wao kwao na kutukanana wazi wazi. Mkutano ulijaa matusi, kejeli, hasira...
  6. R

    JamiiForums Nimefuatilia sana sijawahi kuona kijana wa CHADEMA kwenye mabanda ya kubeti na kamari

    Hii sijui imekaaje au ni kwa kuwa hawaoni fursa huko? Au je, ni kwa vile ni vijana wanaojitambua hivyo hawana muda wa kupoteza? Naapa kabisa mbele yenu wana jukwaa ktk utafiti wangu mdogo kuanzia Dodoma, Morogoro, Dar na Zanzibar sijawahi kuona Vijana na wafuasi wa Chama cha demokrasia na...
  7. B

    JamiiForums Hii staili ya udangaji alionionesha huyu mdada, sijawahi iona toka nizaliwe

    Kuna mdada mmoja hapa mtaani kwetu, hana mtoto, & yuko kwenye early 20's anakaa kwa wazazi wake nilikutana naye njiani, nikamsalimia tu halafu, nkamwalika ghetto ninapokaa tukapike, Maana nilitoka sokoni siku hiyo, sikumbuki alichonijibu, ila baada ya hapo sikuwa namfatilia kabisa, Ikapita...
  8. JamiiForums To my early 30, sijawahi kufanya mambo haya

    1. Sijawahi kunywa au kuonja pombe ya aina yoyote. 2. Sijawahi vuta au jaribu sigara ya aina yoyote. 3. Sijawahi kubet na sijui mkeka wanawezaje na sijawahi kucheza kamali ya aina yoyote 4. Sijawahi kwenda kwa mganga nikiwa naumwa au kutafuta njia ya jambo langu lolote 5. Sijawahi kwenda...
  9. JamiiForums Mabasi yote ya mkoani yamezuiwa hapa Kibaha Stendi, foleni sijawahi kuona na hatujui hata sababu

    Mabasi yote ya mkoa tupo Kibaha hapa, foleni ni kubwa mno hatujui hata sababu. Tupo tumekaa tu kwenye magari. Tunaomba msaada vyombo husika, watu tunaenda mbali jamani.
  10. JamiiForums Egypt and Niger, aise sijawahi kukutana na hili katika maisha yangu ya soka

    Aise, hii kitu ngeni kwangu, hata pasi moja!! It means walikua wanazurula uwanjani, aise siamini macho yangu kama nikweli🤣🤣 mpira umeisha kwa bao 3 kwa 0 Hongereni sana mafarao👏🏽👏🏽
  11. JamiiForums Sijawahi kuona haya mashirika ya umma yakitangaza kazi

    Hivi haya mashirika ya umma huwa yanawapataje watumishi wake, au huko kwenye hayo mashirika huwa hakuna watu wanaostaafu au kufa ili nafasi zibaki wazi?maana sijawahi kukutana na matangazo yao ya kazi kabisa 1. NSSF 2. NHIF 3. PSSSF 4. TCRA 5. WCF 6. MSD 7. TPDC 8. TIC 9. NGORONGORO CONSERVATION...
  12. JamiiForums Sijawahi kuamini kama kuna mke mwema mwenye tabia hizi

    Habari ya asubuhi, Kwa mawazo na fikra zangu sijawahi amini kuna mke anaweza kuwa mwema au ukapata mke sahihi katika makundi haya 1. Wanaofanya Jogging Yaani hapa aisee kama una mke anafanya huu udnunguazi wa makundi makundi jua hauko peke yako na hata ukipata mwanamke humu basi wakumaliza...
  13. JamiiForums Sijawahi kuona nchini yenye amani na usalama kama Zambia

    Habari zenu wana JF wenzangu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Katika zunguka zunguka yangu yote katika nchi mbali mbali nikianza na nyumbani Tanzania, kwa kweli sijawahi kuona nchi yenye amani na usalama wa hali ya juu kama Zambia. Kwa wale wenzangu waliowahi kuikanyaga nchi...
  14. S

    JamiiForums Kuna jamaa sijawahi kumuona akipigiwa simu sasa sijui simu ya nini kuwa nayo

    Sijawahi kumuona mchizi akipigiwa simu miaka yote asa sijui simu ya nini wakati watu hawakupigii
  15. S

    JamiiForums Sijawahi kuona promosheni ya safari lager hii bia ni big brand inajiuza bila kutegemea promo

    Hayo ma castle lite serengeti lite kinachowasaidia ni promosheni utakuta unaambiwa elfu 10 bia nane Safari haitegemei promo wala kushusha bei ni big brand
  16. JamiiForums Sijawahi kuwasikia Millard Ayo au Maulid Kitenge wakiongea Kiingereza

    Hawa jamaa naona wana safari sana za kwenda nje, lakini sijawahi kuwasikia walau wakiongea hata sentence moja tu ya lugha ya kiingereza. Mahojiano wanayoyafanya huko nje huwa ni wanawahoji Watanzania wenzetu tu na lugha inayotumika ni kiswahili kama kawaida. Sasa nilitaka kujua huko nje...
  17. JamiiForums Hivi kauli ya "mama anaupiga mwingi" ni njia ya kumtaka mafuta kwa mgongo wa chupa? Maana sijawahi kuielewa kabisa🤔!

    Jamani mnautumia kauli hiyo hebu nisaidieni maana kwangu sijawahi ona uongozi kwa huyu mama mwenye kuupiga mwingi! Natamani na Mimi niwe miongoni mwa wanaomsifia kwa 'kuupiga mwingi', ila deep down sioni la kumsifia mpaka Sasa, tafadhalini sana, nisaidieni!
  18. M

    JamiiForums Huyu Muha wa Kigoma sijawahi kumuelewa kabisa. Tokea ajiteke dishi liliyumba. Hajui katiba mpya italeta tume huru?

    👇
  19. JamiiForums Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni

    Haijanitokea kwa mtu mmoja au wawili. Ni watu wengi sana. Wengine ni watu wangu wa karibu. Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni. Mwingine labda ni mtu ambae hamjawahi kuwasiliana na ndiyo kwa mara ya kwanza labda umepata namba yake. Nayeye hana...
  20. JamiiForums Kwanini sijawahi kuona ama kusikia mikutano ya dini Masaki, Ostebay ama Posta?

    Nashangaa hawa hasa watangaza dini wanaochipukia, kwanini wote kutwa kujazana miji ya pembezoni mwa mji kwanini mitaa niliyoitaja hawaendi? Sijawahi kuona tangazo wala mkusanyiko kule mtu akihuburi injili.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…