siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Kama hauna Elimu usije ukathubu kujiingiza katika siasa utapoteza muda wako bure

    Kama hauna Elimu kaa mbali na kitu kinaitwa siasa hautoelewa unapigania nini Siasa inahitaji Elimu ukitaka kuifaidi hapa nazungumzia Elimu Kuanzia Degree na Masters au Angalau hata PHD Mimi mjomba wangu ni Darasa la saba yupo Uvccm mwaka wa 10 kama katibu wa vijana huu lakini Mambo yake Ni 0-0...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Siasa za Marekani: Democrats kampeni yao ni ya kuruhusu ushoga/LGBT na uhuru wa kutoa mimba.

    Mwanadada huyu hapa ana furaha sana mgombea wa Democratic ameshinda kwenye jimbo lake kwa hiyo anafurahia kwenye jimbo hilo kutoa mimba itakuwa ni ruhusa! Alikuwa na wasiwasi kuwa kama angeshinda mgombea wa Republican, utoaji mimba ungepigwa marufuku kwenye ji,mbo lake!! “We won!” That was...
  3. JamiiForums Tanzania Tataizo la jeshi letu siasa zimekuwa nyingi na pia wanaenda wasomi waliofaulu vizuri ambapo wanasaka vyeo tu

    Jeshi letu ni full starehe tu na kuchukua wake za watu. Ndo mana hata mzazi anafurahi sana mwanae anapochaguliwa kwenda jeshi siku hizi. Zamani kazi ya jeshi kila mtu alikuwa aniogopa na ukichaguliwa huko watu wanakusikitikia lakini siku hizi ni kinyume chake. Imagine mtu ana div one tena PCB...
  4. JamiiForums Tanzania Siitazami ajali ya ndege kama wengi mnavyoitazama, yawezekana kuna makubwa nyuma yake

    Hebu tushirikiane kuwaza mambo kadha wa kadha hapa na ya msingi; Mara zote kwenye mambo ya msingi nakuwa firm Kabisa utani pembeni hata Kama kuna nyuki wa mama wananikaba Kwa kusema labda sikutakiwa kusema watakuwa wanakosea sana maana nilipumzika kuandika Makala ndefu ndefu nikaishia kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Salama pekee ya Mtu Mweusi kujikomboa ni kwa Siasa ya Ujamaa na kujitegemea

    Nimekaa na kuwaza sana kuhusu nafasi ya Mtu Mweusi kwenye ulimwengu huu wa kibabe na ni kwa hakika wala siioni nafasi yetu zaidi ya kuonekana tu kuwa tunafaa kubaki kama Jamii ya kuwatumikia hao Wakubwa. Mifumo yetu yote ya Elimu imeasisiwa kwao na Wengine huko nasi kubaki kama wapokeaji...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia piga kazi usihangaike na siasa zao chafu zenye nia mbaya

    Karibu kila Rais kuanzia Mzee Mwinyi aliljikuta akilazimika kuzoea kufanya kazi huku akiisikia sauti ya mtangulizi wake ikiongelea namna anavyoendesha nchi. Huu umekuwa ni mtihani mzito wa kuirithi ofisi nzito ya urais. Mzee Mwinyi anaikumbuka hotuba ya Mwalimu Nyerere mwezi March 1995 pale...
  7. JamiiForums Tanzania siasa ni dili ,hawagombei ili washike dola! wanagombea wapate hela!

    Utaona wakati wa kampeni wagombea watamiminika kutoka kusikojulikana! hata waliokimbia nchi watarudi, kwa nini? Kwa sababu kwenye kampeni kuna ulaji mkubwa, sisi oya oya! ndio tunakuwa wapiga makelele, lakini hawapo sirias na kile wanatuaminisha! Wapata wafadhili lukuki wakati huo !watu...
  8. JamiiForums Tanzania Siasa ndiyo chanzo kikuu cha shida ya Umeme na Maji Tanzania

    UHABA WA MAJI KUPELEKEA MGAWO MPYA WA UMEME? Kwa wale wasiofahamu, uhaba wa maji nchini unaodaiwa kutokana na ukame uliosababishwa na ukosefu wa mvua kwa muda mrefu (mabadiliko ya Tabia ya nchi), una madhara ya moja kwa moja kwenye upatikanaji wa umeme hapa nchini. Hii ni kutokana na maji kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Nachukizwa sana na siasa kwenye mpira Yanga na Simba

    Siasa za Tanzania zina mambo ya ajabu sana, kwenye mpira zinafanya nini? FIFA ina vyombo vidogodogo kama TFF, ile ya Afrika sijui inaitwa nini, kwa nini viongozi wa siasa wana nafasi kwenye mpira? Wanashida gani, kwanini wasibaki mashabiki? Nchi inawashinda bado mnaingia sijui CCM na CHADEMA...
  10. JamiiForums Tanzania Mapenzi Marekani sasa yanafuata misingi ya vyama vya siasa

    Kadri siku zinavyokwenda hivi sasa nchini Marekani inaonekana ni ngumu sana kwa mtu wa Republican kuoa/kuolewa au kuwa na mpenzi toka Democratic na hivyo hivyo kwa Democratic kwa Republican. Mambo yamekuwa magumu.
  11. B

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Anwani ya Msajili wa Vyama vya Siasa

    Wanajamvi, tumejaribu kupiga simu zilizoainishwa kwenye tovuti ya Msajili wa vyama vya siasa hazipatikani, tumeandika email hazijibiwi, tafadhali tunaomba mwenye kufahamu ofisi ilipo kama Dodoma au Dar na eneo husika atusaidie pia kama unazo namba za simu mtusaidie. Tunahitaji huduma kutoka kwa...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Vyama 14 vya Siasa kuongea na vyombo vya Habari

    Leo wataongea na vyombo vya Habari. ================= Hotuba nzima ilikuwa ni kumjibu Mnyika na CHADEMA badala ya kuzungumzia ripoti ya Kikosi Kazi. "Tumesikiliza taarifa ya @ChademaTz ikielezea kupinga taarifa ya kikosi kazi, tunachoweza kusema kwa sasa, CHADEMA wamejawa na ubinafsi, choyo...
  13. JamiiForums Tanzania Prof. Mukandala: Matokeo ya Rais yahojiwe Mahakamani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Oktoba, 2022 Mapendekezo 18 ya Ripoti yanasomwa na Prof. Rwekaza Mukandala Kikosi kazi...
  14. JamiiForums Tanzania Siasa za 'upopo' zinaiua sana Tanzania kiuchumi na kijamii

    Chama cha siasa kinachoongoza nchi kinajiita cha kijamaa wakati chenyewe kinaendesha nchi kibepari. Kuna watu wanajifanya ni wapinzani lakini kutwa kucha wako bize kuisifia CCM. Kuna watu ni wasomi lakini matendo yao ni kama hawajasoma kabisa. (Kabudi style) Kuna watu wanasajili Kampuni...
  15. JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania ni sumu kwa maendeleo ya nchi

    Great Thinkers Kama wewe ni great thinker wa ukweli utakuwa umeshalingundua hilo. Ngoja nitaje mambo machache 1. Rais akiingia madaraani miaka mitano ya kwanza ni kuunda serikali tumbua yule, weka huyu, komesha wafitini wake, badilisha wakuu wa mikoa /wilaya nk. 2. Kipindi cha pili miaka...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ukabila utaibomoa nchi! Nani karuhusu haya kufanyika katika ardhi ya Tanzania?

    Nani karuhusu huu ujinga kufanyika katika ardhi ya Tanzania? Mamalaka na vyombo vya dola fanyeni kazi yenu kuutokomeza huu ujjnga. Endapo ujinga huu utaachwa usambae hakuna aliye salama.
  17. M

    JamiiForums Tanzania GEITA: Kuelekea Uchaguzi Mkuu ndani ya Chama Rais Samia akutana na Wajumbe wa kamati ya Siasa Mkoa, Dr Msukuma atia neno

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi tarehe 15 Oktoba, 2022 amekutana na kuzungumza na wajumbe wa kamati ya siasa Mkoa wa Geita. #CCMImara #KaziIendelee
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi siasa za Tanzania zinavyodidimiza ustawi wa vijana

    Ndugu zanguni, Hawa wanasiasa hawana nia njema na watu wa kawaida hata siku moja. Siku zote mwanasiasa anaanza kuangalia masilahi yake binafsi then atawaangalia jamaa zake wa karibu,ndugu na marafiki. Ndiyo,lazima niseme hivyo...hatuna kiongozi wa kisiasa aliyepita,aliyopo madarakani wala...
  19. JamiiForums Tanzania Tuache siasa kwenye elimu ya Udaktari na Sheria. Jifunze kikwazo kilichopo Law School of Tanzania

    Waliosoma Law school na kufaulu watanielewa vizuri kwenye uzi huu. Tusirudie makosa ya kulazimisha watoto wote wa shule ya msingi hata wasiojua kusoma na kuandika wafaulu kilazima na kujiunga na sekondari. Matokeo yake tumeshaanza kuyaona, Hawa watoto hawawezi kushindana na watoto wa wakubwa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tuhuma za Siasa chafu "Law School of Tanzania" wahusika wajitokeze kuzijibu

    Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu kuhusiana ukiwamo utahini kwenye chuo hiki cha umma. Takwimu hizi za matokeo ya hivi karibuni zinajionyesha: Hii ndiyo ilivyo hali ya pale LST kwa miaka nenda rudi. Ada ni 1,570,000/- kwa mwaka inayotakiwa kulipwa yote kabla ya kuanza masomo. Chuo hiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…