siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Wananchi wanalaumu kuhusiana na kauli ya dharau iliyotolewa na Diamond Platinumz, Ommy Dimpoz, Jux na Marioo na siyo masuala ya kisiasa

    Ni makosa makubwa kuwashutumu Wananchi kuwa wanachukizwa na matendo ya Wasanii kujihusisha na Siasa Swala la kujihusisha na Siasa ama Chama cha Siasa ni haki ya kila Mwananchi na Mwananchi hapangiwi au kulazimishwa kuchagua Chama cha Siasa na wala sio kosa Kisheria au Kikatiba kuchagua chama...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania ya Sasa: Jamii, siasa na wanasiasa

    Sote twafahamu msingi wa taifa hili toka hapo awali nisingependa sana kugusia mambo ya kale japo vya kale ni dhahabu lakini kwa muktadha wa mada hii nitaangazia mambo ya sasa.. Si jambo geni ama la ajabu kuona migomo na maandamano katika taifa lolote lile lakini sikuzote jamii ndio hushawishi...
  3. JamiiForums Tanzania Dini, Siasa, na Jinsi Zinavyodhibiti Dunia

    Dini na siasa ni mifumo yenye nguvu kubwa katika kuongoza maisha ya watu. Vyote viwili vinaongoza fikra, maamuzi, na maadili ya jamii kwa njia ambazo hazionekani moja kwa moja. Siasa hutumia dini kujenga utii na uhalali. Wanasiasa wengi huonekana kwenye ibada ili kupata ushawishi wa kiroho na...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sonko aanzisha Chama kipya cha Siasa, awakaribisha GenZ

    Aliyekuwa Gavana wa Nairobi na Mfanyabiashara maarufu Nchini Kenya, Mike Sonko, amerejea tena kwenye ulingo wa siasa baada ya kusajili rasmi chama chake kipya, National Economic Development Party (NEDP), kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027. Sonko aliondolewa katika nafasi ya Gavana wa Nairobi mwaka...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuua watanzania Oktoba 29 ni njia waliyotumia wachina kuzuia maandamano ya Tiananmen

    Wakuu . Njia iliyotumika ya kuua watanzania October 29 ni njia waliyotumwa na serikali ya China kupambana na maandamano ya Tiananmen. Katika maandamano hayo takriban watu karibu 10,000 wanasadikika walikuwa lakini serikali ilisema around 200. ------------------------------------------------ The...
  6. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Siasa; Mzee mseveni anataka Kufia IKULU?

    Jibuni swali langu
  7. JamiiForums Tanzania JWTZ liache siasa na lithibiti utekaji na mauwaji kuepuka kugawanyika na wananchi

    JWTZ liache siasa na lidhibiti utekaji na mauwaji kuepuka kugawanyika na wananchi. Wauwaji wote lazima wakamatwe na kama jeshi litafanya siasa na kuwalinda wahalifu litagawanyika na wananchi ndipo litavunjika
  8. JamiiForums Tanzania Nashangazwa na mtu anaesema siasa hazimuhusu!

    Siasa ndo ina-control kila kitu wakuu, Tazama sasa siasa ya Tanzania ilivyo inatuchezea akili huku ikituacha na mateso yaleyale kila kila wakati. Mwananchi unateswa miaka minne alafu ule mwaka wa tano unalegezewa kidogo na kuchanganywa akili kwa vitu vya kijinga unasahau mateso alafu baada ya...
  9. JamiiForums Tanzania Mimi kama Mtanzania napinga na kupiga marufuku polisi kushiriki siasa

    Kichwa cha habari kiko wazi. Kama kweli dola ni mali ya wananchi, sisi wenye jeshi letu tupinge na kulipiga marufuku kushiriki au kushirikishwa kwenye siasa hi,I za majitaka. Katiba yetu inapiga marufuku vyombo na taasisi, a umma na watumishi wake kutumika au kupeendelea katika kutimiza...
  10. JamiiForums Tanzania Raisi ajaye tanzania: Sheria ni siasa zinafanyika mwaka wa uchaguzi tu, baada ya uchaguzi watu waonekane wanafanya kazi nothing more or less than that

    Marehem John Pombe alikua na njia nzuri sana ya kuendesha nchi, mwaka wa uchaguzi fanyeni siasa ila baada ya hapo watu waonekane wapo kazini, izi mambo za kila mtu anaongea hili ama lile akidhan anaielewa siasa ipigwe marufuku, kipindi cha magu alivooa amri ya siasa kipindi cha uchaguzi nchi...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Niffer: Sina chama chochote na sijihusishi na siasa. Yaliyotokea ni 'Misunderstanding'

    "Mimi sina chama chochote cha siasa na wala sijihusishi na siasa kwa namna yoyote ile ni mwananchi wa Tanzania" Alisema mfanyabiashara Niffer Jovin baada ya kuachiwa huru dhidi ya kesi yake ya uhaini ilivyokuwa inamkabili.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kumbe Rais Samia ndiye alitoa ruhusa ya kufanya siasa?

    Miaka yote nilifikiri suala la kufanya shughuli za kisiasa hapa nchini ni takwa la kikatiba kumbe ni ruhusa ya Rais. Amesema mwenyewe huko kwenye mkutano na wazee wa Dar es Salaam.
  13. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Walioratibu fujo Oktoba 29 walitaka watanzania kuwa makafara kwa malengo yao ya kisiasa yaliyojaa ubinafsi

    Rais Samia amesema vurugu zilizotokea Desemba 29 na kuendelea siyo desturi wala utamaduni wa Watanzania. Ameongea kuwa inatia uchungu kuona wachache walioratibu fujo zile wakitaka watanzania wenzao kuwa makafara kwa malengo yao ya kisiasa yaliyojaa ubinafsi tofauti na siasa zilizopo, lakini kwa...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wazo Fyatu: Wamezoea Siasa za Kulipana, Hawaamini Kukataliwa!

    Na. M. M. Mwanakijiji Ni wazi kuwa kuna kitu kinawasumbua watawala wetu walioshindwa. Hawaamini kuwa wanakataliwa na maelfu kama siyo mamilioni ya Watanzania na kukataliwa huku hakuwaingii kichwani. Baada ya mauaji makubwa kutokea kati ya Oktoba 29 na Novemba 4 watawala wetu hawa wamebakia...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kosa la Samia ni kuleta Siasa za Zanzibar huku Tanganyika

    Niliishi Zanzibar miaka kumi nilichojifunza siasa zao na Uongozi wao wa Serikali upo tofauti na Tanganyika. Utofauti huku Tanganyika tulishazoea Kuwasema Viongozi wetu wa kitaifa tukiwa kwenye vijiwe vya kahawa au Sehemu za wazi mfano Jioni kwenye viwanja vya mpira wananchi tuna jadili Maswala...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Amani Golugwa: Mwigulu anapotosha. Suala la Katiba halikuletwa ndani ya miezi 3

    Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, Amani Golugwa, amemtaka Dkt. Mwigulu Nchemba kuacha kupotosha umma kuhusu madai ya msingi ya wananchi juu ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Amesema madai hayo hayakuibuka ndani ya miezi mitatu kuelekea uchaguzi mkuu, bali yalianza muda mrefu uliopita...
  17. JamiiForums Tanzania Listi ya watu wanaokabia juu kwenye siasa za Tanzania

    Mimi naanza na hawa 1. Prof Utajua hujui 2. Tito Magoti 3. Bongo Zozo Endelea na listi hapo chinii
  18. JamiiForums Tanzania G Z tafadhali sana harakati sio uharibifu, kama ni Siasa wajikite humo waachane na masuala ya Mali za Wananchi, kwani yatawasababishia kesi ya wizi

    Uharibifu wa Mali na Miundombinu ndio chanzo cha kusababisha mauwaji G Z tafadhali sana Harakati sio Uharibifu kama ni Siasa wajikite humo waachane na maswala ya mali za Wananchi Swala la mali litawapa adhabu na kesi ya Wizi kwani Wananchi wanaishi maisha yakutawaliwa na hasira kali...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini kutoa Pesa kwenye Mabenki kutachochea Kuanguka kwa Serikali ya CCM. Katika jicho la Kiuchumi na Sayansi ya Siasa

    Mimi ni mmoja ya watu ninaounga mkono Maandamano yoyote yatakayotangazwa nchini hadi CCM ianguke na nchi ipate katiba mpya, hakuna shaka kabisa utawala uliopo umefitinika na hauna uhalali mbele ya watu na Mungu. Leo nitaelezea njia mojawapo ya kuchochea kuanguka kwa Serikali ya CCM, njia hii ni...
  20. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini na siasa

    Viongozi wa Dini mbalimbali sasaivi wamekuwa ni sehemu ya kutetea mambo ovu yanayofanywa na wanasiasa. Nasikitika kusema ya kwamba, huko mbeleni kuna watu hawatokuwa wakienda nyumba za ibada tena hususani zinazoongozwa na viongozi wachumia tumbo. NOTE: Kadri dini zinavyojiingiza kwenye mambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…