sijawahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta : Sijawahi kugusa bangi maishani mwangu

    Hayo yamesemwa na raise mstaafu wa Kenya alipokuwa akiongea na vijana wa shule ya upili ya Alliance. Kenyatta aliongea mambo mengi ikiwemo madhara ya madawa, kushindwa kufikia malengo saba u ya uraibu nk.
  2. JamiiForums Tanzania Kuanzia miaka ya 27 mpaka 31 sijawahi hata kuumwa homa. Hivi kinga ya mwili nayo huwa inaingia "prime" halafu baadaye inaanza kushuka?

    Sio kwamba naiombea homa irudi, Mungu aniepushe nayo mbali. Ila kuna jambo nimeligundua kuhusu maisha ya binadamu, sijui na kwenu ipo hivyo. Nikiwa mtoto wa shule ya msingi nilikuwa mtu wa kuumwa mara kwa mara. Kuna zile siku unaishiwa nguvu kabisa, mwili unalegea, macho yanakuwa mazito...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Gari yangu inadaiwa faini ya Polisi, inaonesha ilitozwa Mlandizi wakati sijawahi kufika huko

    Nimekagua gari yangu kwenye mfumo wa Polisi unaonesha nina faini ya ubovu wa gari, faini hiyo imepigwa Mlandizi ndani ya wiki tatu zilizopita wakati sijawahi kufika kabisa na gari, pia kwa muda huo lilikuwa halitumiki. Nimejaribu kufuatilia kwa mamlaka husika nimekwama, Leseni hiyo siyo yangu...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sijawahi Kusaini Mtu Kunyongwa

    Ndugu zangu Watanzania, Hofu Iliyo ndani Ya Kifua Cha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika na jasiri Muongoza njia. Imemfanya Kushindwa kabisa kuweka saini Yake ya kuidhinisha...
  5. JamiiForums Tanzania Toka nioe sijawahi fikisha wiki moja bila kudumbukiza nahisi kupungua uzito

    Ni miaka sita sasa toka niingie kwenye hii taasisi hivi nimepumzika ni siku mbili ya tatu mzigoni yaani imekuwa kama uraibu kiasi kwamba hata mke asipokuwa fiti nitatafuta ingine ya kuazima kwa muda hadi nahisi kupungua uzito Kiukweli najuta kubalehe! Wallahi najuta kuzijua izi starehe!! Vipi...
  6. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona tajiri ameanguka kwa mapepo kanisani

    Siijawahi kuona tajiri akiangushwa na mapepo kanisani ila masikini na wenye viator vya kati sasa 😂 😂 😂 Automatically ukiwa masikini unamapepo 😂 Vipi mdau umeshawahi ona tajiri anaangushwa na mapepo?
  7. JamiiForums Tanzania Kuna kazi wanaozifanya sijawahi kuelewa huwa wanaishi vipi

    Wamachinga watembezi bidhaa barabarani, bar n.k. Wapiga debe, Wauza ice cream, Wabeba mizigo(makuli), Wachuuzi stendi, Waokota makopo(sijui hata kama ni kazi) Sijawahi kuelewa mtu anayefanya hizi kazi anawezaje kukidhi mahitaji yake ya chakula, mavazi, makazi na kuhudumia familia bila kukata...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna demu nilitaka kumuacha akaniwahi nifanyeje aisee sijawahi kuachwa na demu

    Yaani huyu demu nilitaka kumuacha ghafla akaniwahi aisee ananiambia tuachane nifanyeje Yaani Kila nikimuona anajifanya mjanja mwenyewe naona anajisifia kwa rafiki zake eti kaniacha aisee mbinu Gani nimrudie au nikachane nae nisiwe na time naye he anaweza kuumia sababu kwao ni njia ninayopitia...
  9. JamiiForums Tanzania Sijawahi kumuelewa Netanyahu hata siku moja

    Huyu jamaa yeye hataki Iran na Marekani wazungumze mgogoro uishe ,yeye anachotaka ni kuivamia Iran sasa kwenye kuivamia Iran yeye pekee yake Netanyahu hawezi kuvamia anataka kampani na Marekani hivi mnamuelewa huyu Myahudi. Kwa kifupi Bwana Netanyahu anamdharau Trump
  10. JamiiForums Tanzania Niliwahi tumia chumvi kuzungushia katika kila angle ya kitanda, usiku nilihangaika sana kulala, ndoto mbaya na taflani kubwa ambayo sijawahi ona

    Sina cha kufaidika kuwadanganya katika hili ila ndio hali ilionipata usiku huo. Wala sikulala na taharuki na wlaa sikulala katika mawazo ya kitanda changu kuwa chumvi ila nilipitia hali ngumu aisee Ningependa kupata elimu nzuri kuhusu chumvi hii ya mawe, ili tusaidiane namna nzuri ya kuitumia
  11. JamiiForums Tanzania Huwa najiuliza kwa nini visa vingi vya aliens tunavipata kwa nchi za wazungu sana ila huku africa recently sijawahi kuona watu wanasema wameona UFOs.

  12. JamiiForums Tanzania Sijawahi kufikia wala kuvuka uzito kg 60!

    Familia, hii kitu kuna wakati inanikera. Kiasi kwamba siku hizi nikiona mzani mbele yangu nahisi kama nimeona adui. Iko hivi, urefu wangu ni 182cm, uzito wangu sasa...58kg. Aisee, maisha yangu yote sijawahi kuvuka hiyo kilo 58, sanasana kuna wakati nashuka mpaka kilo 56. Natamani sana...
  13. JamiiForums Tanzania SIJAWAHI kuona timu MBOVU afrika na duniani kama morocco

    Hongereni sana majemadari wetu na makomandoo wetu wachezaji wa taifa stars kwa kuionesha Dunia jinsi Gani morocco ni timu MBOVU kupita maelezo. Nina hakika asilimia mia refa kiazi mbatata wa mali amepewa rushwa na kwa mpira huo mbovu wa kubebwa basi nitamke wazi kua Senegal wanabeba kombe hili...
  14. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona speech ya kibabe kama hii. Ni kama kuna mtu anatafutiwa sababu

    Mbona kama wamemdaka maduro makusudi ni kama kuna mtu wanamtafutia sababu ajichanganye wampasue
  15. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona kampuni mbovu kama Star Times

    Narudia kama wapo humu wasome SIJAWAHI KUONA KAMPUNI MBOVU KAMA STARTIMES Mwaka Mpya nafungua na DSTV...hio taka taka nyingine ya startimes naenda kutupa jalalani. 🚮
  16. JamiiForums Tanzania Sijawahi kusikia hawa wanaharakati wetu kikinuka wanakimbilia Uganda, wote ni Kenya tu

    Nachoka mimi babu yake mwandambo! Kuna kikundi gan kenya kila sku wanakimbilia uko
  17. JamiiForums Tanzania Sijawahi kumuona Dully Sykes akihudhuria mikutano ya CCM

    Niseme ukweli katika wasanii ninaowaheshimu wa bongo flavor Dully Sykes anashika nafasi za juu pamoja na Jongwe na Jize. Hivi mmeshawahi kumuona Dully Sykes akiimba kwenye majukwaa ya CCM kama chawa wengine wafanyavyo?
  18. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Sijawahi kuona Rais aliyefuta leseni za uchimbaji madini 2,600 kwa mpigo na kuwapa vitalu hivyo watoto wa masikini

    WACHIMBAJI WADOGO WAGEUKA NGUZO YA SEKTA YA MADINI TANZANIA. Na Mwandishi Wetu, Katika historia ya sekta ya madini nchini, wachimbaji wadogo mara nyingi walionekana kama sehemu isiyo rasmi, inayochangia kwa kiwango kidogo katika pato la taifa. Lakini chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu...
  19. JamiiForums Tanzania Zile jezi mbovu zilizovuja kumbe ndiyo zenyewe, Sijawahi kuona jezi mbovu kama hizi

    Huyu mzabuni mpya inaonekana anaingia na nuksi, kwanza jezi zilivuja, wakakanusha kwamba sio zenyewe, kwamba zilizovuja zilikuwa sample, cha kushangaza kumbe ndiyo zenyewe, kuna wengine walisema kama itakuwa ndiyo zenyewe basi avae bwana Amberruty mwenyewe, sasa imethibitika ndiyo zenyewe, Je...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Eric Shigongo: Nimekuwa na ubunge mgumu sana, sijawahi kufaidika

    Mbunge wa Jimbo la Buchosa (CCM) anayemaliza muda wake na mtia nia wa kuwa mbunge wa jimbo hilo kwa mara nyingine, Eric Shigongo, amesema kipindi chake cha miaka mitano bungeni kimekuwa kigumu na hakujawahi kufurahia nafasi hiyo kutokana na changamoto nyingi alizokutana nazo. "Nimekuwa Mbunge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…