johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 96,574
- 169,331
Tupo Hapa Mwananyamala Komakoma kwa Baharia Mani opposite na alipokuwa anaishi Makongoro Nyerere tukijadili Siasa za Nchi yetu
Kwa hakika Kati yetu Hakuna aliyewahi kufikiria Freeman atakuja Kuwa Mwanasiasa achilia Kuwa Kiongozi wa Chama kikuu Cha Upinzani
Tunajiuliza huyu Freeman Mbowe alitumia Mbinu gani kuwaingiza CHADEMA Mawaziri Wakuu wastaafu wawili Sumaye na Lowassa kwa wakati mmoja?!!
Kimsingi tunakubaliana Freeman ni Mwanasiasa mwenye maajabu yake nchini
Kama uko mitaa hii karibu upate kahawa tunamsubiri Meya Songoro
Baadae Mlale Unono 😀😀