siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. Cute Wife

    PreGE2025 Makonda ataibuka aanze kuwananga watesi wake hawamuwezi, Sabaya atalamba teuzi. Tutahamia kwenye ubuyu mwingine, wameshajua ndio tulivyo!

    Wakuu wakati tunavuta mashuka nimeona nipite kidogo.... Wenye nchi wameshatujua, tunapenda umbea kuliko hata uhai, wanapiga mziki ule ule ambao tumezoea kuusikia na sisi bila hiyana hao rumba tunalisakata. Pia soma: Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya...
  2. T

    PreGE2025 Sauti ya Watanzania kusagia kunguni CHADEMA kila siku, wanatumiwa kudhoofisha chama

    Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya sauti ya Watanzania jinsi tunapoelekea kwenye uchaguzi kazi yao ni kumkosoa Mbowe tu au kutoa mijadala yenye kuchonganisha ndani ya chama kisambaratike. Je, wanatumiwa au wameishiwa hoja au wanasimama upande upi hasa?
  3. Killing machine

    Huenda CHADEMA ni CCM na CCM ni CHADEMA lakini mbele ya kamera wanatuzuga!

    Ndugu zangu siasa ni kitu kigumu Sana si kitu cha kuji husisha nacho Sana Nakumbuka kipindi Dkt. Slaa anagombea kiti kile kikuu kwa tiketi ya chadema alionekana wazi wazi kwamba huenda akawa ndiye next Tanzania President kupitia upinzani kwa wakati ule. Hasa ukiangalia mtiti aliokuwa...
  4. Li ngunda ngali

    Siasa ni biashara kama ilivyo biashara zingine

    Kwa Afrika siasa ni biashara kama biashara zingine. Akili kichwani kwenu watumiwa/watumika. Binafsi nilinufaishwa na CCM kwa mambo yangu kwa upande wangu na ndiyo maana naendelea kusema ASANTE CCM.
  5. Tlaatlaah

    Tetesi: Aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na baadaye kutenguliwa akiwa waziri wa mambo ya nje ya nchi kupumzika siasa 2025, kujipanga na uongozi wa juu 2030

    "Ni uamuzi mgumu sana kisiasa, lakini ni wa kimkakati zaidi" Mnyetishaji alidokeza bila kufafanua zaidi kipindi hicho cha mapumziko nini kitakua kinaendelea 🐒 Je, kwa mustakabali wa siasa za Tanzania, unadhani huu ni uamuzi muafaka na sahihi kwa mwanasiasa huyo?
  6. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Mauaji ya wenye ulemavu wa ngozi(Albino) kipindi Cha kuelekea uchaguzi mkuu inasadifu siasa sio uzalendo bali chanzo Cha utajiri.

    Ndio ndio,mtu hawezi Ua mlemavu wa ngozi Ili awe mwalimu,Daktari,polisi,profesa au kupata profession yoyote ile Bali Kwa Imani za kishirikina anaua ili apate kazi yenye pesa nyingi kama ubunge,uwaziri na n.k. Hii inasababishwa na sisi kama taifa tumeifanya KAZI ya kisiasa kuwa chanzo Cha...
  7. ELI COHEN

    Dini ndio zitakazo tupeleka motoni. Msingi wa Mungu ulikuwa fresh tu hadi hapo Siasa za dini zilipoingilia kati

    Nimekuja kuelewa kuwa tunamuabudu Mungu kwa misingi ilioandaliwa na wanadamu wenzetu. Tunamuenzi Mungu kwa nguzo zilizotengenezwa na wadamu wenzetu. Tunamtukuza Mungu kwa masharti ya wanadamu wenzetu. Yaani ni kama kabla ya kumfikia Mungu inabidi kwanza tutukuze misingi na nguzo za hawa...
  8. Nandagala One

    Tutarajie Mkeka wa Baraza, Wakurugenzi, Ma DC Lengo Kuzima Mjadala CHADEMA

    Wanajamvi, Moja kwa moja kwenye maudhui. Kamatakamata ya Viongozi wakuu na makada wa CHADEMA, imemletea mfadhaiko mkubwa mkuu wa nchi, kutokana na Matokeo yake watu walivyopokea Tanzania hasa Vyombo vya Habari, Mitandao ya Kijamii na Jumuiya ya Kimataifa. Kwa sasa habari ya CHADEMA ndiyo...
  9. Bila bila

    Kwa tamko hili la Dr. Nchimbi inamaanisha Intelijensia ya CCM ndiyo inayotumiwa kukamata viongozi wa upinzani?

    Hata sina haja ya kujieleza, Dr Nchimbi ametufumbua macho kwamba Intelijensia ya Chama chake ndiyo iliyoelekeza kwamba Mbeya hapakaliki na kusababisha kukamatwa viongozi wa CHADEMA kinyume cha sheria. Mfano mzuri nini kilichosababisha Mbowe akamatwe uwanja wa Ndege kama watangulizi wake...
  10. Abdul Said Naumanga

    TLS Yatoa Tamko Kulaani Ukamataji Holela wa Viongozi wa Siasa, Wanaharakati na Makundi ya Kiraia , na Kuonya Kuhusu Hatari ya Kuvuruga Amani ya Taifa

    https://youtu.be/FfitG5qRW2M?si=HcUhPfFnt9Wh7XCX Katika taarifa iliyojaa msisitizo na ufundi wa kisheria, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mwenendo wa jeshi la polisi katika kukamata viongozi wa kisiasa, mawakili, waandishi wa habari, na wanaharakati...
  11. K

    Tanzania haitaweza kukuwa kimaendeleo kwa siasa za kifamilia na kujuana hivi

    Tanzania bila kuweka nchi kwanza na kuweka mfumo ambao sio wa kinafiki au wakifamilia tulionao sasa hatutatoka hapa tulipo. Siasa za kuwapa Uwaziri ndugu wa wanasiasa na mifumo ya kufikiri Polisi ndiyo wataleta amani nchini na sio mifumo tutabaki na matabaka na tunaenda kwenye mapigano ya jamii...
  12. N

    THRDC: Kukamatwa kwa viongozi, wafuasi wa Chadema kuna lenga kuwazuia kufanya shughuli ya maadhimisho ya vijana duniani

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini Tanzania(THRDC) umelaani vitendo vya kukamatwa kwa baadhi ya viongozi wa CHADEMA, akiwemo Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho bara, Tundu Lissu, Katibu Mkuu John Myika,Mwenyekiti wa CHADEMA, Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi, Wakili Deogratias Mahinyila...
  13. Matulanya Mputa

    Wito kwa ACT-Wazalendo na vyama vingine vya siasa pingeni manyanyaso wanayofanyiwa CHADEMA

    Nimeitaja ACT-WAZALENDO kama chama ambacho kidogo kina muonekano kwa jamii leo hii japo siyo kikubwa kuliko CHADEMA. Kinachoendelea kati ya jeshi la polisi na CHADEMA si uhai kwa vyama vya siasa hasa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu kuna kila dalili polisi watatumika...
  14. Yoda

    Marekani ilipoteza muelekeo ilipoanza kuchanganya dini na siasa kinyume na malengo ya waanzilishi wake

    Historia ya Marekani ilianza kwa raia walioondoka Ulaya hasa Uingereza kuanzia karne ya 16 kwa sababu mbalimbali lakini kubwa zaidi zikiwa ni mbili, fursa za uchumi na mkandamizo wa dini. Kipindi cha karne ya 15 hadi 17 kulikuwa na mabadiliko makubwa katika sekta mbalimbali Ulaya ikiwemo...
  15. L

    Ushauri wangu kwa vijana wa CHADEMA mlioingia kwenye siasa hivi karibuni kimihemko

    Natoa ushauri kwenu kwa nia nzuri tu, mkitaka chukueni msipotaka endeleeni na harakati zenu, mimi nimeanza kufuatilia siasa za nchi hii wakati nikiwa form 2 mwaka 1992, enzi hizo ndio kumepamba moto siasa za vyama vingi yaani democratization process. Hali ilikuwa moto kipindi kile, chama chenye...
  16. Gyver 03

    Watumishi wa Umma na masuala ya siasa

    Inakuaje watumishi wa UMMA wanalazimishwa kudhulia mikutano ya SIASA
  17. Tlaatlaah

    Endapo Tundu Lissu akiamua kuondoka CHADEMA, ni athari zipi zinazoweza kuikumba?

    hivi karibini Tundu Lisu amesikika na kuonekana kukikosoa na kukilaumu chama chake mwenyewe kwa kukituhumu kwa kulea rushwa ambayo imekithiri kwa sasa, licha ya kwamba na yeye ni miongoni mwa waandamizi muhimu katika uongozi wa juu wa Chama hicho.. haijulikani na haijafahamika wazi ni kwanini...
  18. Chawa wa Zamani

    Case study; Binti wa Yombo Dovya kaifanya nchi nzima kujadili(petty issues) ili Hali Kuna mengi ya msingi mno katika maisha yao wameyakalia Kimya!

    Sina namna nyngne zaidi ya kusema Ajabu ! ajabu ! Naomba watu waje kunisaidia kushangaa! Kwa akili hizi zenye unyaufu uliyotukuka. Yaani kutwaaa kila mahali ,kila Kona kila chocho wakike Kwa waume wanasema jambo hilo tu. Hivi hilo tukio n la kwanza ? mbona yule aliyefanyiwa kule Tanga na kina...
  19. chinatown

    Embu Watanzania tuache Siasa kwenye mambo ya msingi

    Sijajua kwa nini Jeshi la Polisi limechelewa hivi kutoa taarifa kwenye tukio la kinyama lililofanywa na Watanzania wanaume wanne dhidi ya mdada mdogo wa Kitanzania. Ukisikiliza ile video anaongea victim kuwa amefanyiwa vile kwa sababu ya kutembea na mume wa mtu. Sasa kunashindikana vipi...
  20. Erythrocyte

    Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Jijini Dar es Salaam

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), inakutana Jijini D'salaam tarehe 8-9 Agosti, 2024 Ikumbukwe kwamba Hiki ndio Chama kinachotoa dira ya Taifa na miongozo mbali mbali inayofuatwa na Wananchi. Taarifa yao kwa Umma hii hapa ======
Back
Top Bottom