Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.
Nimekusikiliza Wakili Msomi Tundu Lissu ukisema kwenye mkutano wa TCD kuhusu tathmini ya hali ya demokrasia nchini, ulieleza kwa takwimu kuwa wakati huu wa Rais Samia demokrasia imerudi sana nyuma kuliko wakati wa Magufuli.
Wakili Msomi Tundu Lissu naona umejizima data.
Kuna utofauti mkubwa...
Habarini waungwana....
Vijana na marafiki zangu wananiambia weekend twende kutazama mechi ya simba, nimewaambia siendi.
Siwezi kwenda kupoteza pesa zangu kwa ajili hiyo, nimewaambia ni heri jumapili nipoe na kusubiri Jumatatu ifike ili niende kwenye maombolezo kwani huko ndipo roho na akili...
Mwenyekiti wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania(TCD) Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesema wamekuwa na majadiliano ya mara kwa mara na serikali lakini makubaliano ya majadiliano hayo yamekuwa hayatekelezwi.
Pamoja na wadau mbalimbali katika...
Habari zenu waungwana, leo nimeona nifunguke hapa ili niweze kushea nanyi mambo nilyoyaona baada ya kufanya critical thinking ya hali ya juu
Natambua watu wetu wa intelejensia wameshaliona hili jambo tatizo lipo kwa watanzania wa kawaida, wengi information zao uzipata kupitia vyombo vya habari...
Hivi ukumuuliza John Mnyika, Tundu Lisu au Mbowe anaamini katika nini na ana ideology gani hata hajui. Yeye au wao ni kuangalia tu wafanye fujo namna gani ili wasikike.
Nchi zingine kama marekani kuna ideologies kama left wing politics au right wing politics hivyo wapiga kura wanakuwa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe akizungumza katika mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) ambao umewakutanisha wadau mbalimbali amesema Katika kipindi kifupi ambacho tulishaanza kuona matunda ya demokrasia katika nchi yetu, kwamba kiwango kikubwa...
Zingatia matukio matatu yafuatayo:
1) Tarehe 21/9/2024 (Jumamosi)
Muda: 08:30 pm
Tukio: Young Africans (TZ) vs CBE (Ethiopia)
Competition: 2024-25 CAF Champions League
2) Tarehe 22/9/2024 (Jumapili)
Muda: 04:00 pm
Tukio: Simba SC (TZ) vs Al Ahli Tripoli (Libya)
Competition...
Haiwezekani kuwaacha vilaza waliofeli eti ndio news makers huku mitandaoni na kuchukua credits eti wao ndio wasemaji wa Taifa.
Wito wangu kwa vijana makini na waliolelewa na kufunzwa vyema na wazazi pamoja na vyombo vya chama cha Mapinduzi na Serikali kuingia rasmi mitandaoni na kuwapa...
Wapo wanaoamini kuwa Serikali inaogofya na kuendeshwa na posts za wanaharakati wa mitandaoni. Wapuuzi hawa wanaamini kuwa wakipost tu Serikali inahamaki na kuchukua hatua.
Bado wanajiaminisha kuwa posts zao tu zinaamsha hisia za wananchi na jamii ya kimataifa. Wamelekewa hivyo na wameamini...
Hata iweje wapinzani wanabaki kuwa wapinzani tu.hawana zuri bali ni watumia fursa tu.Ni mafisi wanaosubiri mfupa.
Hawana sera na hawataki kujielekeza kwenye hoja ya kuikwamua nchi kutoka kwenye makucha ya kikoloni.
wapinzani ni zao la ukoloni. Hata wapewe nini watabaki hivyo tu.
Je...
My Take
Wapinzani wa Tanzania ni uchwara na hawajitambui .
👇👇
"Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imetekeleza miradi mingi ya maendeleo hasa kwenye Jimbo letu la Ubungo ndio sababu tunasema wapinzani wanauza malalamiko lakini sisi CCM tunauza mafanikio" Prof. Kitila...
Kuna mabadiliko kidogo ya kiuongozi yatafanyika hivi Karibuni.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro kuwa Sabaya na Musiba kuwa mkuu wa Mkoa wa Mara huku Paul Makonda akitazamiwa kuwa katibu mkuu mpya CCM, na Polepole Humphrey atakuwa Waziri wa Tamisemi.
Dr Bashiru Ally kuwa waziri wa Mambo ya ndani na...
Vita ya uchaguzi ni kubwa sana ndani na nje ya CCM . Upo uwezekano wenye nguvu na wanaotaka madaraka wanatumia mbinu nyingi kupata uungwaji mkono.
Hasira ya Mhe. Rais siyo ndogo na si yakipuuzwa. Kuna wanadamu wamesambaza sumu au baadhi mchana wapo CCM usiku wanafadhili mipango ya uchaguzi...
Akihutubia kwenye maazimisho ya miaka 20 ya jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro Septamba 17, 2024 rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa uovu wote uliopangwa kwenye mkutano wa chama kimoja cha upinzani (CHADEMA) anazo taarifa zote
Rais amesema kuwa interenjesia ya vijana wake ina uwezo mkubwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Samia Suluhu Hasssan,ameongea kwa uchungu sana,kwa maumivu makali sana na kwa hisia kali sana zilizogusa mioyo ya watu wengi sana. Pale alipoelezea juhudi zake kubwa za kuliunganisha Taifa na kuwaleta pamoja watanzania...
Hii hapa ndio Taarifa yao waliyoisambaza kote Duniani
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana Dar es Salaam katika kikao chake cha kawaida. Kikao hicho cha siku mbili kitaanza kesho Jumanne, Septemba 17 mpaka 18, 2024 Jijini Dar es Salaam. Pamoja na masuala mengine...
Miaka 64 iliyopita familia moja ya kitajiri mkoani Kilimanjaro ilipata mtoto wa mwisho wa kiume ikamuita "Freeman" kwa maana ya mtu huru. Jina lake na mazingira yake ya malezi na makuzi ndiyo kitu kinachovutia watu wengi kutaka kumfahamu zaidi.
1.Imewezekanaje mtoto wa familia ya...
Kumbe kuna nyakati Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema huwa anamfagilia Shujaa Magufuli.
Lema anasema Rais na Katibu Mkuu wa CCM wamesema hali Siyo Shwari Kwa sababu ya utekaji.
Walinzi wetu wanasema hali ni Shwari.
Soma Pia: Mwabukusi: Namna pekee ya kumuenzi shujaa...
My Take: Hii Kauli inatuma ujumbe Fulani ,wajuzi watujuze.
Moja ya tukio lililovuta hisia za washiriki wa kilele cha Kongamano la tano la Ekaristi Takatifu la Kanisa Katoliki ni hili la wanasiasa wa CCM na Chadema kuwa pamoja.
Kilele hicho kimefanyika leo Jumapili, Septemba 15, 2024 katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.