siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Bagonza: Vijana wengi wanabaguliwa katika michakato ya kisiasa kwa kulazimishwa kuwa wanachama wa vyama vya siasa

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza, amesema "Vijana wengi katika taifa letu wanabaguliwa katika michakato ya kisiasa kwa kulazimishwa kuwa wanachama wa vyama vya siasa." Akizungumza Julai 9, 2026, katika Jukwaa la...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Ualimu unalipa zaidi kimaslahi kuliko Siasa, ukiwa mwalimu unaenjoy

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, akizungumza kwenye mahojiano yaliyorushwa Julai 8, 2026 na M & S Podcast, amesema wakati akiwa kama Mkufunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam maslahi katika ualimu unalipa zaidi kuliko kwenye Siasa "Kuwa mwanasiasa ina...
  3. JamiiForums Tanzania Semantic Shift katika Siasa: Je, Tunatawaliwa na Uhalisia au na Maana ya Maneno?

    "Ukitaka kuelewa siasa, usisikilize maneno pekee; angalia matokeo." Hii ni kanuni ambayo imejitokeza mara kwa mara katika historia ya siasa duniani. Katika sayansi ya siasa, kuna dhana inayojulikana kama semantic shift—yaani mabadiliko ya maana au matumizi ya maneno ili kubadilisha jinsi...
  4. JamiiForums Tanzania Natamani wananchi wote turudishe kadi za vyama vya siasa. Kusiwe na chama

    Wakuu Sina uwezo mkubwa kujenga hoja Bali hapa nitajaribu. Ni suala la vyama vya siasa, hapa nikiweke pembeni CCM na chadema. Kuna zaidi ya vyama 10 na nakumbuka vilishiriki uchaguzi wa 2025 oct. Vyama hivi zaidi ya Kumi ukitoa CCM na chadema ni vikundi vya wahuni. Ni afadhari hawa wawili...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Martin Masese: Waandishi wa habari wanajua umuhimu wa Siasa ila wamechagua kuwasaliti wananchi

    Kizazi cha Waandishi wa Habari Takamwili Kuna tofauti kati ya mtu asiyejua (mjinga) na mtu anayechagua kutokujua kwa manufaa yake binafsi (mnafiki). Huu ni ugonjwa wa njaa ya njaa ya akili na tumbo (tumbo-centric journalism). Waandishi hawa sio kwamba hawajui umuhimu wa siasa; wanajua kuwa bei...
  6. JamiiForums Tanzania Kama maombi na dua yangekuwa yanafanya kazi watu wangeikimbia siasa

    Kila siku, mamilioni ya watu hukusanyika kwenye nyumba za ibada wakipiga magoti na kuomba amani, ajira, afya bora, na kupungua kwa umaskini. Maombi na Dua hutoa faraja ya kiroho na matumaini ya kesho bora. Lakini ukweli ulio wazi ni kwamba mabadiliko ya maisha hayaji juu ya madhabahu pekee, bali...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali kama baba ije na muswada kuandaa vijana waliofunzwa siasa ya Kitanzania

    Inavyoonekana kwa sasa tumewaachia walami watufundishie vijana wanaoingia kwenye vyama pinzani kuhusu siasa. Madhara yake ni kutengeneza vijana wasio na uzalendo kamili au mirengo yenye siasa kwa maendeleo ya Taifa. Mwanzoni tuliwategemea wastaafu au viongozi waliofunzwa siasa njema kianzisha...
  8. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Julai 6 2026 Wananchi mjitokeze kwa wingi kwenye shauri la mgawanyo wa mali mahakama Kuu

  9. JamiiForums Tanzania Heche: Kazi ya siasa imegeuzwa kuwa ya hatari, kila ukitoka umekubali watoto wako kuwa yatima

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akitoa neno la rambirambi katika msiba wa aliyekuwa Dereva wake, Suezi Maradufu, leo Julai 5, 2026 amesema "Kazi hii tunayoifanya haipaswi kuwa kazi ya hatari. Ni kazi inayopaswa kuwa ya halali kabisa. Tangu mwaka 1992 tuliridhia kwamba tutakuwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Mzee Warioba: JWTZ wasiingizwe kwenye siasa, walinde usalama wa nchi.Je, jeshi letu limeingizwa kwenye siasa?

    Amenukuliwa mzee Warioba👇
  11. JamiiForums Tanzania Godbless Lema atakapobanduliwa chadema unadhani anaweza kujiunga na chama gani cha siasa nchini?

    Maana kuna viashiria vya wazi kabisa na tuhuma za usaliti zinamzonga na kumuandama mwanasiasa huyu wa chadema kutoka kanda ya kaskazini ya chama hicho cha upinzani. Endapo hilo litatokea, na akabanduliwa uongozi na uanachama wa chadema, Kwa haraka haraka na kwa mtazamo wako, unadhani Godbless...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini JWTZ imeanza kutumia Salamu za Chama cha Mapinduzi (KAZI NA UTU)?

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania nini kimewasibu? Wanatumia salaam za Chama cha Mapinduzi za Kazi na Utu. Halafu wanalazimisha baadhi ya vyombo vya habari vikate hicho kipande cha Salaam za CCM. Nimeshangaa sana. Pili Maandamano wanaita Vurugu. Je, wanalinda katiba ya Nchi gani...
  13. R

    JamiiForums Tanzania JWTZ jiepushe na kuibeba CCM. Jiepushe na kuingilia siasa. Iache CCM iminyane na wapinzani majukwaa ya siasa. Hakuna mwenye nia mbaya na nchi yetu!

    Hiki ni nini sasa. Sidhani kama ni sahihi. Jeshi letu ndo la kutoa salaam za kisiasa “Kazi na Utu”? Hatujavamiwa kutoka nje. Ya ndani waachie vyama vya siasa waminyane majukwaani na CCM. Sidhani kama hii ni sahihi. Watu wanadai haki na si vinginevyo. Hakuna anayeamini katika fujo. Waambie CCM...
  14. JamiiForums Tanzania Waislamu ni lini mtajua dini madhehebu na siasa kama ilivyo dini nyengine.

    Shida kuelimisha mtu kama kobe kujiondoa kwenye gamba lake. Dini zetu zimetumia nguvu nyingi kumwaga damu zaidi ya history za vita ya dunia zote. Dini zimekuwa kujificha kwa watawala kuanzia imani zao na kabira zao japo wanaweza kutumia haya. Kuna mada wengi wanadanganywa uislamu ulikuwepo...
  15. JamiiForums Tanzania Nipo Zangu Singapore ila Lissu wamuachie sikutaka kuingia kwenye siasa ila mzee wamuachie tu hana kosa

    Samia Acha uoga mzee huyo hana kosa we ndo una makosa Mnatuforce kuingia kwenye siasa bila kutaka Mnatulazimisha , Mpaka kuna watu Uzi fulan Walisema natumia Pesa haramu za samia kutamba nchi za watu! Kwanza Samia hana uwezo wa kunihonga na hako ka abdu kake! Pili nawasihi msikate Tamaa kama...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Doyo: Siasa za Tanzania zinahitaji fedha, kuna vyama vina wafadhili mpaka nje ya nchi

    Katibu Mkuu NLD na aliyekuwa Mgombea wa Urais kupitia chama hicho katika uchaguzi mkuu mwaka 2025, Doyo Hassan Doyo, akizungumza kwenye mahojiano na Wasafi Media leo Julai 2, 2026 "Ni kweli siasa ya nchi hii inahitaji fedha. Ukizungumzia mikutano ya hadhara, mkutano mmoja mdogo ambao unaweza...
  17. JamiiForums Tanzania Siasa kwa wengine ni Biashara, wengine ni Wito, wengine ni fursa ya kujipatia umaarufu

    Hamjambo! Mimi sijambo Unapoingia kwenye siasa usiingie kichwa kichwa kama panya kwenye shimo ambalo hakulichimba. Asilimia kubwa ya watu siasa kwao ni fursa ya kibiashara na kiuchumi. Wao siasa wameingia kwa sababu ya Maslahi Yao ya kiuchumi. Hivyo chochote anachokifanya ndani ya siasa...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Ipende Kwanza Tanzania kabla ya kukipenda Chama Chako Cha Siasa (Mfano: CCM au CHADEMA). Chama kinakufa ila nchi haifi

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Ndugu zangu, ninawaombeni sana, sana, sana, sana, tena saana, msisahau kuipenda na kuwa wazalendo kwa Tanzania yetu. Ipendeni kwanza Tanzania, kisha baadae ndio ukipende chama chako cha siasa (Mfano: CCM au CHADEMA). Ndugu zangu, hivi vyama vinavyoitwa kuwa ni vya...
  19. JamiiForums Tanzania Afrika Mashariki: Katambi na Vyama vya Siasa Kainerugaba na Vyombo vya habari. Tunaelekea wapi?

    Huku waziri aloteuliwa na Samia akifungia vyama vya Siasa, Mtoto wa Rais wa Uganda amefungia vyombo vya habari. Kisa mtangazaji wake alihoji kutata kujua kama Janeth Mke wa Museven amekufa huko Marekani au yupo hai. Mnamo Machi 21, 2026. Yoweri Museveni alisema kwaamba ana hofu kubwa juu ya...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Matendo, maamuzi na kauli za viongozi wa serikali na CCM zinafanya hata wasiopenda siasa kuwapinga, kuwachukia na kujiingiza kwenye siasa bila kupenda

    Nitoe mfano wangu binafsi. Mie sio mwanasiasa, na wala sijawahi kujihusisha na siasa. Lakini mtu yeyote akisoma thread zangu anaweza kuhisi mie ni mwanachama wa Chadema au chama kingine cha upinzani. Si kweli. Nakiri walionifikisha hapa ni CCM na viongozi wa serikali. Unakuta mara nyingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…