siasa za tanzania

Siasa za Tanzania
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Maoni Yangu Kuhusu Posti ya Waziri wa Mambo ya Ndani: Warumi 13:1–5 na Maudhui Yake Katika Siasa za Tanzania

    Great Thinkers wa JF, Leo nimeona posti ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi akitumia maandiko ya Warumi 13:1–5 wakati Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alikuwa akikagua gwaride la polisi kufunga vikao vya Bunge. Kwa maoni yangu, hii si tu nukuu ya kidini bali ni ujumbe wa kisiasa uliotumwa kwa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Picha Ya Siku iliyopatikana Mkoani Dodoma iliyovutia na kugusa hisia za Wengi katika Anga la Siasa za Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kila siku hukucha na mambo yake ,kila siku hutawaliwa na matukio yake ,kila jua lichomozapo huchomoza na mambo yake na kuzama na mambo yake. kila siku uchao kuna mambo huteka na kuwa makubwa kuliko siku yenyewe. Sasa katika siku ya leo kuna picha ya siku imepatikana...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ukaribu wa Mwalimu Nyerere na familia ya Freeman Mbowe

    Kama ulikuwa hujui kuwa FREEMAN MBOWE jina lake alipewa na MWALIMU NYERERE, basi wacha nikufahamishe. Watu wengi hudhani kuwa familia ya MBOWE na ile ya MWALIMU NYERERE ni maadui kwa sababu FREEMAN MBOWE ni mpinzani wa kisiasa. Hili si kweli. Ukweli ni kwamba familia hizi mbili ni marafiki wa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Picha Bora Ya Siku iliyoteka Mitandaoni na anga la Siasa Za Tanzania. Inatembea mitandaoni kama Upepo wa Baharini

    Ndugu zangu Watanzania, Ni raha na kuna raha kubwa sana pale unapoishi mioyoni mwa watu,pale unapoleta furaha na tabasamu machoni na mioyoni mwa watu,pale unapoonekana tumaini la watu,pale unapoonekana jawabu la matatizo ya watu,pale unapoonekana faraja kwa Maisha ya watu,pale unapoonekana...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya miaka mitano ijayo namwona John Heche mbali sana kwenye siasa za Tanzania

    Jamani kamanda huyu Heche anakitu kikubwa sana juu ya siasa, za kizarendo za Tanzania , huyu ni Azina ya taifa, leo na hata badae. Ana uwezo wa kujenga hoja za kuwagusa watu masikini, lakini huwa anatoa mifano hai, juu namna lasirimali za nchi zinavyoibiwa, na serikali ya ccm...
  6. JamiiForums Tanzania Unadhani vyama vya siasa wamejifunza nini kutokana na anguko la CHADEMA?

    Chadema imepitia anguko baya sana la kisiasa nchini, pengine kuliko hata lile la NCCR MAGEUZI na CUF, lililochangiwa na tabia na kauli za viongozi wake waandamizi zinazolalamikiwa na wanachama wake yenyewe. Unadhani ni funzo gani vyama vya siasa hususani vya upinzani vimepata na kujifunza...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kishindo cha Hashim Rungwe: Aendelea kutamba anga za siasa za Tanzania, asema CHAUMMA iko tayari kumpokea Mbowe awe Mwenyekiti

    Kiongozi wa Chama Kikuu cha upinzani Tanzania kaongea tena. Ni mwaka wa bilionea Hashim Rungwe, atamba na kusema yuko tayari kumuachia Mbowe uenyekiti wa chama. Piga picha mabilionea wawili wakae mahala pamoja! Watu waliooukwaa ubilionea tangu senti hamsini iko kwenye mzunguko wa fedha Tanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Samia Hakuna sheria inayokataza mtu kuongelea siasa za Tanzania

    Samia Hakuna sheria inayokataza mtu kuongelea siasa za Tanzania. mbona mikopo na misaada na tuzo wakitoa uwa hawaingilii siasa za nchi, wewe utaratibu huu umeutoa wapi ? watanzania tunataka utawala wa kisheria na wa haki na sio hisai au hila za mtu wala kitu kingine,
  9. JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge Ulinzi na Usalama haina budi kujadili mwenendo wa Kenya katika siasa za Tanzania!

    Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya# hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina. mfano: 1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya. 2-lema alitorokea kupitia Kenyana...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya, Acheni Kufuatilia Siasa za Tanzania na Kuitusi Nchi Yetu na Kiongozi Wetu

    Kumekuwa na mwenendo unaotia wasiwasi katika mitandao ya kijamii, ambapo baadhi ya Wakenya wamejipa mamlaka ya kuingilia na hata kudhalilisha masuala ya ndani ya siasa za Tanzania. Hili si jambo geni, lakini linalotia huzuni zaidi ni pale tunaposhuhudia matusi ya waziwazi, dharau na kejeli dhidi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 ijayo siasa za Tanzania zinaweza kuamuliwa na Wasukuma kama ilivyo wakikuyu Kenya

    Hawa jamaa ni wengi na bado wanazaliana kama siafu Kisiasa inawapa advantages ya kiutawala yani wanaweza kuamua Rais awe nani Wakiamua kuitoa CCM madarakani itakua kazi rahisi sana. Ponapona ya CCM ni kutoruhusu upinzani utie kambi mikoa husika vinginevyo itabaki story Siasa za Kenya huwa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Siasa ni Itikadi Chama kinakataliwa Mioyoni na siyo kwenye mikutano ya Waandishi wa Habari

    Nakumbuka mbunge wa Ndanda Cecil Mwamba na John Shibuda walikuwa Chadema lakini muda wote walikuwa wanatembea na Katiba ya CCM mifukoni G 55 ni njaa tu inawasumbua lakini hata uongeaji wao utajua wana Imani kubwa sana Chadema Mzee wangu Hashim Rungwe kuwa makini unavyowapokea akina Mrema...
  13. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kenya waishangaa Tanzania kuona Rais anayegombea ndiye anaisimia Tume ya Uchaguzi

    Alooo hii ni fezea🤣🤣 yaani toka Wakenya watushangae kwenye uchaguzi wa 2020 wanaendelea kutushangaa mpaka leo! We ulisikia wapi mtu anagombea na hapo hapo ndio asimamie mchakato wa uchaguzi afu aache afeli? Hata ungekuwa wewe ungeruhusu hilo? Mwendo wa kujipakulia minyama tu, Bunge na...
  14. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bunge la Ulaya kufanya kikao cha dharura Mei 7, 2025 kujadili suala la Tundu Lissu, baadae kupiga kura Mei 8, 2025

    Bunge la Ulaya linatarajia kufanya mjadala wa dharura tarehe 7 Mei kuhusu kesi ya Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA, chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania. Lissu anakabiliwa na mashtaka ya uhaini ambayo yanaweza kupelekea hukumu ya kifo, baada ya kukamatwa kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Padri Muchunguzi: Tunaachaje kuzungumzia siasa wakati waumini wetu ni wanasiasa? Tutawafundishaje?

    Wakuu, Tusubirie kusikia na huyu ameshambuliwa kwa sababu ya kusema ukweli? Tusubiri kusikia na huyu amepigwa vibaya na kuchukuliwa na watu wasiyojulikana sababu amesema ukweli? Wataumiza na kuua wangapi mpaka wajue hawawezi kunyamazisha watu kusema kweli isipokuwa tu kwa kubadilisha mienendo...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba Serikali iwekeze katika matumizi ya akili katika ku-deal na watu na sio nguvu

    Ntaandika kwa uchache Ila kwa kutumia falsafa . Kwanza nakemea mambo yote yanayoendelea katika nchi yetu kuanzia kukamatwa kwa viongozi wa vyama vya upinzani, kushambuliwa kwa Father Kitima, kuchukuliwa kwa Mdude kinyemela n.k. Mambo yote haya ni kinyume dhidi ya haki ,utu na sheria za nchi...
  17. JamiiForums Tanzania Kisa cha panya na hali halisi ya siasa za Tanzania

    Siku moja panya katika pita pita zake nyumbani kwa binadamu(chumbani),aliona kitu na haraka akang'amua kuwa ulikuwa mtego(alishawahi kuona kitu kama hicho kimenasa wenzake nyumba tofauti tofauti na akahudhuriq mazishi...mtego ulikuwa mbaya haukuacha manuscript Kwa hofu alienda kumdokeza kuku...
  18. JamiiForums Tanzania Ukiwa mtu makini sana, huwezi kujihusisha siasa za Tanzania

    Sina matatizo na watu makini ambao wapo kwenye siasa hapa nchini, lakini, unapojihusisha na siasa, hakika umakini wako uta hojiwa. Siasa za Tanzania ni kama zimelaaniwa, waliopo ndani ya siasa hawaamini wanachokisema na kile wanachokiamini hawakisemi Uchawa umetamalaki, hofu za kupoteza mkate...
  19. JamiiForums Tanzania Tunaishi: Lakini Hatufikiri: Nakerwa na Watu Wasiotafakari Maisha Yao, Kwa Nini Watu Wengi Hawajiulizi Maswali Muhimu?

    Kuna kitu kimoja huwa kinaniumiza ndani kabisa ya moyo wangu: watu wanaoishi bila kufikiria matendo yao, bila kujiuliza maswali ya msingi. Watu wanaoishi kwa mazoea, kwa haraka, bila kujali mambo yanavyowaathiri wao na wengine. Mimi ni mtu wa kutafakari sana. Nikiwa peke yangu, huwa nafikiria...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jerry Silaa: Mmiliki wa nchi hii siyo chama chochote cha siasa bali ni Watanzania wote

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa amesema mmiliki wa nchi hii siyo chama chochote bali ni Watanzania wote. Amesema kitendo cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kugomea uchaguzi mkuu, ni makosa na pengine wamefanya hivyo kwa sababu wamekosa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…