shule

  1. JamiiForums Tanzania Kwahiyo tumewahamishia Shule nyingine Walimu waliokuwa wakichekelea kupigwa Mwanafunzi ili wakacheke zaidi huko?

    Je, hawa Walimu waliokuwa Wakichekelea Mwalimu Mkuu alipokuwa akimuadhibu Kikatili Mwanafunzi angekufa bado wangeendelea Kucheka? Kwanini mmewahamisha Shule nyingine na siyo Kuwafukuza kabisa Kazi? Wao Wana tofauti gani na Mwalimu Mkuu aliyekuwa akimchampa huyo Mwanafunzi? Hovyo kabisa.
  2. JamiiForums Tanzania 92% ya Wanafunzi nchini wanatembea kwa Miguu kwenda Shule

    Jiji la Dar es salaam linaongoza kwa kuwa na Wanafunzi wengi wanaotumia Mabasi ya Shule kulinganisha na sehemu nyingine yoyote Tanzania. Wanaotembea mpaka Shule - 92.6% Wanaotumia Usafiri wa Umma - 3.7% Wanaotumia Basi la shule - 1.5% Wanaotumia Baiskeli - 1.1% Wanaotumia Magari binafsi - 0.6%...
  3. JamiiForums Tanzania Waraka wa Elimu kuhusu Adhabu ya Viboko kwa Shule za Tanzania Bara

    Kuvunjwa mikono, kuachwa na makovu mwilini pamoja na athari hasi za kiwango kikubwa zaidi kwa maana ya vifo ni matukio mbalimbali yaliyotendwa na yanayoendelea kutendwa dhidi ya wanafunzi mashuleni huku sababu kubwa ikihusisha adhabu ya viboko. Jambo la kusikitisha zaidi ni kuwa, utolewaji wa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Wazazi chukueni hatua kwa ajili ya afya ya akili ya watoto wenu

    Commercialization ya elimu ikichochewa na grading ya matokeo kitaifa imegeuza watoto wenu watumike kama objects za biashara. Watoto wanateswa, pump material, kisa A. Ndio maana hata A hazina maana tena kwa kuwa ni za kulazimisha. Vitoto vidogo vina stress, amka saa kumi, homework kibao, no...
  5. JamiiForums Tanzania Saashisha, Mbunge wa Jimbo la Hai, shule zako za msingi madarasa na nyumba za walimu yanaanguka kwa kuchakaa

    Jimbo la Hai, ni Kati ya Jimbo lenye shule Za msingi zenye madarasa na nyumba Za walimu zilizochakaa Tanzania. Jimbo la hai limekushinda au Hujui hili Tatizo lipo?
  6. JamiiForums Tanzania Wanafunzi zaidi ya 21,930 shule za Msingi Mwanza hawajui kusoma, kuandika, kuhesabu

    Zaidi ya wanafunzi 21,930 wa Shule za Msingi Mkoani Mwanza bado hawajui kusoma, kuandika na kuhesabu hivyo walimu kutakiwa kuongeza jitihada na mbinu zitakazofanikisha wanafunzi kumaliza darasa la kwanza wakiwa na stadi hizo za KKK tatu. Akizungumza na Walimu na wasimamizi wa masuala ya elimu...
  7. JamiiForums Tanzania Tatizo ni nini hasa? Madarasa tayari Wanafunzi hawataki Shule

    Haya ni maajabu ya Tanzania ya CCM, Sasa hivi inajisifu kujenga madarasa mengi na ya kisasa kwa shule za msingi na sekondari kwa pesa nyingi sana za kukopa, tozo na kodi za kawaida. Pia sasa hivi elimu inasemekana ni bure kote huko yaani msingi na sekondari. Tunawapongeza. Ajabu ni kuwa kuna...
  8. JamiiForums Tanzania Saa kumi asubuhi nimepishana na katoto kadogo kana begi kubwa mgongoni, hivi shule za namna gani hizi?

    Saa kumi asubuhi nimepishana na katoto kadogo kana begi kubwa mgongoni, hivi shule za namna gani hizi? Nimeumia sana moyoni!
  9. JamiiForums Tanzania Serikali yaanza uchunguzi wanafunzi kufundishwa ulawiti

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Elimu ya Juu, imetuma timu maalumu mkoani Kilimanjaro kuchunguza tuhuma za wanafunzi kufundishwa vitendo vya ulawiti katika shule mkoani humo. Uamuzi wa Serikali unatokana na gazeti moja nchini kuripoti uwepo wa shule inayofundisha masuala hayo mkoani humo kitendo...
  10. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule nyingine

    Nimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima na kanda. Wafuatao walivuma sana kanda ya kaskazini; 1. Mwalimu Kibatala - Shule ya sekondari...
  11. JamiiForums Tanzania Tanga: Wanafunzi 27,867 hawajaripoti Kidato cha Kwanza hadi sasa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa #TAMISEMI, Angellah Kairuki ameagiza Uongozi wa Mkoa kuchukua hatua za haraka kuhakikisha Wanafunzi hao wanaripoti Shule mapema iwezekanavyo. Idadi hiyo ambayo ni sawa na 55.2% ya Wanafunzi waliotakiwa kuwa Darasani mpaka sasa...
  12. JamiiForums Tanzania Arusha: Wanafunzi Shule ya Msingi Unga Limited wakaa chini kwa kukosa madawati

    Wanafunzi wanaosoma shule ya Msingi Ungalimited Jiji la Arusha wamelazimika kukaa chini kutokana na uhaba wa madawati huku uongozi ukidai ni kutokana na ukarabati wa vyumba vya madarasa unaoendelea katika shule hiyo kongwe. Hata hivyo Ofisa Elimu Msingi Jiji la Arusha,Hosseni Madengale amesema...
  13. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa shule ya sekondari Kikongo, Kibaha Vijijini-Pwani

    UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI KIKONGO, KIBAHA VIJIJINI-PWANI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani Mhe. Hawa Mchafu akikagua Miundombinu ya Shule ya Sekondari Kikongo iliyopo Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani ili kujiridhisha na Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025...
  14. JamiiForums Tanzania Mfumo wa matokeo, ripoti na ratiba kwa shule za O- Level huu hapa

    Mfumo unaomwezesha mwalimu (mtaaluma) kupata matokeo kwa urahisi sana, mfumo unakutengenezea matokeo unakuonyesha wanafunzi 10 bora na 10 wa mwisho unakuonyesha division summary kwa male na female unakuwezesha kuandaa ratiba ndani ya dakika 2, ratiba ya shule nzima pamoja na za madarasa kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Mvua Morogoro: Shule zilizo maeneo hatarishi zatakiwa kufungwa kwa muda

    Hatua hiyo imechukuliwa kufuatia kunyesha kwa mvua kubwa Mkoani Morogoro kuanzia usiku wa kuamkia Januari 13, 2022 hasa katika maeneo ya Kihonda, Mafisa na Soko Kuu la Kingalu. Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando amesema hakuna taarifa ya kifo ila kuna uharibifu wa mali na kuwa shule...
  16. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu nyumba ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Maweni, Igunga inayosambaa mitandaoni

    UFAFANUZI KUHUSU NYUMBA YA MWALIMU WA SHULE YA MSINGI MAWENI, IGUNGA INAYOSAMBAA MITANDAONI Tarehe 20 Septemba 2021 nikiwa naendelea na Ziara ya Kijiji kwa Kijiji kwenye Jimbo la Igunga, Nikiwa na Wasaidizi wa Ofisi ya Mbunge na Waandishi wa Habari, tulifika Shule ya Msingi Maweni iliyopo...
  17. JamiiForums Tanzania Kupiga Honi ovyo au maeneo ya Shule, Mahakamani na Hospitali ni kosa kisheria

    Dereva anatakiwa kutumia honi tu iwapo ni lazima katika kuwaonya watumiaji wengine wa barabara au kuwajulisha kuwa kuna gari nyingie ipo karibu nao. Sheria ya Usalama Barabarani ya mwaka 1973 Kifungu cha 39 (3) Sura ya 168 inawakataza Madereva kutumia Honi katika #Kusalimia, Kuonesha hisia...
  18. JamiiForums Tanzania Anglican Church of Tanzania (ACT) itupieni macho Shule ya Sekondari ya Wasichana Bunda

    Kanisa la Anglican Tanzania ambao ndio wamiliki wa shule ya Sekondari Bunda Girls iliyopo wilayani Bunda mkoani Mara fanyeni uchunguzi wa kina kuhusu shule yenu. Kwanza ni tatizo la uongozi, mkuu wa shule kwa sasa ni binti mdogo sana ambaye bado ana mihemko sana. 95%ya walimu hawampendi ila...
  19. JamiiForums Tanzania Kikao cha Mbunge wa jimbo na wakuu wa shule (headmasters) za Musoma Vijijini

    KIKAO CHA MBUNGE WA JIMBO NA WAKUU WA SHULE (HEADMASTERS) ZA MUSOMA VIJIJINI Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21 lina jumla ya Sekondari 27 ambazo: Shule za Sekondari 25 ni za Kata/Serikali Shule za Sekondari 2 ni za Madhehebu ya Dini (SDA & Katoliki) Mbunge wa Jimbo ataitisha KIKAO cha...
  20. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kupata alama A zote kwenye mtihani wowote shuleni? Ilikuwa shule gani na ulijisikiaje baada ya matokeo hayo?

    Wakuu kwema! Mimi niliwahi kupata alama A zote katika mtihani mara kadhaa nikiwa O level huko Kwiro Sec Moro, na pia nilipokuwa Mkwawa high school niliwahi pata A zote mara kadhaa katika mitihani. Kiukweli nilikuwa najisikia vizuri sana na ilinipa ham ya kusoma zaidi. Je, humu jf tupo watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…