Habari za muda huu watanzania,
Mimi ni mwanamke tena mtanzania mwenzenu naishi Dar es salaam, lakini katika maisha yangu sijawahi kutumia usafiri wa ndege, natamani sana na mimi siku moja nifika pale uwanja wa ndege nihudumiwe kisha nikapande ndege, natamani nikijiona nimo ndani ya ndege...