siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Ilikuwa kosa kubwa Mwl. Nyerere kuzingatia siasa za kikanda Tanganyika bila kuzifungamanisha na uchumi na bado nchi ikiwa changa

    Katika mambo ambayo yameigharimu sana Tanganyika na kuidumaza huenda hata sio siasa ya ujamaa zaidi bali siasa za kikanda(geopolitics) za Nyerere ambazo hazikuzingatia maslahi ya uchumi wa Tanganyika wakati huo na ya muda mrefu. Ukitafakari kwa kina katika fikra huru ni jinsi gani...
  2. JamiiForums Tanzania Ndizi 200, ndizi mia mbili…

    Hapo ukipita lazima ugeuke hata kama umevaa suti 😄 🤣 Imagine umevaa suti yako, unageuza shingo sababu ya ndizi za mia 2.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Baraza la Vyama vya Siasa lakutana Morogoro, CHADEMA hawakuhudhuria

    Vyama vya Siasa 18 vyenye usajili wa kudumu vimeshiriki mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa ulioandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na kufanyika mjini Morogoro, huku CHADEMA ikiwa haijashiriki mkutano huo. Akizungumzia mkutano huo leo Februari 11, Msajili Msaidizi wa Vyama vya...
  4. JamiiForums Tanzania CCM acheni kuchanganya dini na siasa

    Mara Samia Suluhu Hassan aende kuombewa na Boniphase Mwamposa ambaye baadae anasema eti anamuona Samia kwenye Urais mwaka 2031! Hatujakaa sawa Emmanuel Nchimbi yupo kwenye vikao vya wapentekoste akiwaomba wamuombee Rais Samia Suluhu Hassan. CCM acheni kuchanganya siasa kwenye dini.
  5. JamiiForums Tanzania Obama then and now, kweli siasa ni utapeli!

    leo hii wanaitisha maandamano nchi nzima kupinga wahamiaji haramu kuondolewa ... https://x.com/i/status/2018474418859806896
  6. JamiiForums Tanzania Jee TISS inatakiwa irekebishwe ili kuendana na siasa za sasa?

    Asili ya TISS ( Usalama wa Taifa) pamoja na mambo mengine ni CCM. Wanaosema TISS asili yake ni Special Branch ya zama kabla ya CCM kuundwa wanaupotosha ukweli. Baada ya kuundwa kwa CCM, vyombo vyote vya dola viliwekwa chini ya hatamu za CCM. Kwa ivo ilikuwa huwezi kuajiriwa kwenye vyombo vya...
  7. JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania

    Kwa hii overview fupi ya Tanzania unaonaje future yetu ya miska 15 mbele? Tanzania Yalenga Kusaini Mradi wa Gesi (LNG) wa Dola Bilioni 42 Kabla ya Juni Baada ya miaka kadhaa ya kukwama, Serikali ya Tanzania inatarajia kusaini mkataba wa mradi mkubwa wa kusindika gesi asilia (LNG) wenye thamani...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Maadili kama mkakati wa siasa Zanzibar

    Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar: Maadili kama Mkakati wa Kisiasa Katika historia ya siasa za Zanzibar, Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) imekuwa ikitangazwa kama suluhisho la migogoro ya kisiasa na njia ya kudumisha amani. Hata hivyo, uzoefu halisi wa Wazanzibari unaonyesha kuwa mara...
  9. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Yatoa Ruhusa Kufungua Kesi Dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Kuchelewesha Usajili wa Chama

    Taarifa kwa Umma: Mahakama Kuu Yatoa Ruhusa Kufungua Kesi Dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa Kuchelewesha Usajili wa Chama cha Independent People Party (IPP) Dar es Salaam, Leo tarehe 22 Januari, Mahakama Kuu ya Tanzania (Kanda ya Dar es Salaam) 2026 imetoa ruhusa ya kufungua kesi ya...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki na Siasa

    Mwezi Novemba mwaka jana Mkutano Mkuu wa Maaskofu wa kikatoliki Marekani ulitoa tamko kulani sera za serikali ya Trump za kuwatimua na kuwapakazia wahamiaji waliokuwepo Marekani. Hii ilikuwa muendelezo wa hotuba ya Pope Leo XIV ya mwezi Januari mwaka jana kwa mabalozi waliokuwa wakiwakilisha...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Elimu, Akili au Mfumo? Chanzo cha Kugeuka kwa “Watetezi wa Taifa”Siasa za Umaarufu: Kwa Nini Mashujaa wa Haki Hupotea Njiani?

    Japo kume kuwepo na watu wenye elimu kubwa na akili ambao wamepitia mabadiliko hayo. Kwa hiyo si sahihi kusema ni watu wasiojielewa na wasio na elimu tu lakini kwa Tanzania kumekuwa na wimbi kubwa ambalo ukiliangalia kwa undani utagundua asilimia kubwa ni watu wasio na elimu japo baadhi...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inapitia njia ya ANC ya Afrika Kusini, kiliwahi kuzuiwa kufanya siasa lakini ndicho chama tawala kwa sasa

    Mwaka 1960, ANC ilipigwa marufuku kufanya siasa nchini Afrika Kusini, viongozi wake kama Walter Sisulu na Nelson Mandela walikamatwa wengine wakakimbia nchi, Oliver Tambo akachukua jukumu la kukiongoza chama hicho akitokea Zambia. ANC iliendelea kufanya kazi katika mazingira magumu lkn...
  13. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania unaangamia kwa siasa za uchawa

    GT. Na Malisa. Wakati wa Magufuli IMF ilitoa takwimu kwamba GDP per capita yetu imepanda hadi $2,400 na tukaingia kwenye orodha ya nchi za uchumi wa kati (Lower middle Income). Leo IMF haohao wametoa takwimu kuwa GDP per capita imeporomoka hadi $1,300. Nini kimetokea? Wakati ule tumeingia...
  14. JamiiForums Tanzania Utekaji, mauwaji, rushwa, ufisadi, uongo sio siasa ni uhalifu na uhaini kwenye nchi haijalishi nani anafanya ni kinyume cha sheria kwa yoyote

    Utekaji, mauwaji, rushwa, ufisadi, uongo sio siasa ni uhalifu na uhaini kwenye nchi haijalishi nani anafanya ni kinyume cha sheria kwa yoyote . Anayetekeleza kati ya hayo ni adui wa Tanzania na anapaswa kukamatwa mara moja.
  15. JamiiForums Tanzania Bunge lijadili na kuja na muundo wa vyama vya siasa nchini

    Ili kuepuka kuundwa kwa vyama mamluki venye kutumikia mataifa ya nje na kuzalisha vibaraka wa mabeberu ni vyema bunge likajadili na kuweka muundo rasmi wa vyama vya siasa nchini ambapo ndani yake kutaruhusu na kurasimisha uwepo wa vyombo vya serikali ndani yake. Hili litaepusha uwepo wa vyama...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Huwezi kutenganisha Siasa na dini

    Wakili Mwabukusi amesema serikali ya Tanzania haina dini lakini raia wake wana dini, akisisitiza dini ndiyo siagi ya siasa na huwezi kutenganisha siasa na dini kwani dini ndiyo hutoa maadili. Pia ameeleza kuwa mtu yeyote asiye na dini asipewe nafasi ya uongozi
  17. A

    JamiiForums Tanzania Africa (ikiwemo Tanzania) itaendelea ikiachana na siasa za uchawa, udini na ukabila

    Kuna video hapa inayozunmzia matatizo ya Nigeria na afrika Kwa jumla kama hatutazungumzia yaliomo kwenye hii video
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa kiroho kujihusisha na biashara au siasa

    Kiongozi wa kiroho kujihusisha na biashara au siasa Nianze kwa kuuliza swali: je ni sahihi kwa kiongozi wa kiroho, kwa mfano mchungaji, kuwa mfanya biashara, au kugombea nafasi za kiserikali au za siasa? Kabla ya kuangalia kiongozi wa dini, hebu tuangalie kwanza kwa mtu aliyeamini. Je mtu...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya Chadema kujimaliza yenyewe kisiasa, ni chama gani cha siasa kitafuata nyayo na kujichimbia kaburi la sahau kisiasa Tanzania?

    Maana kwasasa, Kimebaki kama kituo cha mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kikijikita zaidi katika kuchakata porojo na uzushi ambao hauwasaidii bali kuwapoteza zaidi, na kosa kubwa zaidi ni kufanya makao makuu yao kua Nairobi chini ya yule mdada mkuu wa vibaraka aliewahi...
  20. JamiiForums Tanzania Mene, mene, tekeli, na peresi: Somo kali kwa siasa za Tanzania

    Katika historia ya Tanzania, uongozi umejengwa juu ya misingi ya amani, umoja wa kitaifa, na heshima ya mamlaka ya dola. Hata hivyo, kama ilivyo kwa mataifa mengine, kauli ya “Mene, Mene, Tekeli, na Peresi” (Danieli 5) inabaki kuwa kioo cha kutafakari mwenendo wa siasa zetu. Ni ujumbe wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…