siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Siasa za ki-communist zimeishapitwa na wakati, mahusiano yetu na uchina yawe na mipaka kama vile yeye anavyowawekea wengine mipaka.

    Sawa tuna njaa, sawa hatuwezi linga diplomatically kwa maana hatuna kitu. Ila nakuambia hivii njaa itatoka tumboni na kwenda akilini pale utakapogundua anaeshirikiana na wewe kukutoa katika tabu kuanza kulala na mke wako na kunajisi watoto wako kisa tu anakusaidia kuishinda njaa. min -me LOTH...
  2. JamiiForums Tanzania Ijuwe tofauti ya kundi ukombozi vs kundi maslahi vs kundi chawa katika siasa za kidemokrasia Africa.

    Kuna aina tatu za Viongozi wa kisiasa Barani Afrika, ikiwemo Tanzania. 1. #KUNDI_UKOMBOZI: Aina ya kwanza ni viongozi watetezi wa nchi, ambapo kwenye kundi hili ndipo utawakuta watetezi wa rasilimali za kiuchumi za nchi, utawakuta watetezi wa utawala wa demokrasia, utawakuta watetezi wa haki na...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Emmanuel Nchimbi: Msiwalazimishe CHADEMA kushiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia Uchaguzi Mkuu bila kujali nafasi yake, na kuongeza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina haki ya kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuwa suala hilo ni hiyari kwao na hakuna haja ya...
  4. JamiiForums Tanzania Lissu Shikilia hapo hapo! Toka 1995 Tanzania tunafanyiwa maigizo ya siasa

    Toka TLP, CUF, ACT, UDP NA CHADEMA ya Mbowe ni maigizo Miaka 30 Watanzania tunafanyiwa maigizo ya siasa uku watu wakizidi kutajirika tu!! Angalia ukwasi wa Mbowe, Cheyo, lipumba yaani ni ujasiliamali!! Sasa Tundu Lissu kawaumbua ndani ya miezi 2 tu Miaka 30 ya maigizo na kuuza utu Uzuri...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA na siasa za kususia: Mikakati au kujimaliza kisiasa?

    CHADEMA na siasa za kususia: Mikakati au kujimaliza kisiasa? Kwa kipindi kirefu sasa, CHADEMA wamekuwa wakisusia chaguzi mbalimbali kwa madai kuwa mazingira hayaruhusu ushindani wa haki. Hoja yao kuu ni kupinga mfumo usio wa kidemokrasia, lakini swali kubwa linabaki: wanasusia kwa faida ya...
  6. JamiiForums Tanzania John Mrema ni gwiji la siasa, John Mrema mmoja ni sawa na kujumlisha Lissu na Heche kwa pamoja, halafu hawafiki hata nusu

    Nimemsikiliza John Mrema, hii kichwa ni mali sana, ana uwezo mkubwa. One vs one Lissu na Mrema, Lissu anapigwa knock out dakika ya pili. Na atakimbilia kwenye kashfa na matusi Mrema ni genius political mind
  7. R

    JamiiForums Tanzania Vyama/wanasiasa vya siasa havina washauri

    Inasikitisha, G55 Press conference ya nin? Itasaidia nini kuwaweka sawa na chama chenu? kwanini msiwasiliane ndani kwa ndani? na Lisu alifanya hayo hayo, na sasa mliokuwa viongozi mnafanya hayo hayo! MNA TOFAUTI GANI NA CCM MNAYOILALAMIKAI
  8. P

    JamiiForums Tanzania Laiti siasa ingekuwa kandanda

    Laiti siasa ingeangaliwa ku muktadha wa timu za mpira wa miguu, basi CCM tunajua uwezo wao wa kusakata soka. Timu hii ikiongozwa na nahodha machachari sana kutoka visiwa vya Zanzibar, je imetupatia matokeo tunayostahili? Au tuendelee kuipush zaidi? Kwako mdogo wangu Lucas
  9. JamiiForums Tanzania Tumekabidhi chama kwa watu wasiojua kuponya majeraha Bali kuongeza majeraha ! Mpasuko huu ni mkubwa sana ! Siasa za kitoto zimetufikisha hapa !!

    Nilitegemea baada ya uchaguzi makundi yatakufa rasmi na ujenzi wa chama utaendelea !matokeo kumbe mlienda kugombea si kwa ajili kuongoza Bali kulipa kisasi kwa waliotangulia !! Niwafundishe jambo Tl na mdogo wangu heche !! Maiti haisemwi kwa mabaya' viongozi waliotangulia wangekuwa wabaya...
  10. JamiiForums Tanzania Jukumu letu ni kukomesha siasa za kitapeli

    Jukumu letu sisi kama wanaharakati ni kukomesha siasa za kitapeli. Siasa za kitapeli ni kikundi cha watu wachache kujipatia madaraka kwa mtutu wa bunduki halafu wanadanganya kuwa wamechaguliwa. #NoReformsNoElection .
  11. H

    JamiiForums Tanzania Dini na wanasiasa ni mapacha wanaoshirikiana kuwanyonya na kuwaamgamiza WAAFRIKA

    Huwezi ukatenganisha wanasiasa, na dini kwani hawa ndiyo vibaraka wa ukoloni mamboleo na wanyonyaji wakubwa kupitia zaka na kodi za Waafrika. Makanisa na misikiti hawalipi kodi, serikali inawaacha tu ili wachungaji na masheikh waje kuwasaidia kuwahubiria Waafrika yaliyomo kwenye vitabu vya dini...
  12. JamiiForums Tanzania CCM iache kutumia siasa kwenye nyumba za ibada

    Tumeshuhudia Abduli akiahidi kitita cha mchango wake kukarabati kanisa! Abduli mwanasiasa wa chini ya zulia amejijengea umaarufu wa kugawa vitita vya fedha hadharani huku wengi wetu hatujui biashara znayofanya zaidi ya kujua mtoto wa mama. Viongozi wa CCM ndio huajialika harakaharaka kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Baada ya kumuona bi sagrada akiwa hoi kitandani nimegundua ni msichana mrembo sana ! Nahitaji kumuoa haraka aachane na siasa aje tutafute familia !!

    Bi sagrada samahani kwa yote sikuwa nimekuona kwa karibu !! Na sasa nimekuona nimegundua unahitaji mapenzi ya kweli kutoka kwangu !! Achana na siasa njoo huku tutafute familia !! Siasa ni mchezo mchafu inakutumia kisha inakutelekeza !! Siasa Haina usawa haioni thamani ya mtu mpaka ufe ndio siasa...
  14. JamiiForums Tanzania Nje ya Siasa Ruto huwa ana insipire mno hasa kwenye mambo ya kilimo.

    Ruto akiwa shambani kwake akiotesha Ngano.
  15. JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka Mzee Mbowe na Asali alolambishwa kutaka kumfuta Mh LISSU kwenye Siasa za Upinzani.

    Duuh vita ikawa Kali sana, Mzee Mbowe akawa anataka Uenyekiti, hapohapo anataka Agombee Urais 🤣. Kumbe Lengo akiwa Mwenyekiti autumie kuwabana akina Lissu , Heche . Agombee Urais yeye, ili Samia apate Mpinzani lojolojo . Hatimaye Mzee Mbowe, akaangukia PUAA !!.
  16. G

    JamiiForums Tanzania Siasa za Chadema zinazoambatana na vurugu

    Hali ya wasiwasi miongoni mwa wananchi, wapenzi, na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imekuwa ni jambo la kutia wasiwasi na kujadiliwa sana katika kisiasa nchini Tanzania. Wasiwasi huo unajitokeza kutokana na matukio ya ukandamizaji, vurugu dhidi ya viongozi wake, na...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Nimeamua niachane na mambo yoote yanayohusu Siasa, serikali, jamii, pamoja na haya. Mijadala ya aina yoyote nimejitoa

    Niliachana na mambo ya Dini huu ni mwaka wa 10. Nilikuwa na amani na furaha wakati wote. Nilijawa na upendo kutetea lililo la haki na kutumia hekima na busara wakati wote. Niligundua mapungufu makubwa yaliyokuwa yanazikabiri hizi imani za kidini zote mbili. Mimi namuamini sana Mwenyezi Mungu...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli ya Makalla kuhusu ‘Virusi vya Ebola’, ni Kauli ya CCM. Msajili wa Vyama vya Siasa yuko wapi?

    Msajili yupo Kwa ajili ya CHADEMA tu ??. Kwamba Msajili hata Kuionya CCM kupitia viongozi wake kuacha kutoa matamko ya Taharuki , haonekani!!. Ama KWELI, No Reforms, No Election
  19. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RPC Simiyu tueleze je, PGO inaruhusu Magari ya Polisi kushiriki kusaidia shughuli za chama cha siasa?

    AIBU YA CCM SIMIYU LEO TAR 22.0 JESHI LA POLICE LA SHIRIKI KUSOMBA WAJUMBE WA CCM KWENDA KWENYE MKUTANO WA MAKALA BARIADI.!!!* Na Mzee madiba Simiyu -bariadi. Leo tar 22.03.2025 mkoani Simiyu Kuna kitu walichokiita sherehe za miaka minne ya Samia. Hii ni issue iliyoandaliwa na Mkuu wa mkoa...
  20. JamiiForums Tanzania Viongozi na mashabiki wa yanga nashauri acheni kulazimisha hiki timu chenu na siasa na wanasiasa

    Hapo vip! Naona siku upepo wa siasa ukibadilika naona hiki kitimu cha yanga ikishuka daraja kabisa kwasababu viongozi na mashabiki wao wanaibadilisha timu kuwa kama chama cha siasa kwa ujinga,kutokujitambua na kuto kuona mbele. Hii timu imekuwa inatafuta ukubwa usio stahili kwa kupitia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…