sifa

Sifa is a type of deadman's control system used on German-influenced European railways. Although deadman's pedals are commonly used on railways worldwide, Sifa systems are specifically those codified by German Industrial Norms VDE 0119-207-5.
In Switzerland the equivalent system is called 'safety control' (Sicherheitssteuerung).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sifa za Range Rover SUVs za Kisasa zenye Ulinzi Maalum kwa Viongozi wa Kitaifa

    Magari mapya ya VVIP aina ya Range Rover SUVs huja na teknolojia ya kisasa yenye ulinzi wa juu unaojumuisha ballistic protection ya B6+ hadi B7, vioo vinavyostahimili risasi, run-flat tires zinazoruhusu gari kuendelea na safari hata likipigwa risasi, kinga dhidi ya milipuko, pamoja na mfumo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu wa biblia na quran anapewa sifa ambazo hana?

    Ni Mungu mwenye huruma... Ni Mungu mwenye nguvu.... Kweli huyu ni Mungu wa mchongo.
  3. JamiiForums Tanzania 🧐Magari ya Rais Samia: Msaada JamiiForums! Hizi Range Rover za Misafara Zina Sifa Gani Hasa?

    Ndugu Zangu Wanajukwaa! Mimi si mtaalamu wa magari kabisa, nimeona Range Rover hizi nyeusi, ndefu katika misafara ya Rais Samia Suluhu Hassan hasa baada ya kuapishwa kwake. Nimejaribu "ku-Google" (gugo huko!) na nimejifunza mambo machache. Ninaomba mnisaidie kufafanua kwa wale wenye ufahamu...
  4. JamiiForums Tanzania Sifa Kuu za Mwanamke Mwema wa Kuolewa kwa Mujibu wa Qur’an na Sunnah

    🕌 MUHTASARI: SIFA ZA MWANAMKE MWEMA KWA AJILI YA NDOA (KWA MUJIBU WA QUR’AN NA SUNNAH) 1. Mwenye Imani na Uchamungu (Taqwa) Qur’an: An-Nur 24:26 — “Wanawake wema ni kwa wanaume wema, na wanaume wema ni kwa wanawake wema...” Al-Baqara 2:221 — “Wala msiwaoe washirikina mpaka waamini; kwa hakika...
  5. JamiiForums Tanzania Sifa na kiburi kikizidi

    Wakristo mnasemaje hapo?!
  6. JamiiForums Tanzania Ila mafundi wa kihaya mna sifa

  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Sifa 22 za kiongozi bora

    SIFA 22 ZA KIONGOZI BORA 1: Kiongozi Ana Hoja sio Haja( Njaa) 2: Kiongozi Anaona Mbali Sio MBELE( Kuona Kwake Sio Mwisho Wa Pua Yake) 3. Kiongozi bora ni mjuzi, siyo mjuaji. Mjuzi ni muelewa. Mjuaji ni mbabaishaji! Chenga! 4. Anaishi kwa maono na siyo maneno! Maono ni kuona kesho ukiwa leo...
  8. JamiiForums Tanzania Kuku akipata mjanja ana nafasi nzuri ya kujikwamua kimaisha kupitia wapenda sifa

    Napo viral yake imekuja kipindi tete huku kwa namna fulani ikihusika moja na moja na CCM kupitia uharibufu wa mabango ya mgombea... LAKINI anaingia kwenye list ya Dr. Shaka Majaliwa mvuvi Mandonga nk CCM wangeshapita naye kitambo lakini kuna mambo mawili yanawafanya wasite japo wanamtamani...
  9. JamiiForums Tanzania Kipa wangu wa JKT to Simba Aliy Salum alikuja na sifa hizi hizi kapewa thnkyu..jiandae kisaikolojia

    Leo nimeona thxkyu ya kijana mkoja alietutesa sana tanga Mungu fundi..tukampta bw mmoja toka jkt Bw huyu kuja bw ali saalum amepewa thxkyu Namkumbusha kipa wangu bora kabisa wa ssc uwe makini Hawao viongozi wa simba sawa na wajumbe Wanakusifia wewe ukiitika wanakugeuka kama alkysalum...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu la mwl Nyerere kuhusu sifa za nchi corrupt na viongozi wake

    Sifa ya Serikali corrupt, sio maneno yangu nimecopy and paste kwa mwl mzee wetu Julius Nyerere Enzi za uhai wake but still Bado anaishi hata sas 1: haikusanyi Kodi 2: inamzigo wa madeni (i.e deni la taifa) 3: inatumwa na wenye mali 4: inawafanyia kazi wenye mali 5: inafukuzana na vijitu...
  11. JamiiForums Tanzania Je, maisha ya wahadzabe ni sifa au aibu kwa nchi?

    Hivi karibuni kumezuka trend ya waandishi na Youtube duniani kote kwenda maeneo ya wahadzabe na kuwashangaa na kuwachukua video kuonesha maisha yao ikiwemo Ulaji wa nyani, uzamani wao, lugha yao isiyotamkika wala kuandikika na vingine vingi ambavyo kwa dunia ya leo ni aibu au ni kushangaa...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Luhaga Mpina hana sifa kikatiba na kikanuni kugombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Imeandaliwa na Ndg. Humphrey H. Polepole, Mwana CCM wa Imani 1. Msingi wa Kikatiba na Kikanuni Katiba ya ACT Wazalendo (2024), Ibara 16(4): "Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo atakuwa ni mwanachama wa chama kwa kipindi...
  13. JamiiForums Tanzania Faida 50 Unazopata Hapa Duniani Ukiamua kumfwata Yesu Kristo

    1. Anakupa amani ya moyo hata katikati ya changamoto. 2. Anakupa furaha ya kweli isiyoyumba kwa hali za maisha. 3. Anakupa hekima ya kufanya maamuzi sahihi. 4. Anakupa nguvu ya kuvumilia matatizo. 5. Anakufundisha kusamehe na kuishi kwa amani na watu. 6. Anakupa moyo wa upendo unaojenga...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Iitishwe Debate/Mdahalo wa Wagombea Urais pengine tunaweza mpata mwenye sifa za Urais

    Mtu wa mwisho kuhusika katika mdahalo alikuwa Ben Mkapa. Miaka hiyo CCM inatoa wagombea wenye akili, uelewa na kujiamini. Baada ya hapo. Daaaaaah.... Urais umekuwa Urahis tu. Nashauri wakutanishwe hawa wagombea wafanye debate. Na hiki kipengele kilipaswa kuwekwa lazima iwe angalau midahalo 2 au...
  15. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Devotha Minja hana sifa ya kuwa mgombea mwenza

    Jee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum Mwalim akaondoka JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
  16. JamiiForums Tanzania Marehemu hakosi sifa:Kwa Marehemu Ndungai tutasikia sifa ambazo Serikali ya CCM itaziweka na kila mtu kujisahahu

    Najua wale chawa wa Jf,UVCCM,wasanii,CCM mafisadi na wengine tutapokea kila aina ya kumsifu Marehemu Ndungai usije shangaa mpaka Samia na genge lake la CCM wakasema alikuwa magufuri mwengine.
  17. JamiiForums Tanzania Eti mwanamke anaweza kumkubalia mumewe akimuomba kuzalisha kwa mwanamke mwingine mwenye sifa nzuri sana

    Eti kwa mfano mwanaume alikuwa na ex wake waliopendana ila akazinguaga mwanamme wakaachana na mwanamke alikuwa anampenda Sana huyu mwanamme yaani Sana alijitoa ila jamaa akaleta mawenge.sasa baadae jamaa akapata mke mwingine na wakazaa ila baada ya kama Miaka mitatu wamekutana tena na ex na...
  18. JamiiForums Tanzania Mtu kuagiza vinywaji kwa sifa Nni ulimbukeni na ushamba au ni normal?

    Eti ukienda bar hata ndio Una hela ila umeagiza mezani azam energy ya can,black and white,Serengeti lite 21.hivi kwa uelewa wako unahisije ukijipata NI lazima uweke bango kama hivo?
  19. JamiiForums Tanzania Wajuzi wa aina za Mbwa, naomba sifa zaidi za hii breed ya mbwa!

    Kuna hizi baadhi nimepewa; Hana bima ya afya wala hamjui vet. Anajitafutia msosi wakati wa shida na kula mabaki Anaudhuria misiba na harusi ata mitaa ya mbali Anaweza kugongwa na gari, lakini akaendelea kutembea kwa miguu mitatu hadi apone Anajua siri za kila mtu hadi nani anarudishwa usiku na...
  20. JamiiForums Tanzania Ulevi, kwa nini ni sifa?

    sijawahi kuelewa hili swala la ulevi hapa tanzagiza, ni kwa nini ni sifa? kwa nini mtu anajisifia kuwa mlevi wakati nchi na jamii nyingi duniani ulevi ni ugonjwa wa akili na watu wanatumia fedha na gharama kubwa kufanya therapy kuondokana nao? uzoefu wangu karibia wanawake wote waliokuwa walevi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…