siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Hivi hakuna Kiongozi wa maaskofu ili awaonye wenzake waache siasa nipo church katoliki nimeamua niingie tu JamiiForums

    Waheshimiwa maaskofu tumechoka na siasa zenu, tumekuja kusali hatuna Raha hatupati baraka zozote za kimungu mpaka natamani nikawashe TV nisali na mtumishi wa Mungu Mwamposa. Kama yupo Askofu wa katoliki humu jukwani Tunaomba utufikishie ujumbe waache kuhuburi siasa wanakela, imagine mpaka...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi watanzania mnataka siasa za aina gani?

    Hili swali linapaswa kujibiwa na watanzania wote, hivi mnataka siasa za aina gani? Mnataka siasa za kistaarabu zisizo na unafiki na ukali hasa kutoka viongozi wa juu Au mnataka siasa za misifa na ukali ukali wa kutumbuana kwenye kadamnasi bila kufuata itifaki? Hii inahusu zaidi chama...
  3. JamiiForums Tanzania Siasa za 2015, kurudi nyuma, ndizo zilikuwa siasa za hoja, na si hizi za kuitana chawa na nyumbu. Hizi ni za watu ambao hawajui siasa na uongozi!

    Naona siasa za HOJA Kama either zimekufa au watu wameacha kabisa kupambana na tatizo Ila wanapambana na MTU aliyeibua tatizo inafikirisha KITENDO CHA WATU KUTUKANA MATUSI NI ISHARA KUWA UWEZO WA WATU KUJADILI HOJA NDO UNAELEKEA MWISHO KAMA SIO KUFA KABISA Movement yoyote haiwezi ikawa na uhai...
  4. JamiiForums Tanzania Ushirikiano baina ya wakristo na waislamu ni muhimu kuliko hata vyama vya siasa

    Ni bora pasiwepo na vyama vya siasa lakini ukawapo ushirikiano wa dhati baina ya waislamu na wakristo kwani kila siku,tunashirikiana kwenye mambo mengi mno.Angalia baadhi ya mambo tunayoshirikiana japo kwa uchache: 1.Kuzikana 2.Kusafiri pamoja 3.Kufanya biashara 4.Kufanya ngono 5.Kucheza michezo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Chama cha siasa kikubwa kuliko vyote Tanzania ni CHADEMA

    Chadema ndicho chama pekee kikubwa kuliko vyote ambacho kina support ya wananchi kwa mapemzi ya kutoka moyoni. CCM iko kwa sababu ya polisi ma watu kutafuta RIZIKI. CCM ikitoka madarakani hutamuona mtu kule. CHADEMA IPO BILA RUZUKU, BILA BIASHARA LAKINI WATU WANAIKIMBILIA NA KUIAMINI NA...
  6. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Mungu mnaoendekeza siasa madhabahuni mnajishushia heshima mnapuuzwa

    Zamani mtumishi wa Mungu akiongea unaona kabisa Mungu ameongea🤣 Ila sahz mtumishi wa Mungu anaongea unaona kabisa ni uongo na anapingwa kwa hoja na unaona kabisa hoja zinazompinga mtumishi wa Mungu zinamashiko hii ni aibu nikushusha chini utume wa Mungu, lakini yote hayo ni kwasababu ya...
  7. JamiiForums Tanzania Nicki Minaj apoteza followers milioni 10 kwa kuongelea siasa

    Nicki Minaj amejiondoa kwenye mtandao wa Instagram, baada ya kurudi, ndani ya muda mfupi baada ya kukumbwa na upinzani mkali mtandaoni. Tukio hilo linahusishwa na ushiriki wake katika mkutano wa kisiasa wa Turning Point USA (AmericaFest) uliofanyika Phoenix, Arizona. Kwenye mkutano huo, Nicki...
  8. JamiiForums Tanzania Mwaka mzima unajadili siasa tu, 2026 badilika sasa anza kujadili uchumi wako

    Siasa ni michezo ila kwa science yake binafsi, ukikaa ukiwa unasubiria kuelewa siasa basi utasubiria sana,, Hivo basi ebu anza kujadili namna ya kujisogeza kimaisha ata watoto wako wakiwa wakubwa wajue umewaachia kitu, mtoto anakua anachojua ni mzee wake alikua anaongoza kwa kuandika nyuzi JF
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Masoud: Siasa za misimamo mikali hazijengi demokrasia

    Watanzania wametakiwa kuwakataa wale wote wanaohamasisha au kuunga mkono mikakati inayolenga kuingiza nchi kwenye machafuko, vurugu au migawanyiko ya kisiasa. Hayo yamebainishwa na kijana mjasiriamali na mdau wa masula ya siasa nchini, Masoud Mambo wakati akizungumza na waandishi wa habari...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: JWTZ ijiepushe na mashinikizo ya kisiasa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuepuka mashikizo ya kisisa akieleza kuwa kuwa mshikamano kati ya uongozi wa kisiasa na uongozi wa kijeshi ni nguzo muhimu ya usalama wa Taifa, hata hivyo...
  11. JamiiForums Tanzania Aliyesema vijana mtoke Jeshi litawalinda mnamjua?

    Kuna MTU mmoja alisema historia huwa inajirudia . History tends to repeat itself MTU MMOJA AKASEMA VIJANA TOKENI JESHI LIPO NA NYIE LITAWALINDA yaani huyu aliamua kufanya Manipulation kubwa Sana ambayo haijatofautiana na Majimaji war KIJANA LINDA UHAI WAKO HAKUNA MTU YUPO KUHAKIKISHIA...
  12. JamiiForums Tanzania Wameua maelfu, wameseka ndani na kuteka watanzania wazuri halafu unawasikia wanasema eti siasa zetu changa kujifanya hawajui wanafikiri sisi wapumbavu

    Wameua maelfu, wameseka ndani na kuteka watanzania wazuri halafu unawasikia wanasema eti siasa zetu changa kujifanya hawajui wanafikiri sisi wapumbavu Mauaji utekaji sio siasa, wewe unapaswa kwenda jela.
  13. JamiiForums Tanzania Tutengeneze shida ili wasahau mambo ya siasa

    Tuwatengenezee shida ya maji kwa kusingizia mambo ya mvua .Tuzuie vyakula kutoka kwa wakulima kuingia mijini ili tuseme Kuna uhaba wa chakula watu waweke hifadhi za chakula..Tuwakatie umeme makusudi na tufanye mgao katika baadhi ya maeneo. Halafu tukishafanikiwa kuhamisha ajenda za vijana...
  14. JamiiForums Tanzania Napata hasira mno kila nikifuatilia siasa za Tanzania

    Najuta mno kufatilia hizi siasa za Tanzania, Bora hata kipindi kile nikiwa nafatilia Yanga na Simba, Ndo hivo tena Sasa siwezi kuacha kufatilia siasa Yaani nakosa Raha mno na roho inauma mno Tuachane na hizo Habari za kuhizunisha za kuuwa Watanganyika zaidi ya 10,000 ndani ya ardhi Yao na...
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu hapa Cyrus Shakhalaga Khwa Jirongo, aliyemtambulisha Rais Ruto kwenye ulimwengu wa siasa hadi ajali kukatisha uhai wake

    Jana Desemba 13,2025 Taifa la Kenya liliingia kwenye majonzi baada ya kumpoteza mwanasiasa mashuhuru na mfanyabiashara, Cyrus Jirongo maarufu CJ kwa ajali ya gari akiwa na miaka 64. Jirongo alifikwa na mauti kufuatia ajali iliyohusisha gari yake aliyokuwa akiendesha mwenyewe Mercedes-Benz...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Wameua Uhuru wa Vyombo vya Habari, wameua Vyama vya Siasa, wanataka kuua Madhehebu ya Dini na taasisi za Elimu.Tukatae

    Serikali haitaki ikosolewe wanachotaka ni kusifiwa hata pasipostahili. Wanataka ku paralyze taasisi zote za kiraia kama walivyofanya kwenye taasisi za umma. Hakuna chombo cha habari kilicho huru main stream zote zina censorship hadi kwenye mitandao ya kijamii, Tik Talk, IG, Facebook...
  17. JamiiForums Tanzania Wananchi wanalaumu kuhusiana na kauli ya dharau iliyotolewa na Diamond Platinumz, Ommy Dimpoz, Jux na Marioo na siyo masuala ya kisiasa

    Ni makosa makubwa kuwashutumu Wananchi kuwa wanachukizwa na matendo ya Wasanii kujihusisha na Siasa Swala la kujihusisha na Siasa ama Chama cha Siasa ni haki ya kila Mwananchi na Mwananchi hapangiwi au kulazimishwa kuchagua Chama cha Siasa na wala sio kosa Kisheria au Kikatiba kuchagua chama...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania ya Sasa: Jamii, siasa na wanasiasa

    Sote twafahamu msingi wa taifa hili toka hapo awali nisingependa sana kugusia mambo ya kale japo vya kale ni dhahabu lakini kwa muktadha wa mada hii nitaangazia mambo ya sasa.. Si jambo geni ama la ajabu kuona migomo na maandamano katika taifa lolote lile lakini sikuzote jamii ndio hushawishi...
  19. JamiiForums Tanzania Dini, Siasa, na Jinsi Zinavyodhibiti Dunia

    Dini na siasa ni mifumo yenye nguvu kubwa katika kuongoza maisha ya watu. Vyote viwili vinaongoza fikra, maamuzi, na maadili ya jamii kwa njia ambazo hazionekani moja kwa moja. Siasa hutumia dini kujenga utii na uhalali. Wanasiasa wengi huonekana kwenye ibada ili kupata ushawishi wa kiroho na...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sonko aanzisha Chama kipya cha Siasa, awakaribisha GenZ

    Aliyekuwa Gavana wa Nairobi na Mfanyabiashara maarufu Nchini Kenya, Mike Sonko, amerejea tena kwenye ulingo wa siasa baada ya kusajili rasmi chama chake kipya, National Economic Development Party (NEDP), kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027. Sonko aliondolewa katika nafasi ya Gavana wa Nairobi mwaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…